Kauli ya Julius Malema kuhusu kifo cha Malkia Elizabeth inasikitisha na kuhuzunisha

Chuki iliyopitiliza
 
Malikia Aliyewahi kutawala kwa mabavu ya ukoloni Afrika na Carribean Leo asafirishwa kwenda London. Ndani ya Jeneza. Lina dhahabu? Walizo kwapua kutoka Afrika?
 
Wameeleza kauli zao za rohoni hawakutaka kuwa wanafiki....

Your browser is not able to display this video.
 
Malema kawakirisha hisia zake zisizo na chembe unafiki, tatizo kutu zilizo kwenye bongo za vichwa vyetu.
 
No coment! M MUNGU ndio mjuzi wa kila kitu. m mungu anajua mahala anapostahili marehemu.
 
Kauli ya Malema Ilaaniwe kwa lipi?

Yaani tumlilie mtoto wa mfalme mkoloni.
Mtoto aliyeishi maisha ya starehe kwa unyang'anyi.
Unyang'anyi wa ukwasi na utu wa waafrika.
Kwako umekaa kibandani ukiamini mkoloni huyu anapaswa kuliliwa, kwa jambo gani kubwa alilokufanyia huyo malkia?
Miaka 70 ya uongozi wake aliaendelea kuweka mipango ya kuhakikisha anavuna rasilimali za Afrika kwaajili ya watoto na wajukuu wake.
Leo anakufa akiwa na rangi ng'aavu ya fedha, bibi yako alikufa aikwa na rangi chakavu ya fedheha!
Ukiwa na maarifa machache utaungana na washusha bendera kuhuzunika kifo cha huyo mwizi na wenzake anaofanana nao.
 
Aaah cmon bro....lini hiyo black walitumikisha wazungu? Weka evidence
 
Mawazo ya sampuli yake ni sawa mtu kuwa nayo, lakini kuyaleta wakati huu ni kutafuta umaarufu usiokuwa na maana, kwangu siku zote kuipiga teke maiti ni upungufu wa akili kwa yule anayeipiga.
Hapana, hii ina maana.
Anacreate awareness kwa kizazi cha leo cha school bus na dot com. Kama mimi.
Kwa kauli hii anaamsha maiti nyingi zinazomlilia Malkia kwa kuweka nusu mlingoti.
Kwa kauli hii amenifanya nifikirie kumbe not all hope is lost...Kumbe Bado kuna waafrika wachache wanaojitambua...Ambao hawawaoni wazungu kama miungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…