Kauli ya huyu mpenzi wangu imenitafakarisha sana

Kwa ninavyojua mwanamke mwenye mtoto kipaumbele chake ni mtoto wake kuliko pimbi yoyote ya CCM

Hayo mengine utajua wewe na mama ako Samia
Mbona kwa miaka mingi nimekuwa nikiamini wewe ni mtu mwenye akili timamu?
 
Mwanaume akimtongoza mwanamke haimaanishi ndo wanakuwa mke na mme ila wanaingia kwenye uchumba.

Kwenye uchumba ndo mwanaume anatakiwa achunguze kama mchumba wake atafaa kuwa mke.
Sijakuelewa nini una maanisha, ktk muktadha wa kupenda kwa mwanamke. Kulingana hii comment yako.
 
Tatizo ni ww UNA JII TAJE MAMA SAMIA wakati ww ni mwanaume?? HALMASHAULI YA KICHWA CHAKO weee si mzima weee meee unajilazimisha keeee
 
Mwanamke ana mtoto na mimba changa juu, halafu aanze kukuwaza wewe baba mlishi!

Hakuna kona ambayo waweza kuitumia kama kigezo cha kulidhibiti penzi la huyo kahaba, kwanza inaonekana unalelewa.

Halafu ninyi machawa kwenye mapenzi ni wepesi kama bua, huwaga wadhaifu sana na hamna sauti kwa wanawake.
 
Single mother muda mwingi anawafikiria watoto wake,
Maisha yakinyooka anamuwaza mzazi mwenzake hata kama mzazi mwenzake atakuwa na maisha duni atamsaidia tu!!
 
Wakuu siku za hivi karibuni niliutaarifu umma wa JF kwamba niko penzini na single mama mwenye mtoto mmoja ambaye pia nimemkuta na mimba changa. Penzi bado ni tamu ila jana usiku kuna kauli katamka ikanivuruga.
Ukiwa mwanaccm kazi sana. Anya way Mitano tena
 
MamaSamia kumbe una mpenzi duh! na baba Abdul anajua hili.
 
unataka kumuoa? kwa kifupi kwako hajafika na akifika ni kutokana na mali ambazo kwa sasa huna na ukiwa nazo utamuoa halafu baada ya miezi 6 ataomba talaka na mtagawana mali zako nusu kwa nusu.
Hivi aliyemzalisha na kumuacha unamuona ni mjinga eeh? Jichanganye
a
 
Kama unampenda sana mvumilie tu mkuu..
 
Kafe huko
 
Sijakuelewa nini una maanisha, ktk muktadha wa kupenda kwa mwanamke. Kulingana hii comment yako.
Siku zote mwanaume anamtongoza mwanamke anayemtamani( sio anaempenda) ila mwanamke ndo huwa na upendo wa kweli kwa mwanaume.

Mwanaume anampenda mwanamke baada ya huyo mwanamke kumjali na kumuonesha upendo wake.
 
Mimi ndo baba yako halisi. Jumatatu tutapima DNA.
Samahani kama ulinielewa vibaya ila ninataka kukushauri kulingana na jinsia yako.... Kingine baba yangu hata kiswahili hajui achilia mbali mtandao wa JamiiAfrica
 
Inaonekana unadeka sana kwa hiyo ulikuwa unasikiliza kwa umakini uone umuhimu wako kwake😂ngoja mjenge hata kakibanda usikie anasema "mkifa nyumba ni ya Junior"
 
Wewe jamaa kumbe tukuvumilie tu kwenye jukwaa la siasa.. Inaonyesha unapitia magumu mengi. Ila yote kwa yote wakulaumiwa ni CCM
Wateule wa Mama kazi kulea wake za wenzao.
Hajakoma huyu.
 
Mama kijacho asikufikirishe sana, hio sio akili yake ni akili ya mimba tu inamfanya anaropoka hovyo, akishajifungua atakwambia ukweli kua isingekua kunogewa na penzi lako angehama hata kesho.
 
Samahani kama ulinielewa vibaya ila ninataka kukushauri kulingana na jinsia yako.... Kingine baba yangu hata kiswahili hajui achilia mbali mtandao wa JamiiAfrica
Kamshauri huyo babako wa kambo ajifunze kiswahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…