comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Kumbukumbu za mahakama zinaonyesha kuwa mwanzoni mwakili wote 500 walikuwa wakwatetea washitakiwa wote. Baadaye wakaomba watengane na kila mmoja akachukua mshitakiwa wake. Kibatala ni wakili wa Mbowe kwenye kesi hii.Nadhani ameshangazwa na umakini wa shahidi mshitakiwa. Kama shahidi mashitakiwa kaamua kusema ukweli anaoujua yeye, ni lazima wenye hila wajiulize kwanini yuko na mtiririko huo!...
Inakuwaje aandike barua wakati wakili wa mshitakiwa yupo? Na kwa ujumla kwa nini barua haikuandikwa na mshitakiwa mwenyewe in the first place ili kukidhi matakwa wa kisheria?
Tatizo mnawaona mawakili wa serikali hawajui kitu lakini wote wamsema hapa hapa. Pamoja uduni wa maslahi yao kulinganisha na mapesa akina kibatala wanalipwa na gaidi Mbowe na NGO za Kijerumani, this time around mawakili wa serikali wanatiwa mori na DHARAU NA KEBEHI ZA AKINA KIBATALA, WAFUASI WA CHADEMA NA MITANDAO YAO