Kauli ya "Katiba ni kijitabu tu" ya Rais Samia ni kosa kubwa la kiuongozi

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
5,503
Reaction score
15,858
Mwaka 2024, Rais Samia alinukuliwa akisema kuwa "katiba ni kijitabu tu." Kauli hii imeacha maswali mengi na kuibua hisia tofauti kwa wananchi, wanaharakati, na wataalamu wa sheria. Kwa mtazamo wangu, hii ilikuwa ni kauli ya kosa kubwa sana kwa sababu zifuatazo:

1. Katiba ni zaidi ya kijitabu:
Ni msingi wa utawala wa sheria. Ndiyo inayoweka mipaka ya madaraka ya viongozi na kulinda haki za raia. Kuiita “kijitabu” ni kubeza uzito wake.

2. Inaharibu imani ya wananchi:
Wakati wananchi wanapigania katiba mpya, kauli kama hizi zinavunja matumaini na zinaweza kuzorotesha harakati za mageuzi ya kikatiba.

3. Ni pigo kwa taasisi huru:
Taasisi kama mahakama, bunge, Tume ya uchaguzi n.k. zinapata uhalali wake kupitia katiba. Kuibeza katiba ni kuzikatisha nguvu taasisi hizi.

4. Huenda ilikuwa ni lugha ya mkato, lakini…
Hata kama nia haikuwa mbaya, kiongozi mkuu anapaswa kuwa makini sana na matamshi. Kauli kama hizi huchukuliwa kama ishara ya mtazamo wa serikali nzima.

5. Athari ya muda mrefu:
Tunaishi kwenye kipindi ambacho taifa linahitaji mjadala wa kitaifa kuhusu katiba mpya. Kauli kama hizi zinaweza kuzuia kasi ya mabadiliko tunayoyahitaji.

Rais ni kiongozi wa nchi na mlezi wa katiba.
 
Attachments

  • IMG_20211029_105959.jpg
    IMG_20211029_105959.jpg
    15.5 KB · Views: 38

Her words and actions are completely in sync. Huoni kinachoendelea?
 
Katiba ni kijitabu tu.

Maana yake, hata ukiwa na katiba nzuri vipi, kama watu hawana utamaduni wa kuiheshimu hiyo katiba na kudai haki zao za kikatiba, hiyo katiba nzuri itakuwa kitabuni tu.

Ili katiba iwe na maana, inabidi watu waishi kwa utamaduni wa ukatiba na kudai haki zao za kikatiba.

Katiba ni kijitabu tu, kuishi utamaduni wa kuheshimu katiba ndiyo kunaihuisha hiyo katiba na kuifanya iwe ya maana.

Huelewi wapi?
 
Katiba ni kijitabu tu.

Maana yake, hata ukiwa na katiba nzuri vipi, kama watu hawana utamaduni wa kuiheshimu hiyo katiba na kudai haki zao za kikatiba, hiyo katiba nzuri itakuwa kitabuni tu.

Ili katiba iwe na maana, inabidi watu waishi kwa utamaduni wa ukatiba na kidai haki zao za kikatiba.

Katiba ni kijitabu tu, kuishi utamaduni wa kuheshimu katiba ndiyo kunaihuisha hiyo katiba na kuifanya iwe ya maana.

Huelewi wapi?
Pamoja mkuu
 
Ni aibu kwa watanzania kuongozwa na Samia kilaza wakati tuna wasomi kibao wenye sifa lukuki
 
Mwaka 2024, Rais Samia alinukuliwa akisema kuwa "katiba ni kijitabu tu." Kauli hii imeacha maswali mengi na kuibua hisia tofauti kwa wananchi, wanaharakati, na wataalamu wa sheria. Kwa mtazamo wangu, hii ilikuwa ni kauli ya kosa kubwa sana kwa sababu zifuatazo:

1. Katiba ni zaidi ya kijitabu:
Ni msingi wa utawala wa sheria. Ndiyo inayoweka mipaka ya madaraka ya viongozi na kulinda haki za raia. Kuiita “kijitabu” ni kubeza uzito wake.
2. Inaharibu imani ya wananchi:
Wakati wananchi wanapigania katiba mpya, kauli kama hizi zinavunja matumaini na zinaweza kuzorotesha harakati za mageuzi ya kikatiba.
3. Ni pigo kwa taasisi huru:
Taasisi kama mahakama, bunge, Tume ya uchaguzi n.k. zinapata uhalali wake kupitia katiba. Kuibeza katiba ni kuzikatisha nguvu taasisi hizi.
4. Huenda ilikuwa ni lugha ya mkato, lakini…
Hata kama nia haikuwa mbaya, kiongozi mkuu anapaswa kuwa makini sana na matamshi. Kauli kama hizi huchukuliwa kama ishara ya mtazamo wa serikali nzima.
5. Athari ya muda mrefu:
Tunaishi kwenye kipindi ambacho taifa linahitaji mjadala wa kitaifa kuhusu katiba mpya. Kauli kama hizi zinaweza kuzuia kasi ya mabadiliko tunayoyahitaji.

Rais ni kiongozi wa nchi na mlezi wa katiba.
Anaupiga mwingi
 
Ni aibu kwa watanzania kuongozwa na Samia kilaza wakati tuna wasomi kibao wenye sifa lukuki
Mkuu,

Usomi ni kuzungumzia hoja, si kumzungumzia mtoa hoja.

Kuacha hoja na kuanza kumzungumzia mtoa hoja vibaya ni logical fallacy, inaitwa ad hominem fallacy.

Hata saa mbovu inaweza kuwa sawa wakati fulani. Hata kichaa anaweza kusema jambo la kweli na maana.

Mimi simuoni Samia kama mtu intellectual kihiivyo, lakini hapa kuna hoja imewekwa. Tujadili hoja, tusimjadili Samia.

Jadili hoja, usimjadili mtoa hoja.

Hujajadili hoja ya "katiba ni kijitabu tu".

Hii hoja, hoja ya utamaduni wa ukatiba kulinganishwa na katiba ya kwenye makaratasi isiyotimizwa katika utamaduni wa watu, ni hoja kubwa sana na haikuanza na Samia.
 
Kiswahili ni kipana sana.

Mama yuko sahihi 100%

Fist things first mimi si mtetezi wa Samia. Samia ana mapungufu mengi na nimemchana mara nyingi hapa. So let's get that clear and in the right context.

Having said that, sina hulka ya kumuongelea mtu katika majadiliano ya hoja. Hapa kuna hoja kubwa kuliko kumjadili Samia.

Watu wengi wanaoshindwa kuelewa hoja hii ya "katiba ni kijitabu tu", kama ilivyopewa umaarufu na kauli ya Samia, wanashindwa, au wanakataa makusudi kuielewa, kwa sababu :-

1. Wameshachagua upande na kila atakachosema Samia kitatupwa mbali kwa sababu kakisema Samia. Hizi naziita siasa za pingapinga tu bila fikra za kina.

2. Hawana uwezo wa kuchambua jambo kimantiki, wanapinga kwa kutumia hisia.

3. Hawana uwezo wa kutenganisha hoja na mtoa hoja. Hawawezi kufanya fikra dhahania (abstract thinking) ya kuiangalia hoja bila kujali mtoa hoja. Hii inaturudisha juu hapo kwenye 1.

4. Wanaweka subtext nyingine ya zaidi ya kile kilichosemwa. Kwa mfano, tafsiri ya kwamba rais akisema "katiba ni kijitabu tu" maana yake anajihalalishia kuivunja. This is a logical non sequitur fallacy.

5. Wana kasumba ya "Samia hana akili, hivyo chochote atakachosema hakina maana". Another logical non sequitur fallacy on top of hasty generalization fallacy.

Hapo kuna logical fallacies kibao. Ad hominem, non sequitur, hasty generalization, just to name a few.

Kwa mtu anayefikiria kwa kina, hususan anayetaka mabadikiko ya kikatiba, hii kauli ni nzuri sana.

Kwa sababu, itampa nafasi ya kusema "Kama katiba ni kijitabu tu, tuibadilishe basi. Kwa nini mnaweka ubishi mwingi sana kwenye hoja ya kubadilisha katiba wakati katiba ni kijitabu tu?".
 
Mwaka 2024, Rais Samia alinukuliwa akisema kuwa "katiba ni kijitabu tu." Kauli hii imeacha maswali mengi na kuibua hisia tofauti kwa wananchi, wanaharakati, na wataalamu wa sheria. Kwa mtazamo wangu, hii ilikuwa ni kauli ya kosa kubwa sana kwa sababu zifuatazo:

1. Katiba ni zaidi ya kijitabu:
Ni msingi wa utawala wa sheria. Ndiyo inayoweka mipaka ya madaraka ya viongozi na kulinda haki za raia. Kuiita “kijitabu” ni kubeza uzito wake.
2. Inaharibu imani ya wananchi:
Wakati wananchi wanapigania katiba mpya, kauli kama hizi zinavunja matumaini na zinaweza kuzorotesha harakati za mageuzi ya kikatiba.
3. Ni pigo kwa taasisi huru:
Taasisi kama mahakama, bunge, Tume ya uchaguzi n.k. zinapata uhalali wake kupitia katiba. Kuibeza katiba ni kuzikatisha nguvu taasisi hizi.
4. Huenda ilikuwa ni lugha ya mkato, lakini…
Hata kama nia haikuwa mbaya, kiongozi mkuu anapaswa kuwa makini sana na matamshi. Kauli kama hizi huchukuliwa kama ishara ya mtazamo wa serikali nzima.
5. Athari ya muda mrefu:
Tunaishi kwenye kipindi ambacho taifa linahitaji mjadala wa kitaifa kuhusu katiba mpya. Kauli kama hizi zinaweza kuzuia kasi ya mabadiliko tunayoyahitaji.

Rais ni kiongozi wa nchi na mlezi wa katiba.
Huyo ndio haini no 1
 
Anaichukulia poa Katiba iliyomuweka madarakani ouf Wolves ….. such a shama

Ndio maana the country need reform
 
Back
Top Bottom