Kauli ya huyu mpenzi wangu imenitafakarisha sana

Mama kijacho asikufikirishe sana, hio sio akili yake ni akili ya mimba tu inamfanya anaropoka hovyo, akishajifungua atakwambia ukweli kua isingekua kunogewa na penzi lako angehama hata kesho.
Point
 
Kuna comment nimeiona hapo juu kwamba jamaa anapitia magumu kwenye jukwaa la siasa..jamaa awe anasamehewa tu

😂 Brutality
 
Wakuu siku za hivi karibuni niliutaarifu umma wa JF kwamba niko penzini na single mama mwenye mtoto mmoja ambaye pia nimemkuta na mimba changa. Penzi bado ni tamu ila jana usiku kuna kauli katamka ikanivuruga.

Iko hivi... sisi wote ni wajasiriamali. Mimi nina biashara yangu na yeye ana yake. Sasa katika stori za sisi wapendanao ndo akatamka kuwa huu mji tuliopo ni mgumu kibiashara isingekuwa ni mwanae ambaye yuko shule ya msingi angehama hata kesho. IKANIVURUGA. Ina maana mimi hadi sasa sio lolote kwenye mipango yake kiasi cha kutamka kuwa mtoto wake ndo kizuizi? Kwa kweli hawa single mama wana namna nyingi mno za kukuvuruga.

WanaJF nishaurini ila NATOA ONYO nisisikie ushauri wa kusema niachane na mpenzi wangu ninayempenda kuliko CHADEMA wanavyopenda michango ya wafuasi wao.

Huyu kaku Gwajimanized..!!
 
Zoea tu mama, maana mateso ni sehemu ya maisha yako kuanzia sasa mpaka pale tutakapo kuondoa madarakani.
 
Mpenzi wako anajua huku mtandaoni unatumia ID yenye jina la kike?

Kumbe na machawa na nyie mnakuwaga na hisia za mapenzi?

Makubwa!
 
huyu ni chawa wapi,alidhani akitumia jina la mama samia ataonekana atusue kimaisha,badala yake haonekani na mambo yake ya ujasiriamali yameenda kombo. Ameanza kujifunua upumbavu mdogo mdogo.
 
Endelea kuwaza hivyohivyo itakusaidia kupunguza msongo wa mawazo.
 
Yani janaume zima unajiita mamasamia2025?
Zinakutosha kweli?
 
achana na single mother kabisa. hawa wanajali watoto kgwanza mwanamme badaye.
 
Wakuu siku za hivi karibuni niliutaarifu umma wa JF kwamba niko penzini na single mama mwenye mtoto mmoja ambaye pia nimemkuta na mimba changa. Penzi bado ni tamu ila jana usiku kuna kauli katamka ikanivuruga.

Iko hivi... sisi wote ni wajasiriamali. Mimi nina biashara yangu na yeye ana yake. Sasa katika stori za sisi wapendanao ndo akatamka kuwa huu mji tuliopo ni mgumu kibiashara isingekuwa ni mwanae ambaye yuko shule ya msingi angehama hata kesho. IKANIVURUGA. Ina maana mimi hadi sasa sio lolote kwenye mipango yake kiasi cha kutamka kuwa mtoto wake ndo kizuizi? Kwa kweli hawa single mama wana namna nyingi mno za kukuvuruga.

WanaJF nishaurini ila NATOA ONYO nisisikie ushauri wa kusema niachane na mpenzi wangu ninayempenda kuliko CHADEMA wanavyopenda michango ya wafuasi wao.
Labda nikuambie tu kwa Faida yako na ya Watu (Members) wote hapa JamiiForums kuwa HAKUNA KIUMBE KISICHOAMINIKA WALA KISICHORIDHIKA KWA LOLOTE NA CHOCHOTE KAMA MWANAMKE.

Kama Wewe ni Mwanaume na uko katika Mahusiano na Mwanamke (rasmi au si rasmi) hakikisha tu UNATIMIZA WAJIBU WAKO KWAKE KIUPENDO NA KAMWE USITEGEMEE SIJUI ASANTE AU FADHILA KUTOKA KWAKE kwani hata tu KISAIKOLOJIA WANAWAKE HAWAJAUMBWA HIVYO na ndiyo maana hata mwenyewe (Mwenyezi Mungu) ALIYEWAUMBA katuagiza Sisi WANAUME kuwa TUISHI NA WANAWAKE KIAKILI.

Kama UNAMPENDA basi hakikisha UNAMHUDUMIA hata kama mna KIPATO SAWA au AMEKUZIDI au ana MALI zaidi yako na achana na huu USHAMBA wa KULALAMIKA kuwa humuelewi bali kuwa Mwanaume wa kweli na anayejimbua (Gentleman)
 
Unatongoza mwanamke mwenye mimba na kulala nae doh !! kweli sisi wanaume tumeshindikana
 
Wakuu siku za hivi karibuni niliutaarifu umma wa JF kwamba niko penzini na single mama mwenye mtoto mmoja ambaye pia nimemkuta na mimba changa. Penzi bado ni tamu ila jana usiku kuna kauli katamka ikanivuruga.

Iko hivi... sisi wote ni wajasiriamali. Mimi nina biashara yangu na yeye ana yake. Sasa katika stori za sisi wapendanao ndo akatamka kuwa huu mji tuliopo ni mgumu kibiashara isingekuwa ni mwanae ambaye yuko shule ya msingi angehama hata kesho. IKANIVURUGA. Ina maana mimi hadi sasa sio lolote kwenye mipango yake kiasi cha kutamka kuwa mtoto wake ndo kizuizi? Kwa kweli hawa single mama wana namna nyingi mno za kukuvuruga.

WanaJF nishaurini ila NATOA ONYO nisisikie ushauri wa kusema niachane na mpenzi wangu ninayempenda kuliko CHADEMA wanavyopenda michango ya wafuasi wao.

Na NYIE WAKUSAGANA MNAITANA WAPENZI? WANAWAKE WA SASA HIVI MNA MAMBO YA KISHETANI SANA. YAANI WEWE MMAMA MZIMA UNAKUJA ANDIKA HUU UPUUZI. ETI WEWE MAMA SAMIA? HUONI AIBU KUANDIKA HUU USHETANI? WATOTO WAKO WAKISOMA ULICHOANDIKA MAMA YAO WATAKUONAJE? UNASAGANA.
 
Back
Top Bottom