Kabisa tena mapema kabla jogoo ajawika, tunamlea vya kutoshaHapa ndipo watanzania tuli prove kuw sis ni mazombi. Kwa kauli yake hii ti alipaswa kuwa ameshatimuliwa ikulu nchi nzima maandamano. Matokeo yake majitu mazee yanayomzunguka yanaushia kucheka cheka tu.
Utamfananisha shangazi wa taarab ya Kazimkazi na nguli wa philosophy? Huyu mvaa hijab ni chura kiziwi asiyekuwa na heshima.Jamani msilaumu, alishasema sikufaya vizuri form 4!
Mbona Kuna walifanya vizuri form 4 lakini ni vilaza wa kutupwa mkuu hii imekaajeJamani msilaumu, alishasema sikufaya vizuri form 4!
Hatuwezi kuwa na kiongozi asiyejua umuhimu wa Katiba! Samia hatoshi nafasi hiyo aondoke kabla hajaondolewa!"HATUWEZI KUWA NA RAIS ANAYEIONEA HAYA KATIBA" 🎯
Kweli aisee, jamaa lilitaka sifa, ona sasa matokeo yake!Mabeyo ni mpuuzi sana mkuu
How come wanaume wenzio wanakwambia hapa tunaingia chaka wewe unashupaza shingo tu?
Maza wenu huyo ni jambaziNdugu zangu, CHEKI HIYO VIDEO HAPO HALAFU rudi hapa uchangie MAUMIVU YA MOYO WAKO.
Haya NI MATUSI KWA TAIFA ZIMA