Kauli ya CDF mstaafu kuhusu waliotaka kupindisha katiba ili Rais Samia asiapishwe inanipa picha halisi ya kwanini Bashiru na wenzake walitenguliwa

Kauli ya CDF mstaafu kuhusu waliotaka kupindisha katiba ili Rais Samia asiapishwe inanipa picha halisi ya kwanini Bashiru na wenzake walitenguliwa

Mbona Bado wapo na Wana Vyeo vingi tuu?
Mhhh nalo hili neno ila wpo kwa busara za viongozi walo kuwepo lkn wenye taaluma zao baadae wataonekana wakionesha ubobevu wa taaluma zao ni swala la muda tu

Hili sio jambo la kufumbumbiwa macho kwa mstakabali wa nchi ytu hususan kwa vizazi vijavo vnatakiw vijifunze linapo tokea jambo km hili kila mmoja anapaswa aheshim katiba ya nchi.
 
Sure mkuu Mabeyo alitumika bila kujua na alipojua ndipo alipoamua akae pembeni kwahiyo bila shaka atakuwa na Majuto tu
Mm na shangaa na wtu km nyiny mnaoshbikia kutokufuatwa kwa katiba ya nchi ulotaka kufanywa na hao waovu mnakua na malengo gani ya nchi hii

Mnatetea uovo ambao unge iweka nchi pabaya bila ya kuona aibu
 
Mm na shangaa na wtu km nyiny mnaoshbikia kutokufuatwa kwa katiba ya nchi ulotaka kufanywa na hao waovu mnakua na malengo gani ya nchi hii

Mnatetea uovo ambao unge iweka nchi pabaya bila ya kuona aibu
Viongozi wangekuwa wanafuata katiba nchi isingekuwa hapa
 
Back
Top Bottom