Kauli ya Jaji Tiganga kwamba huenda Shahidi Ling'wenya alikuwa anapewa majibu ya maswali aliyoulizwa yawaibua Wadau

Kauli ya Jaji Tiganga kwamba huenda Shahidi Ling'wenya alikuwa anapewa majibu ya maswali aliyoulizwa yawaibua Wadau

Nadhani ameshangazwa na umakini wa shahidi mshitakiwa. Kama shahidi mashitakiwa kaamua kusema ukweli anaoujua yeye, ni lazima wenye hila wajiulize kwanini yuko na mtiririko huo!...
Kumbukumbu za mahakama zinaonyesha kuwa mwanzoni mwakili wote 500 walikuwa wakwatetea washitakiwa wote. Baadaye wakaomba watengane na kila mmoja akachukua mshitakiwa wake. Kibatala ni wakili wa Mbowe kwenye kesi hii.

Inakuwaje aandike barua wakati wakili wa mshitakiwa yupo? Na kwa ujumla kwa nini barua haikuandikwa na mshitakiwa mwenyewe in the first place ili kukidhi matakwa wa kisheria?

Tatizo mnawaona mawakili wa serikali hawajui kitu lakini wote wamsema hapa hapa. Pamoja uduni wa maslahi yao kulinganisha na mapesa akina kibatala wanalipwa na gaidi Mbowe na NGO za Kijerumani, this time around mawakili wa serikali wanatiwa mori na DHARAU NA KEBEHI ZA AKINA KIBATALA, WAFUASI WA CHADEMA NA MITANDAO YAO
 
Leo Jaji kaongea hayo maneno! Je wanasheria kwa uelewa wenu hayo maneno yanaweza kuja kutumika kukatiwa rufaa au kwa sasa hivi kumkataa Jaji?

View attachment 2023472
Mkuu sheria za mahakama inatakiwa shahidi au mshitakiwa akiulizwa swali ajibu yeye pasipo msaada wa mtu yeyote. Hata mwanasheria wake hapaswi kumjibia.

Kumbuka majibu anaweza kupewa hata kwa ishara. Pia kumbuka jopo la wanasheria/mawakili ni wengi sana hivyo wamesogelea sana kuzimba. Ndiyo maana mwanasheria wa utetezi anamwambia mteja wake amwangalie judge ili kumwondolea wasi wasi wa kupewa majibu.

Hiyo ni haki ya judge lengo likiwa ni mshitakiwa ajibu anachokifahamu. Punguza munkali mkuu. Lengo ni haki ipatikane kwa pande zote mbili.
 
Ling'wenya anataka ATHIBITISHIWE kuwa aliwekwa mahabusu CENTRAL POLICE DSM kinyume na akataavyo yeye. Sasa aliandika barua kuhusu MO,ROASTER BOOK(Diary).
Kwa bahati mbaya barua haikuandikwa na Ling'wenya wala wakili wake. Badala yake imeandikwa na mwanaharakati Kibatala. Cheti cha ndoa cha Anna na Peter kimesainiwa na Sheikh na Kibatala anataka kudai hiyo ni ndoa ya Kikristo
 
Wadau wengi sana wamejitokeza kuhoji uadilifu wa Jaji anayeendesha kesi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu , kauli aliyoitoa Mahakamani iliyojaa uongo ya Kwamba Shahidi aliyekuwa anahojiwa na Mawakili wa Utetezi Mbele yake na mbele ya umati wa watu.

Komando Ling'wenya huenda alipewa majibu ya maswali aliyokuwa anaulizwa , imeleta Taharuki kubwa na imethibitisha mashaka ya siku nyingi kwamba huenda Jaji Tiganga yuko upande wa Jamhuri .

View attachment 2023342
Tayari hukumu ilishatoka
 
Nadhani ameshangazwa na umakini wa shahidi mshitakiwa. Kama shahidi mashitakiwa kaamua kusema ukweli anaoujua yeye, ni lazima wenye hila wajiulize kwanini yuko na mtiririko huo!...
Asante sana Mkuu.
 
Kumbukumbu za mahakama zinaonyesha kuwa mwanzoni mwakili wote 500 walikuwa wakwatetea washitakiwa wote. Baadaye wakaomba watengane na kila mmoja akachukua mshitakiwa wake. Kibatala ni wakili wa Mbowe kwenye kesi hii...
Mpuuzi wewe, mawakili wa serikali wanalipwa 120000 kila siku nje na mshahara
 
Mkuu samahani.....

Mawakili siku zote huwa wanawafundisha wateja wao kujibu kabla ya kwenda mahakamani....

Hoja iliyopo ,je shahidi wa leo alionekana akifundishwa pale kizimbani kwa kusikika maneno ,kwa kuwa na simu anasoma ama kipande cha karatasi anadesa?!!![emoji1787]
Umemjibu kwa hekima sana bila shaka kaingilia jambo asilolijua undani wake.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Huenda pia alifurahishwa na mtiririko mzuri hadi asiamini na kusema vile. Kwa walimu wanajua hali hiyo mwanafunzi anapofanya vizuri sana watohoji hivi wewe hukuwa na majibu kweli...
Tusimkumu tu kwanza.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Ila kweli inawezekana!
 
Mpuuzi wewe, mawakili wa serikali wanalipwa 120000 kila siku nje na mshahara
Kibatala analipwa ngapi na NGO za kijerumani kupitia CHADEMA? Ongeza na michango yenu na mihogo ya kukaanga
 
Kumbukumbu za mahakama zinaonyesha kuwa mwanzoni mwakili wote 500 walikuwa wakwatetea washitakiwa wote. Baadaye wakaomba watengane na kila mmoja akachukua mshitakiwa wake. Kibatala ni wakili wa Mbowe kwenye kesi hii.

Inakuwaje aandike barua wakati wakili wa mshitakiwa yupo? Na kwa ujumla kwa nini barua haikuandikwa na mshitakiwa mwenyewe in the first place ili kukidhi matakwa wa kisheria?

Tatizo mnawaona mawakili wa serikali hawajui kitu lakini wote wamsema hapa hapa. Pamoja uduni wa maslahi yao kulinganisha na mapesa akina kibatala wanalipwa na gaidi Mbowe na NGO za Kijerumani, this time around mawakili wa serikali wanatiwa mori na DHARAU NA KEBEHI ZA AKINA KIBATALA, WAFUASI WA CHADEMA NA MITANDAO YAO
Hapa tunaangalia hakiinatendeka vipi then acha kumuita mtu Gaidi wakati haja patikana na hatia bado niupumbavu mkuu acha mihemko.
 
Hapa tunaangalia hakiinatendeka vipi then acha kumuita mtu Gaidi wakati haja patikana na hatia bado niupumbavu mkuu acha mihemko.
Mkuu wewe humjui Mbowe- ni gaidi wa kuzaliwa. Unajua kilichomtoa baba yake Nyasaland sasa Malawi?
 
Nigaidi kuanzia lini, hebu anzia hapo.
Toka tumboni mwa mama yake and he thought he will get away with it but uovu una mwisho hapa duniani kabla ya hukumu ya haki mbele ya Mungu wake.
 
Erythrocyte kwa ushahidi huu kwanini huyu shetani Mbowe asikatae? Hii ni wazi kuwa kwa vyovyote vile atampendelea. Mkataeni tujue moja.
Nikwenda nae hivyo hivyo ili azidi kujianika mwenyewe. Mpaka hapa alipofikia kashaonyesha kuwa upande wa Jamhuri huwa wanakaa pamoja na Mahakama kupanga namna ya kuliendesha shauri lililoko Mahakamani.

Yaani walishazoea kuwakaririsha mashahidi wao sasa wa upande wa Utetezi Jamaa katokea gerezani lkn katoa mtiririko wa ukweli bila Chenga. Jaji ataacha kuchanganyikiwa??
 
Back
Top Bottom