Kauli ya Chatanda ikemewe, imeonesha dharau kwa Mwenyekiti wa CCM

Kwamba si kweli wewe kila jambo la ccm na Samia kwako ni sawa na sahihi?
still huo pia ni mtazamo wako huru potofu gentleman,
na uko free kua na mtazamo huo ndani ya Tanzania huru 🐒
 
Chatanda si tu kaikosea chadema, ameikosea sana CCM na amelikosea Taifa katika kipindi hiki watu wanasaka maridhiano. Chatanda anauthibitishia Umma kuwa CCM ipo kwa kutegemea nguvu ya vyombo vya dola na si kwa kupendwa na wananchi au kwa Hoja zenye ushawishi. Huyu mama anapaswa kujiuzulu.
 
kauli ya Chatanda ya kuifuta chadema ndani ya sekunde ni kauli inayokiuka Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977.
 
Mmeshindwa kufuta umasikini nchini sasa mnatishia kufuta vyama vinavyopigania raslimali za nchi kutotumika vibaya;nani atawasikia? Au taarifa ya cag hajawahi kusoma?
 
Alichokisema Chatanda ndio mtazamo wa wanaccm karibia wote ikiwemo na Samia. Chatanda anajua rais yuko juu ya sheria na katiba kiuhalisia, hivyo akitumia madaraka hayo anaifuta mara moja.

Kwa sasa ccm yote inajua haiwezi tena kushindana na cdm kwa ushawishi wa kisiasa, na haiko tayari kuachia madaraka kwa amani. Na cdm wanajua sasa ni muda wao wa kuingia madarakani, hivyo hawana hofu tena na ccm maana wanajua wanaungwa mkono na wananchi walio wengi. Hivyo ccm wanaona kuliko watolewe madarakani na cdm, ni bora waifute. Msajili juzi kuonyesha hilo, japo anajifanya kaja kisheria. Lakini kiukweli ni msukumo wa Samia na chama chake maana hawaiwezi tena cdm kwenye box la kura.
 
Pumbavu sana ,nchi hii ccm hakuna , mtavaa sana chupi za ccm ila ndo hivyo
 
Chatanda yuko sahihi.
Ametuthibitishia kuwa uwezo wa mama yule ni mdogo sana. Hata yeye mwenye very low IQ amegundua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…