Haya mambo ya Lissu mbona yanatesa sana watu? akihama, ahame, akianzisha chama, aanzishe, akifanya chochote, afanye. Dunia haita acha kuzunguka- itaendelea tu na sisi kama wapangaji wake tuaendelea kupata uroda wa mzunguko huo...Kumbuka kwamba Dunia (Sayari yetu) 1.3 million ndio zinaweza kujaza ujazo wa Jua moja. Tanzania ni Kubwa kuliko mtu mmoja mmoja... akiondoka Lissu ( Kwa kifo au kwa ku-staafu) ... Vyama na nchi vitaendelea kuwepo tu... sasa acheni kumukuza sana bila maana yeyote ile... leo ma thread ya Lissu kuhama yamezidi sana humu ndani ...munatumalizia tu bando/data kusoma haya mambo ya kijinga jinga.