MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
- Thread starter
-
- #41
PointMama kijacho asikufikirishe sana, hio sio akili yake ni akili ya mimba tu inamfanya anaropoka hovyo, akishajifungua atakwambia ukweli kua isingekua kunogewa na penzi lako angehama hata kesho.
Alafu aongee na nani?Kamshauri huyo babako wa kambo ajifunze kiswahili.
Wakuu siku za hivi karibuni niliutaarifu umma wa JF kwamba niko penzini na single mama mwenye mtoto mmoja ambaye pia nimemkuta na mimba changa. Penzi bado ni tamu ila jana usiku kuna kauli katamka ikanivuruga.
Iko hivi... sisi wote ni wajasiriamali. Mimi nina biashara yangu na yeye ana yake. Sasa katika stori za sisi wapendanao ndo akatamka kuwa huu mji tuliopo ni mgumu kibiashara isingekuwa ni mwanae ambaye yuko shule ya msingi angehama hata kesho. IKANIVURUGA. Ina maana mimi hadi sasa sio lolote kwenye mipango yake kiasi cha kutamka kuwa mtoto wake ndo kizuizi? Kwa kweli hawa single mama wana namna nyingi mno za kukuvuruga.
WanaJF nishaurini ila NATOA ONYO nisisikie ushauri wa kusema niachane na mpenzi wangu ninayempenda kuliko CHADEMA wanavyopenda michango ya wafuasi wao.
huyu ni chawa wapi,alidhani akitumia jina la mama samia ataonekana atusue kimaisha,badala yake haonekani na mambo yake ya ujasiriamali yameenda kombo. Ameanza kujifunua upumbavu mdogo mdogo.Mpenzi wako anajua huku mtandaoni unatumia ID yenye jina la kike?
Kumbe na machawa na nyie mnakuwaga na hisia za mapenzi?
Makubwa!
Endelea kuwaza hivyohivyo itakusaidia kupunguza msongo wa mawazo.huyu ni chawa wapi,alidhani akitumia jina la mama samia ataonekana atusue kimaisha,badala yake haonekani na mambo yake ya ujasiriamali yameenda kombo. Ameanza kujifunua upumbavu mdogo mdogo.
MamaSamia2025 badili jina mkuu.Endelea kuwaza hivyohivyo itakusaidia kupunguza msongo wa mawazo.
Hili jina linaathiri vipi maisha yako?MamaSamia2025 badili jina mkuu.
basi samahani mkuu japo uzuri_hatujuaniHili jina linaathiri vipi maisha yako?
Labda nikuambie tu kwa Faida yako na ya Watu (Members) wote hapa JamiiForums kuwa HAKUNA KIUMBE KISICHOAMINIKA WALA KISICHORIDHIKA KWA LOLOTE NA CHOCHOTE KAMA MWANAMKE.Wakuu siku za hivi karibuni niliutaarifu umma wa JF kwamba niko penzini na single mama mwenye mtoto mmoja ambaye pia nimemkuta na mimba changa. Penzi bado ni tamu ila jana usiku kuna kauli katamka ikanivuruga.