MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Jamani huyu sasa mwishowe atakuwa ni nembo ya taifa tusipoangalia!Chadema michango tunatoa na tunafurahia hilo , kuhusu mpenzi wako wewe endelea nae tu ,huwa kenge wanakatabia kakuto sikia mpaka watoe damuView attachment 3350917
π€£π€£Jamani huyu sasa mwishowe atakuwa ni nembo ya taifa tusipoangalia!
Maana tangu Samia awachokoze waKenya, kenge katawala sana.
Chadema wanapenda sana michangoπππWakuu siku za hivi karibuni niliutaarifu umma wa JF kwamba niko penzini na single mama mwenye mtoto mmoja ambaye pia nimemkuta na mimba changa. Penzi bado ni tamu ila jana usiku kuna kauli katamka ikanivuruga.
Iko hivi... sisi wote ni wajasiriamali. Mimi nina biashara yangu na yeye ana yake. Sasa katika stori za sisi wapendanao ndo akatamka kuwa huu mji tuliopo ni mgumu kibiashara isingekuwa ni mwanae ambaye yuko shule ya msingi angehama hata kesho. IKANIVURUGA. Ina maana mimi hadi sasa sio lolote kwenye mipango yake kiasi cha kutamka kuwa mtoto wake ndo kizuizi? Kwa kweli hawa single mama wana namna nyingi mno za kukuvuruga.
WanaJF nishaurini ila NATOA ONYO nisisikie ushauri wa kusema niachane na mpenzi wangu ninayempenda kuliko CHADEMA wanavyopenda michango ya wafuasi wao.
ππππKwa ninavyojua mwanamke mwenye mtoto kipaumbele chake ni mtoto wake kuliko pimbi yoyote ya CCM
Hayo mengine utajua wewe na mama ako Samia
Tenaa? Sio mwanaume anapenda na mwanamke anatii?Unaanzaje kumpenda mwanamke? Mwanamke ndo anatakiwa akupende wewe.
Inakuwaje unajihusisha na mapenzi ya jinsi moja? Limama lizima linakuwa penzini na mama mwenzie. Acha hizo tabia we mama Samia.niko penzini na single mama
Mwanaume akimtongoza mwanamke haimaanishi ndo wanakuwa mke na mme ila wanaingia kwenye uchumba.Tenaa? Sio mwanaume anapenda na mwanamke anatii?
Nani anamtongoza mwenzake? Tuanzie hapo.