Kauli ya Julius Malema kuhusu kifo cha Malkia Elizabeth inasikitisha na kuhuzunisha

IMG-20220909-WA0001.jpg
IMG-20220909-WA0002.jpg
 
Hawa ni majirani wao kabisa, huwezi kuwapangia watu hisia na maoni yao kutokana na historia

Wadau hamjamboni nyote?

Alichoandika Malema muda mfupi uliopita kinahuzunisha sana hususani wakati huu wa msiba mzito wa Mkuu wa Taifa la Uingereza na Jumuiya ya Madola

Hebu someni wenyewe alichoandika:

"We do not mourn the death of Elizabeth, because to us her death is a reminder of a very tragic period in this country and Africa's history.... If there is really life and justice after death, may Elizabeth and her ancestors get what they deserve."

Binafsi sijafurahishwa na kauli yake ambayo kimsingi inatakiwa kulaaniwa dunia nzima.

Namuombea kwa Mungu apumzike kwa amani kiongozi wetu wa Jumuiya ya Madola.

Vita amevipiga na mwendo ameumaliza.

View attachment 2350759
Huyu ni kichaa! Anasapoti vichaa wengi Afrika!
 
Sawa ndugu wa marehemu, familia iliyokuja Afrika kupora , kuiba, kukamata na kuuza babu zetu kwa nguvu, kuua mababu zetu, wakatufanya watumwa, wakaharibu mila desturi na tamaduni zetu, wakachukua ardhi yetu leo uomboleze mbona katuwakilisha tulio wengi tulioibiwa rasilimali zetu Malema kaandika na kusema vizuri

Lakini babu zetu wao ndio walipenda kuchukuliwa utumwani, we uoni hata SAsa vijana wanashinda kwenye balozi zao wakililia viza za kwenda utumwani huku wakiacha raslimali tele zinaporwa na wachina.
Waafrika ndio walioshiriki ukamataji na uuzaji wa waafrika wenzao kwa wakoloni. Hakuna Mzungu wala muarabu aliyekuwa anazama field kukamata watu mwafrika ndie aliyefanya kazi hio. So lawama ya slave trade wasilaumiwe upende mmoja tu. Hio ardhi sisi tunaifanyia nini zaidi ya kufugia nyani
 
Huyo ni mwehu
 
Huyu kijana Malema ni mpuuzi kumbe!. Dunia ya wastaarabu haifanyi hivyo. Kuna lugha ya kutumia to keep internartional relationship kama unataka kuheshimika duniani.. yyeyana strive to be an international figure, sasa kwa lugha hii aliyoisambaza duniani, amejizika. And trully Malema you will never go far other thatn being a life time chairman of your party! Kwa hili, kila mwenye akili atakudharau!
 
Lakini babu zetu wao ndio walipenda kuchukuliwa utumwani, we uoni hata SAsa vijana wanashinda kwenye balozi zao wakililia viza za kwenda utumwani huku wakiacha raslimali tele zinaporwa na wachina.
Waafrika ndio walioshiriki ukamataji na uuzaji wa waafrika wenzao kwa wakoloni. Hakuna Mzungu wala muarabu aliyekuwa anazama field kukamata watu mwafrika ndie aliyefanya kazi hio. So lawama ya slave trade wasilaumiwe upende mmoja tu. Hio ardhi sisi tunaifanyia nini zaidi ya kufugia nyani
Sumu tuliyo mezeshwa na wazungu (elimu ya kwenye makaratasi) ni mbaya mno. Tumemezeshwa utamaduni wa kwao kupitia dini (mila) zao,leo hii chochote kisicho endana na tamaduni za kizungu ni ushamba. Baada ya elimu ya darasani,kijana anajiona level zake ni uzunguni,siyo kijijini aliko zaliwa,anawaza kumiliki gari la kiyuropu siyo ng'ombe wa maksai amsaidie kulima mashamba.

Elimu ya mzungu haijatukomboa bali imetuingiza kwenye utumwa zaidi,msomi muda wote ni muoga wa maisha,hana uthubutu na hajiamini kupambana peke yake ndiyo maana anakuwa tayari alipwe mshahara laki nne kwa mwezi kuliko kurudi kijijini akalime.

Babu zetu walilazimishwa kwenda utumwani bali sisi kizazi cha tamaa ya kuupata uzungu tunawalazimisha wazungu watuchukue utumwani,ndiyo maana kucha kutwa tupo kwenye milango ya balozi zao tunajibembelezesha utumwa.
 
Ila Kazi ya ng'ombe ni kuliwa nyama na kutoa maziwa sio kulima huo ni uprimitive tunayachukua mazuri ya wazungu mabaya yao tunawaachia nunua trekta au power tiller ulimie Mwache ng'ombe apumzike
 
Wadau hamjamboni nyote?

Alichoandika Malema muda mfupi uliopita kinahuzunisha sana hususani wakati huu wa msiba mzito wa Mkuu wa Taifa la Uingereza na Jumuiya ya Madola

Hebu someni wenyewe alichoandika:

"We do not mourn the death of Elizabeth, because to us her death is a reminder of a very tragic period in this country and Africa's history.... If there is really life and justice after death, may Elizabeth and her ancestors get what they deserve."

Binafsi sijafurahishwa na kauli yake ambayo kimsingi inatakiwa kulaaniwa dunia nzima.

Namuombea kwa Mungu apumzike kwa amani kiongozi wetu wa Jumuiya ya Madola.

Vita amevipiga na mwendo ameumaliza.

View attachment 2350759
Hv Unafaham makaburu ni waingereza??Malema Yuko sahh sn sn.ubavuzi wa rangi na mauaji ya Africa kusini yalikuwa na mkono wap.sasa kosa la Malema ni lipi.jitambue simama
 
Haya majitu ya ANC yote ni Marxists watupu. Najuta siku zote kuyapigania yajitawale. Yamerithi nchi tajiri kupita zote Latin America na bara la Africa lakini kuna ziki sana huko kwao S Africa kwa sababu ya vinyongo vyao kwa Ulaya na Marekani.
Sio ANC yule ana Chama chake ila ulichoongea ni sahihi ni mabinafsi sana na roho mbaya...
 
Ukimuuliza umezaliwa mwaka gani anakwambia 1981

Nitarudi wakuu ngoja nije...
 
Sawa ndugu wa marehemu, familia iliyokuja Afrika kupora , kuiba, kukamata na kuuza babu zetu kwa nguvu, kuua mababu zetu, wakatufanya watumwa, wakaharibu mila desturi na tamaduni zetu, wakachukua ardhi yetu leo uomboleze mbona katuwakilisha tulio wengi tulioibiwa rasilimali zetu Malema kaandika na kusema vizuri

Ukiporwa haimaanishi kwamba hautakufa au kwamba hautasamehewa unapotubu. Hivo ni kujifariji tu
 
Back
Top Bottom