Kauli ya Julius Malema kuhusu kifo cha Malkia Elizabeth inasikitisha na kuhuzunisha

Kauli ya Julius Malema kuhusu kifo cha Malkia Elizabeth inasikitisha na kuhuzunisha

Wadau hamjamboni nyote?

Alichoandika Malema muda mfupi uliopita kinahuzunisha sana hususani wakati huu wa msiba mzito wa Mkuu wa Taifa la Uingereza na Jumuiya ya Madola

Hebu someni wenyewe alichoandika:

"We do not mourn the death of Elizabeth, because to us her death is a reminder of a very tragic period in this country and Africa's history.... If there is really life and justice after death, may Elizabeth and her ancestors get what they deserve."

Binafsi sijafurahishwa na kauli yake ambayo kimsingi inatakiwa kulaaniwa dunia nzima.

Namuombea kwa Mungu apumzike kwa amani kiongozi wetu wa Jumuiya ya Madola.

Vita amevipiga na mwendo ameumaliza.

View attachment 2351179
View attachment 2351180
Chuki iliyopitiliza
 
Malikia Aliyewahi kutawala kwa mabavu ya ukoloni Afrika na Carribean Leo asafirishwa kwenda London. Ndani ya Jeneza. Lina dhahabu? Walizo kwapua kutoka Afrika?
 
Wadau hamjamboni nyote?

Alichoandika Malema muda mfupi uliopita kinahuzunisha sana hususani wakati huu wa msiba mzito wa Mkuu wa Taifa la Uingereza na Jumuiya ya Madola

Hebu someni wenyewe alichoandika:

"We do not mourn the death of Elizabeth, because to us her death is a reminder of a very tragic period in this country and Africa's history.... If there is really life and justice after death, may Elizabeth and her ancestors get what they deserve."

Binafsi sijafurahishwa na kauli yake ambayo kimsingi inatakiwa kulaaniwa dunia nzima.

Namuombea kwa Mungu apumzike kwa amani kiongozi wetu wa Jumuiya ya Madola.

Vita amevipiga na mwendo ameumaliza.

View attachment 2351179
View attachment 2351180
Wameeleza kauli zao za rohoni hawakutaka kuwa wanafiki....

Malema kawakirisha hisia zake zisizo na chembe unafiki, tatizo kutu zilizo kwenye bongo za vichwa vyetu.
 
No coment! M MUNGU ndio mjuzi wa kila kitu. m mungu anajua mahala anapostahili marehemu.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Alichoandika Malema muda mfupi uliopita kinahuzunisha sana hususani wakati huu wa msiba mzito wa Mkuu wa Taifa la Uingereza na Jumuiya ya Madola

Hebu someni wenyewe alichoandika:

"We do not mourn the death of Elizabeth, because to us her death is a reminder of a very tragic period in this country and Africa's history.... If there is really life and justice after death, may Elizabeth and her ancestors get what they deserve."

Binafsi sijafurahishwa na kauli yake ambayo kimsingi inatakiwa kulaaniwa dunia nzima.

Namuombea kwa Mungu apumzike kwa amani kiongozi wetu wa Jumuiya ya Madola.

Vita amevipiga na mwendo ameumaliza.

View attachment 2351179
View attachment 2351180
Kauli ya Malema Ilaaniwe kwa lipi?

Yaani tumlilie mtoto wa mfalme mkoloni.
Mtoto aliyeishi maisha ya starehe kwa unyang'anyi.
Unyang'anyi wa ukwasi na utu wa waafrika.
Kwako umekaa kibandani ukiamini mkoloni huyu anapaswa kuliliwa, kwa jambo gani kubwa alilokufanyia huyo malkia?
Miaka 70 ya uongozi wake aliaendelea kuweka mipango ya kuhakikisha anavuna rasilimali za Afrika kwaajili ya watoto na wajukuu wake.
Leo anakufa akiwa na rangi ng'aavu ya fedha, bibi yako alikufa aikwa na rangi chakavu ya fedheha!
Ukiwa na maarifa machache utaungana na washusha bendera kuhuzunika kifo cha huyo mwizi na wenzake anaofanana nao.
 
Hata black people na kushirikiana na waarabu waliwahi uza wazungu kwenye magulio kama bidhaa.

Katika history hakuna utumwa mkali unaofikia uliofanywa na waarabu na black dhidi ya wazungu but sijawahi ona Rooney akilalamika dhidi ya history hiyo ila Omtiti ndiye usiku na mchana analia na amini dhiki aliyonayo sasa haitokani na tawala anazozipigia kura kwa kuhongwa Tshet na kofia bali Malkia aliendoka miaka zaidi ya sabini iliyopita.

Mwafrika kupora rasimali za Afrika na kwenda kuficha kwenye visiwa vya usherisheri si tatizo, ila aliens(non Africa) kuchukua pembe la ndovu ni jina hisiyo sahaulika kwa Mwafrika
Aaah cmon bro....lini hiyo black walitumikisha wazungu? Weka evidence
 
Mawazo ya sampuli yake ni sawa mtu kuwa nayo, lakini kuyaleta wakati huu ni kutafuta umaarufu usiokuwa na maana, kwangu siku zote kuipiga teke maiti ni upungufu wa akili kwa yule anayeipiga.
Hapana, hii ina maana.
Anacreate awareness kwa kizazi cha leo cha school bus na dot com. Kama mimi.
Kwa kauli hii anaamsha maiti nyingi zinazomlilia Malkia kwa kuweka nusu mlingoti.
Kwa kauli hii amenifanya nifikirie kumbe not all hope is lost...Kumbe Bado kuna waafrika wachache wanaojitambua...Ambao hawawaoni wazungu kama miungu
 
Back
Top Bottom