Kauli ya Tundu Lissu kwamba "CHADEMA sio baba yake wala mama yake, hivyo ikitokea kuhama anaweza kuhama tu," inatoa ishara ya kuwa uhusiano wake na chama sio wa kihisia, bali ni wa kimaslahi na maamuzi yake yanaweza kubadilika kwa urahisi.
Hii inaweza kuwaudhi wanachama wa CHADEMA ambao wanaona chama hicho kama sehemu muhimu ya maisha yao ya kisiasa na wanatilia mkazo uaminifu na kujitolea kwa chama.
Kauli ya Tundu Lissu kwamba "Chadema sio baba yake wala mama yake, hivyo ikitokea kuhama anaweza kuhama tu," inatoa ishara ya kuwa uhusiano wake na chama sio wa kihisia, bali ni wa kimaslahi na maamuzi yake yanaweza kubadilika kwa urahisi. Hii inaweza kuwaudhi wanachama wa Chadema ambao wanaona chama hicho kama sehemu muhimu ya maisha yao ya kisiasa na wanatilia mkazo uaminifu na kujitolea kwa chama. Kauli hiyo pia inaweza kuchukuliwa kama ishara ya kutokuwa na imani thabiti na chama au kukosa uthabiti katika dhamira yake ya kisiasa. View attachment 3081917

Nadhani Lissu kuna mambo ndani ya Chadema anayajua ndio maana amekuwa akitoa kauli zenye kukibomoa chama chake Gazeti la Nipashe la 28 August 2024 liliandika LISSU AHOFU PESA CHAFU KUPENYEZWA CHADEMA

Chadema Kwa Sasa inajiendesha nje ya misingi iliyokianzisha, mbowe kaifanya saccoss ya kujinufaisha yeye na babamkwe wake, lissu anabuy time tu muda wowote anatemana na chadema.