Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Utapeli umeingia kwenye ndoa nyingi siku hizi
Na hata wanawake walio huko wengine hawafai kabisaCha kusikitisha sheria hizo za ndoa zinatungwa Bungeni. Na majority ya wa bunge ni wanaume, na wengi wao wamefilisiwa na sheria mbovu walio tunga kwa midomo yao wenyewe. Foolish male parliamentarians.
Intelligent businessman ameshahama kambi mkuu hayupo kataa ndoa useja unamtesa
Kwa nini ashindwe? Labda ? Kuishi pamoja ni siri?Nan atathibitisha ni mwaka wa 5?
Akishindwa mambo madogo nn atawezaIntelligent businessman ameshahama kambi mkuu hayupo kataa ndoa useja unamtesa
Did Brown marry all women on earth so as to come with such a cheap generalisation? Is it out of frustrations of ignorance that he avers as he does?“I don’t want to get married because I’ve realized all women do is try to use marriage as a quick way to get rich and continue their expensive lifestyle after making you sign the dǐvorce papers.
Most of them come with a plan. They act sweet, marry you, and all of a sudden they switch and show you h£ll till you dǐvorce and they go with your properties and wealth.
I prefer to have my children with many of them and pay for child support because at the end of the day, my children will always be my children.”
— Chris Brown speaks!
This one is for every member of the brotherhood 😎
Ndo maana AI wamemcrash kwamba sio wanawake wote wanafanana wapo wenye utu na mapenzi ya kweli wanaojua maana ya familia sio kama wale anaoa HajiDid Brown marry all women on earth so as to come with such a cheap generalisation? Is it out of frustrations of ignorance that he avers as he does?
Ulaya changamoto sanaMiaka ya mbeleni kutazuka swala la mtu akikuzalia unamlipa anakupa mtoto wako unapita hivi hawa viumbe kwa ulaya ni hatar sana wako kimaslai sana.
Mifano
1.Pep Gurdiola (man city coach) kawa divorced kisa yuko busy na mpira wakati huyo mwanamke walkutana kwasababu ya huo mpira, mwamba kagawana mali na mtalaka wake huku analia sana akitoka mahakaman.
2. Ricado Kaka ( brazilian player) kawa divorced kwasababu yuko too perfect (church boy) kwamba anamkataza mpenzi wake kununua mikoba ya gharama sana kuspend for nothing na mwanamke anaona pesa zipo akaomba talaka.
3.Ashraf Hakim (Psg & morocco player) alipgwa divorce ili wagawane mali kumbe mwafrika yule mwenye ngozi nyeupe mali zote had viatu vya gharama tunzo alzobeba vyote aliweka umiliki kwa mama yake, mwanamke akakuta ksheria jamaa hana 100 zaid ya mshahara wake akafedheheka akataka wakae sawa😁😁
4. Kyle Walker (former manchester city player) kawa divorced kwakucheat lakin walishamaliza hlo swala na mwanamke akademand kama 35k usd kama ya samahan lakn still alforce divorce.
Kuna case nyngi sana kwa wenzetu znawafanya watu wagome kuoa hiz n baadh zakuonyesha wanawake wapo kmaslai sana.
Ata 50Cent alshasema haoi wamuue tu hawezi gawana na mtu mali zake alizokoswakoswa na risasi kufa😂😂
Mbna RIRI Alimpenda kweli, BreezyHuyu chalii alijua atapendwa na Rihanna alipomkosa ikabidi azidi kudata