SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Hao ndio wanapindisha mambo kila kukicha.Mkuu, rekebisha short kwenye mpangilio wa mawazo yako.
Wape vidonge.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ndio wanapindisha mambo kila kukicha.Mkuu, rekebisha short kwenye mpangilio wa mawazo yako.
Mkuu wwe ndio wakulaani sio malemaWatu Kama wewe wanafanya Taifa hili na Bara kwa ujumla kutoendelea [emoji706][emoji706][emoji706]
Chuki iliyopitilizaWadau hamjamboni nyote?
Alichoandika Malema muda mfupi uliopita kinahuzunisha sana hususani wakati huu wa msiba mzito wa Mkuu wa Taifa la Uingereza na Jumuiya ya Madola
Hebu someni wenyewe alichoandika:
"We do not mourn the death of Elizabeth, because to us her death is a reminder of a very tragic period in this country and Africa's history.... If there is really life and justice after death, may Elizabeth and her ancestors get what they deserve."
Binafsi sijafurahishwa na kauli yake ambayo kimsingi inatakiwa kulaaniwa dunia nzima.
Namuombea kwa Mungu apumzike kwa amani kiongozi wetu wa Jumuiya ya Madola.
Vita amevipiga na mwendo ameumaliza.
View attachment 2351179
View attachment 2351180
Wameeleza kauli zao za rohoni hawakutaka kuwa wanafiki....Wadau hamjamboni nyote?
Alichoandika Malema muda mfupi uliopita kinahuzunisha sana hususani wakati huu wa msiba mzito wa Mkuu wa Taifa la Uingereza na Jumuiya ya Madola
Hebu someni wenyewe alichoandika:
"We do not mourn the death of Elizabeth, because to us her death is a reminder of a very tragic period in this country and Africa's history.... If there is really life and justice after death, may Elizabeth and her ancestors get what they deserve."
Binafsi sijafurahishwa na kauli yake ambayo kimsingi inatakiwa kulaaniwa dunia nzima.
Namuombea kwa Mungu apumzike kwa amani kiongozi wetu wa Jumuiya ya Madola.
Vita amevipiga na mwendo ameumaliza.
View attachment 2351179
View attachment 2351180
Kauli ya Malema Ilaaniwe kwa lipi?Wadau hamjamboni nyote?

Aaah cmon bro....lini hiyo black walitumikisha wazungu? Weka evidenceHata black people na kushirikiana na waarabu waliwahi uza wazungu kwenye magulio kama bidhaa.
Katika history hakuna utumwa mkali unaofikia uliofanywa na waarabu na black dhidi ya wazungu but sijawahi ona Rooney akilalamika dhidi ya history hiyo ila Omtiti ndiye usiku na mchana analia na amini dhiki aliyonayo sasa haitokani na tawala anazozipigia kura kwa kuhongwa Tshet na kofia bali Malkia aliendoka miaka zaidi ya sabini iliyopita.
Mwafrika kupora rasimali za Afrika na kwenda kuficha kwenye visiwa vya usherisheri si tatizo, ila aliens(non Africa) kuchukua pembe la ndovu ni jina hisiyo sahaulika kwa Mwafrika
Hapana, hii ina maana.Mawazo ya sampuli yake ni sawa mtu kuwa nayo, lakini kuyaleta wakati huu ni kutafuta umaarufu usiokuwa na maana, kwangu siku zote kuipiga teke maiti ni upungufu wa akili kwa yule anayeipiga.