Kauli ya Julius Malema kuhusu kifo cha Malkia Elizabeth inasikitisha na kuhuzunisha

Haya majitu ya ANC yote ni Marxists watupu. Najuta siku zote kuyapigania yajitawale. Yamerithi nchi tajiri kupita zote Latin America na bara la Africa lakini kuna ziki sana huko kwao S Africa kwa sababu ya vinyongo vyao kwa Ulaya na Marekani.
Nchi haikuwa tajiri. Makaburu ndiyo walikuwa matajiri.
 
Tatizo ni kwamba ile minyororo ya kale bado imeunganika hadi leo; ndiyo kusema lazima ikatwe. 🙂
 
Watu Kama wewe wanafanya Taifa hili na Bara kwa ujumla kutoendelea [emoji706][emoji706][emoji706]
 
Hakuna ubaya hapo! Amemuombea apate kile anachostahili..
 
Hawa niliwaamini nikidhani wanaweza kuleta change in Africa
But now naanza kuwa na wasiwasi
Wanafikra za kizamani sana kuliko za wapigania uhuru wa miaka ya 60
 
Haya majitu ya ANC yote ni Marxists watupu. Najuta siku zote kuyapigania yajitawale. Yamerithi nchi tajiri kupita zote Latin America na bara la Africa lakini kuna ziki sana huko kwao S Africa kwa sababu ya vinyongo vyao kwa Ulaya na Marekani.
ANC au EFF?
 
hujapenda ulitakaje malezi mabaya toka lumumba ukweli mnauzungumzia vyumbani nje mnamung'unya
 
Bwana Malema ana haki zote na sababu zote Kuandika alichokiandika.

Amesema Ukweli.

Apongezwe.
 
Mawazo ya sampuli yake ni sawa mtu kuwa nayo, lakini kuyaleta wakati huu ni kutafuta umaarufu usiokuwa na maana, kwangu siku zote kuipiga teke maiti ni upungufu wa akili kwa yule anayeipiga.
ila kuipiga maiti teke kwa upande wangu itapunguza hasira
 
Kauli ya malema haina unafiki wala ulabda ndani yake, ila ni ukweli mtupu hata mimi ningekua na sauti kama ya mlema nisingekua na haja ya kuomba kipaza sauti .......other wise naendelea kupitia coment za wale wa mind slavery
 
Haya majitu ya ANC yote ni Marxists watupu. Najuta siku zote kuyapigania yajitawale. Yamerithi nchi tajiri kupita zote Latin America na bara la Africa lakini kuna ziki sana huko kwao S Africa kwa sababu ya vinyongo vyao kwa Ulaya na Marekani.
Mkuu, rekebisha short kwenye mpangilio wa mawazo yako.
 
Eliza hakuwepo wakati hayo yanafanyika.Eliza ndiye alikuwa kiongozi wakati wa kupata uhuru.Makosa ya Babu zake siyo yake.
Amenufaika na makosa ya babu zake. Mpaka anakitoa hakuwahi kurudisha mali walizoiba babu zake ai kuomba msamaha juu ya maovu waliyotenda baba na babu zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…