Jua usiyoyajua
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 1,166
- 683
Kwa waafrika wenye akili nzuri, hawahitaji kujipendekeza kwa wazungu na wengine wote waliowatesa mababu zetu na wanaendelea kunyonya Africa kwa namna moja au nyingine.
Umasikini wa fikra ni mbaya kuliko ule wa mali. Siyo kila hoja hujadiliwa.
Kauli ya Malema imemuakilisha mwenyewe si waafrika wote. Freedom of expression.