Kauli ya Julius Malema kuhusu kifo cha Malkia Elizabeth inasikitisha na kuhuzunisha

Kauli ya Julius Malema kuhusu kifo cha Malkia Elizabeth inasikitisha na kuhuzunisha

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Alichoandika Malema muda mfupi uliopita kinahuzunisha sana hususani wakati huu wa msiba mzito wa Mkuu wa Taifa la Uingereza na Jumuiya ya Madola

Hebu someni wenyewe alichoandika:

"We do not mourn the death of Elizabeth, because to us her death is a reminder of a very tragic period in this country and Africa's history.... If there is really life and justice after death, may Elizabeth and her ancestors get what they deserve."

Binafsi sijafurahishwa na kauli yake ambayo kimsingi inatakiwa kulaaniwa dunia nzima.

Namuombea kwa Mungu apumzike kwa amani kiongozi wetu wa Jumuiya ya Madola.

Vita amevipiga na mwendo ameumaliza.

Malema 1.jpg

Malema 2.jpg
 
Sawa ndugu wa marehemu, familia iliyokuja Afrika kupora, kuiba, kukamata na kuuza babu zetu kwa nguvu, kuua mababu zetu, wakatufanya watumwa, wakaharibu mila desturi na tamaduni zetu, wakachukua ardhi yetu leo uomboleze mbona katuwakilisha tulio wengi tulioibiwa rasilimali zetu, Malema kaandika na kusema vizuri.
 
Haya majitu ya ANC yote ni Marxists watupu. Najuta siku zote kuyapigania yajitawale. Yamerithi nchi tajiri kupita zote Latin America na bara la Africa lakini kuna ziki sana huko kwao S Africa kwa sababu ya vinyongo vyao kwa Ulaya na Marekani.
 
Sawa ndugu wa marehemu, familia iliyokuja afrika kupora , kuiba, kukamata na kuuza babu zetu kwa nguvu, kuua mababu zetu, wakatufanya watumwa, wakaharibu mila desturi na tamaduni zetu, wakachukua ardhi yetu leo uomboleze mbona katuwakilisha tulio wengi tulioibiwa rasilimali zetu malema kaandika na kusema vizuri
Hata black people na kushirikiana na waarabu waliwahi uza wazungu kwenye magulio kama bidhaa.

Katika history hakuna utumwa mkali unaofikia uliofanywa na waarabu na black dhidi ya wazungu but sijawahi ona Rooney akilalamika dhidi ya history hiyo ila Omtiti ndiye usiku na mchana analia na amini dhiki aliyonayo sasa haitokani na tawala anazozipigia kura kwa kuhongwa Tshet na kofia bali Malkia aliendoka miaka zaidi ya sabini iliyopita.

Mwafrika kupora rasimali za Afrika na kwenda kuficha kwenye visiwa vya usherisheri si tatizo, ila aliens(non Africa) kuchukua pembe la ndovu ni jina hisiyo sahaulika kwa Mwafrika
 
Hata black people na kushirikiana na waarabu waliwai uza wazungu kwenye magulio kama bidhaa.
Katika history hakuna utumwa mkali unaofikia uliofanywa na waarabu na black dhidi ya wazungu but sijawai ona Rooney akilalamika dhidi ya history hiyo ila Omtiti ndiye usiku na mchana analia na amini dhiki aliyonayo sasa haitokani na tawala anazozipigia kura kwa kuhongwa Tshet na kofia bali Malkia aliendoka miaka zaidi ya sabini iliyopita.
Mwafrika kupora rasimali za Africa na kwenda kuficha kwenye visiwa vya usherisheri si tatizo, ila aliens(non Africa) kuchukua pembe la ndovu ni jina hisiyo sahaulika kwa Mwafrika
Naomba unipasie hicho kitabu mkuu na Mimi nikisome
 
Wadau hamjamboni nyote?

NB:Naomba Moderator msiunganishe uzi huu kwingineko tafadhali

Alichoandika MALEMA muda mfupi uliopita kinahuzunisha sana hususani wakati huu wa msiba mzito wa Mkuu wa Taifa la Uingereza na Jumuiya ya Madola

Hebu someni wenyewe alichoandika:

"We do not mourn the death of Elizabeth, because to us her death is a reminder of a very tragic period in this country and Africa's history.... If there is really life and justice after death, may Elizabeth and her ancestors get what they deserve."

Binafsi sijafurahishwa na kauli yake ambayo kimsingi inatakiwa kulaaniwa dunia nzima

Namuombea kwa Mungu apumzike kwa amani Kiongozi wetu wa Jumuiya ya Madola

Vita amevipiga na mwendo ameumaliza

View attachment 2350759
Malema huwa ninamfananisha na Mdude wa CHADEMA.
Akili zao zinafanana kabisa.
 
haya majitu ya ANC yote ni Marxists watupu. Najuta siku zote kuyapigania yajitawale. Yamerithi nchi tajiri kupita zote latin america na bara la africa lakini kuna ziki sana huko kwao S Africa kwa sababu ya vinyongo vyao kwa Ulaya na marekani.
Mimi nmekuelewa mkuu ndio Mimi pia nmekuelewa
 
Yupo sawa, kwani wazungu wamefanya njama chafu nyingi kuwamaliza viongozi wa Africa, Ref Gaddafi, Lumumba, halafu Belgium mwaka 2002 waliomba msamaha kwa wa Congo na Africa nzima kwa mauaji ya Lumumba, Mwaka 2013 zilitoka taarifa zilizokuwa za siri kwamba raisi wa marekani Dwight Eisenhower alihalalisha mauaji ya Lumumba lakini njama hizo hazikufanyiwa kazi.
 
Back
Top Bottom