Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Mtu mwenye akili timamu hawezi kuitetea Serikali hii ya Wala rushwa dhidi ya kudorora kwa Umeme pamoja na maji.Mna visingizio sana tulieni dawa iwaingie maana mlitamba sana mama anaupiga mwingi.
Mkome kabisa tabia ya kuingilia mahakama.
MTU yoyote anayetetea hilo anaongozwa na tumbo,anaongozwa na Uroho pamoja na tamaa.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app