KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 3,250
- 5,509
hakuna dharau katika kuhamasisha uwajibikaji na kusisitiza uwajibishwaji kwa wanao kiuka sheria za nchi gentleman πNatumia jukwaa kuelezea kauli tata ya Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe. Chatanda na kumtaka aliyoitoa kuomba radhi kwa kauli hiyo na akemewe.
Sina mashaka na uwezo na uzalendo wa Mhe.Chatanda katika kazi zake za kukiimarisha Chama lakini kauli zenye mashaka daima lina chimbuko la kusudi la kauli hiyo.
Nanukuu kipande cha kauli hiyo tata "... angenipa nchi hii ndani ya dakika moja ningeimaliza CHADEMA".
Tafsiri ya utata wa kauli hiyo:
1. Ni kauli iliyojaa dharau kubwa kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wetu kuwa kama Mwenyekiti ameshindwa kudili na CHADEMA ila yeye ataiweza ndani ya dakika moja yaani sekunde 60 tu.
2. Ni kauli inayoonesha kwa kiwango kikubwa hayupo sawa na Rais ambaye anataka maridhiano. Kauli ya kusema utaifuta ndani ya dakika moja maana yake ungetumia nguvu kubwa mno.
3. Ni kauli inayoonesha na kuitafsiri vibaya mamlaka ya urais ,kwamba Rais kwa kutaka tu anaweza kufuta Chama Cha Siasa.
Swali kuu la kujiuliza: ikatokea kweli CHADEMA imefutwa kutoka na mienendo yake, si itaonekana ni Rais kafanya hivyo?
Hivyo basi , kulingana na tafsiri ya utata niliyotoa juu ya kauli hiyo ninamuomba
Kwanza, Mhe. Chatanda aombe radhi kwa kauli hiyo.
Pili, viongozi wasitoe kauli zenye kutafsiri vibaya mamlaka ya viongozi hususani Rais
tatu, naomba Chama kikemee kauli hiyo na kauli nyingine kama hizo.
Ahsante
Unaijua dakika moja au umeamua kujitoa akili? Kusema dakka moja ni dharau kubwa mno kwa Raishakuna dharau katika kuhamasisha uwajibikaji na kusisitiza uwajibishwaji kwa wanao kiuka sheria za nchi gentleman π
in fact chadema inafaa kufutwa ndani ya muda wa chini ya sekunde kwa maoni yangu gentleman πUnaijua dakika moja au umeamua kujitoa akili? Kusema dakka moja ni dharau kubwa mno kwa Rais
Halafu ungesoma mada uelewe
Hili ni tatizo la kuwakumbatia watu wasio na akili nyingi.Natumia jukwaa kuelezea kauli tata ya Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe. Chatanda na kumtaka aliyoitoa kuomba radhi kwa kauli hiyo na akemewe.
Sina mashaka na uwezo na uzalendo wa Mhe.Chatanda katika kazi zake za kukiimarisha Chama lakini kauli zenye mashaka daima lina chimbuko la kusudi la kauli hiyo.
Nanukuu kipande cha kauli hiyo tata "... angenipa nchi hii ndani ya dakika moja ningeimaliza CHADEMA".
Tafsiri ya utata wa kauli hiyo:
1. Ni kauli iliyojaa dharau kubwa kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wetu kuwa kama Mwenyekiti ameshindwa kudili na CHADEMA ila yeye ataiweza ndani ya dakika moja yaani sekunde 60 tu.
2. Ni kauli inayoonesha kwa kiwango kikubwa hayupo sawa na Rais ambaye anataka maridhiano. Kauli ya kusema utaifuta ndani ya dakika moja maana yake ungetumia nguvu kubwa mno.
3. Ni kauli inayoonesha na kuitafsiri vibaya mamlaka ya urais ,kwamba Rais kwa kutaka tu anaweza kufuta Chama Cha Siasa.
Swali kuu la kujiuliza: ikatokea kweli CHADEMA imefutwa kutoka na mienendo yake, si itaonekana ni Rais kafanya hivyo?
Hivyo basi , kulingana na tafsiri ya utata niliyotoa juu ya kauli hiyo ninamuomba
Kwanza, Mhe. Chatanda aombe radhi kwa kauli hiyo.
Pili, viongozi wasitoe kauli zenye kutafsiri vibaya mamlaka ya viongozi hususani Rais
tatu, naomba Chama kikemee kauli hiyo na kauli nyingine kama hizo.
Ahsante
Wewe tangu lini ulikuwa na maoni yako? Wewe kila cha ccm na Samia ni sawa, sasa hapo kuna maoni yako tena?in fact chadema inafaa kufutwa ndani ya muda wa chini ya sekunde kwa maoni yangu gentleman π
huo ni mtazamo wako huru potofu gentleman πWewe tangu lini ulikuwa na maoni yako? Wewe kila cha ccm na Samia ni sawa, sasa hapo kuna maoni yako tena?
Kauli hiyo inapingana na falsafa ya RAIS YA 4R huyu mama akemewe hata na Msajiri wa Vyama, inachochea hasira ya wananchi. Wanaomhujumu Rais kumbe wako ndani ya chama chetu ana kazi kubwa.hakuna dharau katika kuhamasisha uwajibikaji na kusisitiza uwajibishwaji kwa wanao kiuka sheria za nchi gentleman π
Mwana CCM mwenzako kaona kosa wewe kwa umbumbumbu wako huoni kosa. Always a fool is a fool never learn.hakuna dharau katika kuhamasisha uwajibikaji na kusisitiza uwajibishwaji kwa wanao kiuka sheria za nchi gentleman π
Sio mtazamo potofu huo ndio uhalisia, ni kweli ndugu wewe kila kitu kuhusu ccm na Samia kwako ni sawa na sahihi hivyo ndivyo ulivyo.huo ni mtazamo wako huru potofu gentleman π
Huyu Ni mzalendo Kwa Chama kuliko nchi, πSina mashaka na uwezo na uzalendo wa Mhe.Chatanda katika kazi zake za kukiimarisha Chama lakini kauli zenye mashaka daima lina chimbuko la kusudi la kauli hiyo.
Yes gentleman,Sio mtazamo potofu huo ndio uhalisia, ni kweli ndugu wewe kila kitu kuhusu ccm na Samia kwako ni sawa na sahihi hivyo ndivyo ulivyo.
Gentleman,Mwana CCM mwenzako kaona kosa wewe kwa umbumbumbu wako huoni kosa. Always a fool is a fool never learn.
Nyie ndio mnaitwa mashabiki mandazi.