Kauli ya Julius Malema kuhusu kifo cha Malkia Elizabeth inasikitisha na kuhuzunisha

Kauli ya Julius Malema kuhusu kifo cha Malkia Elizabeth inasikitisha na kuhuzunisha

Kwa waafrika wenye akili nzuri, hawahitaji kujipendekeza kwa wazungu na wengine wote waliowatesa mababu zetu na wanaendelea kunyonya Africa kwa namna moja au nyingine.
Umasikini wa fikra ni mbaya kuliko ule wa mali. Siyo kila hoja hujadiliwa.

Kauli ya Malema imemuakilisha mwenyewe si waafrika wote. Freedom of expression.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Alichoandika Malema muda mfupi uliopita kinahuzunisha sana hususani wakati huu wa msiba mzito wa Mkuu wa Taifa la Uingereza na Jumuiya ya Madola

Hebu someni wenyewe alichoandika:

"We do not mourn the death of Elizabeth, because to us her death is a reminder of a very tragic period in this country and Africa's history.... If there is really life and justice after death, may Elizabeth and her ancestors get what they deserve."

Binafsi sijafurahishwa na kauli yake ambayo kimsingi inatakiwa kulaaniwa dunia nzima.

Namuombea kwa Mungu apumzike kwa amani kiongozi wetu wa Jumuiya ya Madola.

Vita amevipiga na mwendo ameumaliza.

View attachment 2350759
Naunga mkono kauli ya Malema.
 
Kwa mtazamo wako inawezekana ila sio wote wanamtazamo wa kijinga
Julius Malema hawezi kuwa Rais wa South Africa acha kutumia akili za kufyatulia matofali. Yeye na mdude ni radicals ambao hawajawahi kuwa viongozi wazuri kihistoria. Huwezi kuwa na kiongozi mbwatukaji na anayekurupuka
 
Wadau hamjamboni nyote?

Alichoandika Malema muda mfupi uliopita kinahuzunisha sana hususani wakati huu wa msiba mzito wa Mkuu wa Taifa la Uingereza na Jumuiya ya Madola

Hebu someni wenyewe alichoandika:

"We do not mourn the death of Elizabeth, because to us her death is a reminder of a very tragic period in this country and Africa's history.... If there is really life and justice after death, may Elizabeth and her ancestors get what they deserve."

Binafsi sijafurahishwa na kauli yake ambayo kimsingi inatakiwa kulaaniwa dunia nzima.

Namuombea kwa Mungu apumzike kwa amani kiongozi wetu wa Jumuiya ya Madola.

Vita amevipiga na mwendo ameumaliza.

View attachment 2351179
View attachment 2351180
Ni kauli huru isiyo na chembe ya uzandiki na unafiki. Tukipata wakina Malema kumi Africa itafika inapopataka.
 
Watu wa namna ya Malema hawawezi kuwa viongozi wakubwa.

Wataishia kuwa wanaharakati.
 
Julius Malema hawezi kuwa Rais wa South Africa acha kutumia akili za kufyatulia matofali. Yeye na mdude ni radicals ambao hawajawahi kuwa viongozi wazuri kihistoria. Huwezi kuwa na kiongozi mbwatukaji na anayekurupuka
Acha kumfananisha Malema na wanywa gongo. Malema huwa anaongea vitu vyenye fact ambavyo mtu mwenye akili timamu hawezi kupingana navyo. Kwa mfano hilo la malkia alipokosea ni wapi?
Mdude yeye anashikiwa akili na viongozi wake kwahiyo anaweza kuongea lolote analotumwa ili mradi apewe chupa ya gongo. Kama mdude angekuwa ni wa aina hii ya Malema basi angekuwa ashamchana mwenyekiti wake live bila chenga kipindi kile alichotoka jela na kwenda kulamba asali kimya kimya ikulu bila kushirikisha chama na viongozi wa chama. Muombe radhi Malema mkuu.
 
The grandma was masonic, and was among the leaders of that secret society.

JESUS IS LORD
 
Attachments

  • Screenshot_20220909-080545_Chrome.jpg
    Screenshot_20220909-080545_Chrome.jpg
    168.6 KB · Views: 4
Wadau hamjamboni nyote?

Alichoandika Malema muda mfupi uliopita kinahuzunisha sana hususani wakati huu wa msiba mzito wa Mkuu wa Taifa la Uingereza na Jumuiya ya Madola

Hebu someni wenyewe alichoandika:

"We do not mourn the death of Elizabeth, because to us her death is a reminder of a very tragic period in this country and Africa's history.... If there is really life and justice after death, may Elizabeth and her ancestors get what they deserve."

Binafsi sijafurahishwa na kauli yake ambayo kimsingi inatakiwa kulaaniwa dunia nzima.

Namuombea kwa Mungu apumzike kwa amani kiongozi wetu wa Jumuiya ya Madola.

Vita amevipiga na mwendo ameumaliza.

View attachment 2351179
View attachment 2351180
Alichokisema Malema ndio ukweli halisi,ila kwa vile wewe ni mnafiki na muoga uliezoea mapambio km walivyo majority ya watz kauli hiyo kwako ni kikwazo.
Nakushauri utoke kwenye ujinga na unafiki,labda km hauijui historia ya Uk kwa Africa.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Alichoandika Malema muda mfupi uliopita kinahuzunisha sana hususani wakati huu wa msiba mzito wa Mkuu wa Taifa la Uingereza na Jumuiya ya Madola

Hebu someni wenyewe alichoandika:

"We do not mourn the death of Elizabeth, because to us her death is a reminder of a very tragic period in this country and Africa's history.... If there is really life and justice after death, may Elizabeth and her ancestors get what they deserve."

Binafsi sijafurahishwa na kauli yake ambayo kimsingi inatakiwa kulaaniwa dunia nzima.

Namuombea kwa Mungu apumzike kwa amani kiongozi wetu wa Jumuiya ya Madola.

Vita amevipiga na mwendo ameumaliza.

View attachment 2351179
View attachment 2351180
Malema ni mpuuzi mmoja tu. Fisadi anayetafuna pesa anapopata fursa za kuiba. Anacheza na akili za watu weusi haswa wale choka mbaya vinginevyo hana kabisa jipya la kuweza kumtangaza dunia nzima akaonekana ni mtu wa maana.
 
Hakuna mazuri yanayoweza kuhalalisha uovu dhidi ya wengine.
Ni ujinga wa kiwango cha juu kubadilishana uovu na unayoyaita mazuri.
Maovu mliyotendeana weusi kwa weusi ni makubwa kuliko hayo unayodai kufanyiwa na wazungu.
Kisiwa cha Mayote hadi leo hawataki kabisa kukubali uhuru na wameafiki kuendekea kutawaliwa na ufaransa.

Ni upunguani kotoona maovu makubwa na ya wazi kabisa yanayoendelea,kufanywa na watawala weusi na badala yake kubaki kulalamikia weupe kwa, maovu yalitendeka karne/miongo mingi iliyopita .
 
WaTz wasenge wanafki sana... Huyo elizabeti anawauma nini mnampost, mkiulizwa background yake hamjui chochote, kazi yenu kushobokea wazungu ndio maana wakija bongo wanawatanua marinda... Kafa Mrema nobody cares, kafa huyo ajuza mnatuchafulia mitandao
 
Kweli Waafrica tuna shida Kichwani....!
Kwa taarifa yako, Maumivu ya Wazungu kwa South africa bado yapo, coz yalikoma juzi tu, Hata Malema huwa anaeleza yale yaliyomkuta akiwa kijana Mdogo, namna Wazungu walichowafanyia!

Nyie wengine mmekuta Maandishi tu kwenye Vitabu! Kwamba Waingereza walifanya hivi Tanzania, Wajerumani wakafanya vile.

Wacha wa South Africa waseme Hisia zao, coz wametoka kuumizwa juzi tu, na Vidonda havijapona bado....!

Im living in Mzansi now, ukijaribu kuwadadisi Raia mmoja mmoja hata sasa, hawajari kitakachotokea, hawajari kama nchi itakua sawa na South Sudan, always husema akitokea mtu kama Malema akawapa pressure ya kutosha, wapo tayari kuingia mtaani nyumba kwa nyumba kuwaua Wazungu....!

Wako na chuki bado ndani yao, wako na maumivu ndani kwa ndani!!!
Kwa yale Mzungu aliyowafanyia....
 
Huyo bibi ajuza marehem mnapata wapi nguvu ya kumtetea enyi waafrika wapumbavu mliokosa elimu na akili ya kufikiri?

Migogoro afrika na uizi wa resources sababu kubwa ni hao mnaowashobokea, wanajenga nchi zao kwa uwizi wa mali za afrika.

Huko England kuna shehena kubwa ya dhahabu ijapokuwa wao hawana resources za dhahabu, je unazan wanatoa wap kama si Afrika?

Kuna hawa wanaosingizia kuwa waafrika pia tunafanyiana ukatili, lkn haiondoi ukwel kwamba ukatili wa wazungu na ndugu zao waarabu ni mkubwa kulko ukatili aliofanyiwa mtu mweusi.

Mwafrika hajaishia tu kuuzwa utumwan, bali mpka mali zake kuporwa, kupewa uhuru wa bandia, kufutiwa utamaduni wake, kufutiwa historia yake, kufutiwa na kuibwa kwa technilogia zake, kuendelea kumkandamiza kwa kila njia ili asigain power.

Leo hii mpumbavu wa juzi tu ambaye hujui madhira waliyopata babu zako, unakuja hapa kuutetea ushenz wa mzungu, kisa icho kisimu chako feki ulichoongwa kwa bei ambayo haifiki hata nusu kilo za machicha ya dhahabu.

Acheni unafiki
Screenshot_20220908-182303_Twitter.jpg
 
Back
Top Bottom