Uchaguzi 2020 Kauli ya Jaji Kaijage na yanayopangwa kufanywa na NEC kwa wagombea Urais

Hatutaki rais asiye na akili timamu ndio maana tunamtaka nabii Tundu Lissu sio huyo mharibu nchi
 
Kama ni ivo hata uyo ccm ndo hafai kabisa kwani amevunja katiba mara nyingi mno
 
Hawa NEC watambue kuwa kitendo cha kumwuengua Tundu Lissu kwa hicho wanachokiita Technicalities, kitaleta machafuko makubwa hapa nchini.

Kwa hiyo tunawatahadharisha wasithubutu kufanya kitendo hicho kwa maelekezo ya watawala wetu wa CCM
 
Kwa Nyalandu umechemka Hajafukuzwa na Chama
Kuwa na kumbukumbu sahihi, Nyalandu aliandikiwa barua ya kufukuzwa uanachama the same day ambayo na yeye aligundua na kuamua kujiuzulu. Hoja ya mtoa mada ina mantiki kubwa , both nyalandu na membe walifukuzwa uanachama hive tume inataka kutumda kifungu cha katibi kuwa hawa wawili hawana maadili ya kuaminika katika jamii kisha iwaengue.
 
Nyalandu hakufukuzwa..
 
Nyalandu alifukuzwa uanachama?
 
Magu ni mwoga mno wa kitu kinachoitwa demokrasia. Na kwa hili ataleta vurugu kubwa nchini.
 
Huo Ujinga Umenunua Duka Gani?
 
Hili jambo waachane nalo kwa maslahi mapana ya taifa.
 
Mathayo : Mlango 12
29 Ama awezaje mtu kuingia ndani ya nyumba ya mtu mwenye nguvu na kuviteka vyombo vyake, asipomfunga kwanza yule mwenye nguvu? Ndipo atakapoiteka nyumba yake.
Mkuu unaweza kuitafsiri hii katika mukutadha wa mada hii?
 
Kama Magufuli kawa rais nchi hii, hata Dk Shika anaweza kuwa rais pia.
 


Acha wajaze fomu zao hao watakiona walichopanda
 
Kama hizo loopholes zipo kweli na zinatambulika kikatiba kwanini unahisi wakienguliwa itakuwa sio fair? Upinzani acheni ujunga fanyieni kazi mapungufu mliyonayo sio kuwachukia wanaoyatumia mapungufu mliyonayo on their advantage. Hii ni vita adui anatumia kila anachoweza kukurushia, kutegemea huruma ya adui yako ili utoboe ni utoto na ukichaa
 
Kwani kaijage alichaguliwa na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…