misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 17,894
- 14,783
Kabisa tena mapema kabla jogoo ajawika, tunamlea vya kutoshaHapa ndipo watanzania tuli prove kuw sis ni mazombi. Kwa kauli yake hii ti alipaswa kuwa ameshatimuliwa ikulu nchi nzima maandamano. Matokeo yake majitu mazee yanayomzunguka yanaushia kucheka cheka tu.