Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Hata black people na kushirikiana na waarabu waliwahi uza wazungu kwenye magulio kama bidhaa.Sawa ndugu wa marehemu, familia iliyokuja afrika kupora , kuiba, kukamata na kuuza babu zetu kwa nguvu, kuua mababu zetu, wakatufanya watumwa, wakaharibu mila desturi na tamaduni zetu, wakachukua ardhi yetu leo uomboleze mbona katuwakilisha tulio wengi tulioibiwa rasilimali zetu malema kaandika na kusema vizuri
Mpuuzi katika baadhi ya mambo, moja wapo ni hili.
Naomba unipasie hicho kitabu mkuu na Mimi nikisomeHata black people na kushirikiana na waarabu waliwai uza wazungu kwenye magulio kama bidhaa.
Katika history hakuna utumwa mkali unaofikia uliofanywa na waarabu na black dhidi ya wazungu but sijawai ona Rooney akilalamika dhidi ya history hiyo ila Omtiti ndiye usiku na mchana analia na amini dhiki aliyonayo sasa haitokani na tawala anazozipigia kura kwa kuhongwa Tshet na kofia bali Malkia aliendoka miaka zaidi ya sabini iliyopita.
Mwafrika kupora rasimali za Africa na kwenda kuficha kwenye visiwa vya usherisheri si tatizo, ila aliens(non Africa) kuchukua pembe la ndovu ni jina hisiyo sahaulika kwa Mwafrika
Malema huwa ninamfananisha na Mdude wa CHADEMA.Wadau hamjamboni nyote?
NB:Naomba Moderator msiunganishe uzi huu kwingineko tafadhali
Alichoandika MALEMA muda mfupi uliopita kinahuzunisha sana hususani wakati huu wa msiba mzito wa Mkuu wa Taifa la Uingereza na Jumuiya ya Madola
Hebu someni wenyewe alichoandika:
"We do not mourn the death of Elizabeth, because to us her death is a reminder of a very tragic period in this country and Africa's history.... If there is really life and justice after death, may Elizabeth and her ancestors get what they deserve."
Binafsi sijafurahishwa na kauli yake ambayo kimsingi inatakiwa kulaaniwa dunia nzima
Namuombea kwa Mungu apumzike kwa amani Kiongozi wetu wa Jumuiya ya Madola
Vita amevipiga na mwendo ameumaliza
View attachment 2350759
Unafurahishwa na asiye na akili?
Mimi nmekuelewa mkuu ndio Mimi pia nmekuelewahaya majitu ya ANC yote ni Marxists watupu. Najuta siku zote kuyapigania yajitawale. Yamerithi nchi tajiri kupita zote latin america na bara la africa lakini kuna ziki sana huko kwao S Africa kwa sababu ya vinyongo vyao kwa Ulaya na marekani.
Nitafutie hiki kitabu mkuu nipe hata link au pdf na Mimi nisome hio history please mkuu fanya hivyoKatika history hakuna utumwa mkali unaofikia uliofanywa na waarabu na black dhidi ya wazungu
Unafurahishwa na asiye na akili?
Anatofauti gani na Mdude wa chadema?