Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Aisee! Kumbe kundi la wanyonge ndiyo hilo!!Wamachinga, mamantilie, bodaboda, .
Ila wale walioibiwa na Acacia na barick sio wanyonge bali ni mashujaa siyo? Ccm acheni vituko na vioja kwani hata hao mnaowaita wanyonge wanawaona viroja!Wanyonge ni wale waliobiwa kipindi cha mkataba wa richmond!
Aisee! Kumbe nae ni mnyonge!!Paul bashite