Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
Pengine hata Mdude wa CHADEMA naye humfurahisha?Unafurahishwa na asiye na akili?
Anatofauti gani na Mdude wa chadema?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pengine hata Mdude wa CHADEMA naye humfurahisha?Unafurahishwa na asiye na akili?
Anatofauti gani na Mdude wa chadema?
👊🏻👊🏻👊🏻👊🏻👊🏻Kauli iliyonyoka isiyokuwa na unafiki hata kidogo
Alichoandika ni ukweli ila kwakuwa tunapenda unafiki basi sawa.Wadau hamjamboni nyote?
Alichoandika Malema muda mfupi uliopita kinahuzunisha sana hususani wakati huu wa msiba mzito wa Mkuu wa Taifa la Uingereza na Jumuiya ya Madola
Hebu someni wenyewe alichoandika:
"We do not mourn the death of Elizabeth, because to us her death is a reminder of a very tragic period in this country and Africa's history.... If there is really life and justice after death, may Elizabeth and her ancestors get what they deserve."
Binafsi sijafurahishwa na kauli yake ambayo kimsingi inatakiwa kulaaniwa dunia nzima.
Namuombea kwa Mungu apumzike kwa amani kiongozi wetu wa Jumuiya ya Madola.
Vita amevipiga na mwendo ameumaliza.
View attachment 2350759
Bora hata huyo aliyeidhinisha mauaji ya kiongozi wa nje ya nchi yake kwa manufaa ya watu wake kiuchumi.Yupo sawa, kwani wazungu wamefanya njama chafu nyingi kuwamaliza viongozi wa Africa, Ref Gaddafi, Lumumba, halafu Belgium mwaka 2002 waliomba msamaha kwa wa Congo na Africa nzima kwa mauaji ya Lumumba, Mwaka 2013 zilitoka taarifa zilizokuwa za siri kwamba raisi wa marekani Dwight Eisenhower alihalalisha mauaji ya Lumumba lakini njama hizo hazikufanyiwa kazi.
Hata black people na kushirikiana na waarabu waliwai uza wazungu kwenye magulio kama bidhaa.
Katika history hakuna utumwa mkali unaofikia uliofanywa na waarabu na black dhidi ya wazungu but sijawai ona Rooney akilalamika dhidi ya history hiyo ila Omtiti ndiye usiku na mchana analia na amini dhiki aliyonayo sasa haitokani na tawala anazozipigia kura kwa kuhongwa Tshet na kofia bali Malkia aliendoka miaka zaidi ya sabini iliyopita.
Mwafrika kupora rasimali za Africa na kwenda kuficha kwenye visiwa vya usherisheri si tatizo, ila aliens(non Africa) kuchukua pembe la ndovu ni jina hisiyo sahaulika kwa Mwafrika
Bora ungekaa kimya.Hata black people na kushirikiana na waarabu waliwai uza wazungu kwenye magulio kama bidhaa.
Katika history hakuna utumwa mkali unaofikia uliofanywa na waarabu na black dhidi ya wazungu but sijawai ona Rooney akilalamika dhidi ya history hiyo ila Omtiti ndiye usiku na mchana analia na amini dhiki aliyonayo sasa haitokani na tawala anazozipigia kura kwa kuhongwa Tshet na kofia bali Malkia aliendoka miaka zaidi ya sabini iliyopita.
Mwafrika kupora rasimali za Africa na kwenda kuficha kwenye visiwa vya usherisheri si tatizo, ila aliens(non Africa) kuchukua pembe la ndovu ni jina hisiyo sahaulika kwa Mwafrika
Hawa jamaa wametutawala mpaka akili na tumekuwa kama mazuzu.Ila ilikitokea akafariki kiongozi mwenye mrengo tofauti na wazungu huwa hawa mwandiki vizuri pia.
Fatilia Kuanzia Fidel Castro, Hugo Chavez na wengine hata salamu za rambi rambi huwa hawatoi.
Mkumbuke kuna watu wengine familia zao ziliguswa kabisa na tawala za kina Elizabeth.
Ndio maana niliwahi sema humu sisi ni early version ya human being, version ya kiwango cha chini kabisa.Sawa ndugu wa marehemu, familia iliyokuja Afrika kupora , kuiba, kukamata na kuuza babu zetu kwa nguvu, kuua mababu zetu, wakatufanya watumwa, wakaharibu mila desturi na tamaduni zetu, wakachukua ardhi yetu leo uomboleze mbona katuwakilisha tulio wengi tulioibiwa rasilimali zetu Malema kaandika na kusema vizuri
Waarabu asili yao ni watu weusi,ni baada ya kuoana na watumwa wa kizungu,wanawake wa kizungu wa mashariki,waliokuwa watumwa ndio kukapatikana waarabu weupe.Hakuna taifa duniani,halikuwahi kufanya wengine watuma,ni mataifa yote na makabila yote,yalifanyana watumwa.Hata black people na kushirikiana na waarabu waliwai uza wazungu kwenye magulio kama bidhaa.
Katika history hakuna utumwa mkali unaofikia uliofanywa na waarabu na black dhidi ya wazungu but sijawai ona Rooney akilalamika dhidi ya history hiyo ila Omtiti ndiye usiku na mchana analia na amini dhiki aliyonayo sasa haitokani na tawala anazozipigia kura kwa kuhongwa Tshet na kofia bali Malkia aliendoka miaka zaidi ya sabini iliyopita.
Mwafrika kupora rasimali za Africa na kwenda kuficha kwenye visiwa vya usherisheri si tatizo, ila aliens(non Africa) kuchukua pembe la ndovu ni jina hisiyo sahaulika kwa Mwafrika
Eliza hakuwepo wakati hayo yanafanyika.Eliza ndiye alikuwa kiongozi wakati wa kupata uhuru.Makosa ya Babu zake siyo yake.Sawa ndugu wa marehemu, familia iliyokuja Afrika kupora , kuiba, kukamata na kuuza babu zetu kwa nguvu, kuua mababu zetu, wakatufanya watumwa, wakaharibu mila desturi na tamaduni zetu, wakachukua ardhi yetu leo uomboleze mbona katuwakilisha tulio wengi tulioibiwa rasilimali zetu Malema kaandika na kusema vizuri
Mazuri yzo mbona huyasemi? Wa.mewaletea shule hospitali na teknolojia kibao zinazowanufaisha lakini kutokana na upambqvu wenu bado mko kwenye lindi la umaskini wa kutupwa halafu unasinguzia wazungu!Kwa waafrika wenye akili nzuri, hawahitaji kujipendekeza kwa wazungu na wengine wote waliowatesa mababu zetu na wanaendelea kunyonya Africa kwa namna moja au nyingine.
Umasikini wa fikra ni mbaya kuliko ule wa mali. Siyo kila hoja hujadiliwa.
Wewe ni MTUMWA, na u aibu kwa wanaojitambua. Sijui unajisikiaje kuandika hayo.Wadau hamjamboni nyote?
Alichoandika Malema muda mfupi uliopita kinahuzunisha sana hususani wakati huu wa msiba mzito wa Mkuu wa Taifa la Uingereza na Jumuiya ya Madola
Hebu someni wenyewe alichoandika:
"We do not mourn the death of Elizabeth, because to us her death is a reminder of a very tragic period in this country and Africa's history.... If there is really life and justice after death, may Elizabeth and her ancestors get what they deserve."
Binafsi sijafurahishwa na kauli yake ambayo kimsingi inatakiwa kulaaniwa dunia nzima.
Namuombea kwa Mungu apumzike kwa amani kiongozi wetu wa Jumuiya ya Madola.
Vita amevipiga na mwendo ameumaliza.
View attachment 2350759
Wewe sikijana mwenzio anajuwa mengi waafrica tumetendewa mambo yakinyama sana na wazungu hata Mungu analijuwa hilo.Wadau hamjamboni nyote?