Pre GE2025 Kauli ya Lissu kuwa CHADEMA siyo mama yake anaweza kuhama ni kiashiria cha uwezekano wa kuhama CHADEMA

Pre GE2025 Kauli ya Lissu kuwa CHADEMA siyo mama yake anaweza kuhama ni kiashiria cha uwezekano wa kuhama CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Haya mambo ya Lissu mbona yanatesa sana watu? akihama, ahame, akianzisha chama, aanzishe, akifanya chochote, afanye. Dunia haita acha kuzunguka- itaendelea tu na sisi kama wapangaji wake tuaendelea kupata uroda wa mzunguko huo...Kumbuka kwamba Dunia (Sayari yetu) 1.3 million ndio zinaweza kujaza ujazo wa Jua moja. Tanzania ni Kubwa kuliko mtu mmoja mmoja... akiondoka Lissu ( Kwa kifo au kwa ku-staafu) ... Vyama na nchi vitaendelea kuwepo tu... sasa acheni kumukuza sana bila maana yeyote ile... leo ma thread ya Lissu kuhama yamezidi sana humu ndani ...munatumalizia tu bando/data kusoma haya mambo ya kijinga jinga.
 
Kauli ya Tundu Lissu kwamba "Chadema sio baba yake wala mama yake, hivyo ikitokea kuhama anaweza kuhama tu," inatoa ishara ya kuwa uhusiano wake na chama sio wa kihisia, bali ni wa kimaslahi na maamuzi yake yanaweza kubadilika kwa urahisi. Hii inaweza kuwaudhi wanachama wa Chadema ambao wanaona chama hicho kama sehemu muhimu ya maisha yao ya kisiasa na wanatilia mkazo uaminifu na kujitolea kwa chama. Kauli hiyo pia inaweza kuchukuliwa kama ishara ya kutokuwa na imani thabiti na chama au kukosa uthabiti katika dhamira yake ya kisiasa.
View attachment 3081917
Wewe manka tangu lini ukawa na uhusiano wa kihisia na CCM kama siyo maslahi yako binafsi?
 
Kum.anina wewe watu wamemfatilia lissu ITV kafafanua kila ktu we unaleta usengerema humu hv huko ccm watu akili huwa mnapeleka wp yan mnaona watz n mambumbu sn hata miaka hii ya utandawaz taarifa znavyopatkana kila mahali tena kwa uharaka bado mnaamin propaganda znaweza wapotosha watu ujinga huu tafuta wazee wazee huko vijijin ndo uwaambie haya mala.ya wewe.
 
Kauli ya Tundu Lissu kwamba "Chadema sio baba yake wala mama yake, hivyo ikitokea kuhama anaweza kuhama tu," inatoa ishara ya kuwa uhusiano wake na chama sio wa kihisia, bali ni wa kimaslahi na maamuzi yake yanaweza kubadilika kwa urahisi. Hii inaweza kuwaudhi wanachama wa Chadema ambao wanaona chama hicho kama sehemu muhimu ya maisha yao ya kisiasa na wanatilia mkazo uaminifu na kujitolea kwa chama. Kauli hiyo pia inaweza kuchukuliwa kama ishara ya kutokuwa na imani thabiti na chama au kukosa uthabiti katika dhamira yake ya kisiasa.
View attachment 3081917
Kwahiyo Nyerere aliposema hivyo alihama? Tumia muda wako vizuri hata kwa kuuza mchunga.
 
Je Uwenyekiti wa Mh. Mbowe mmeukatia tamaa? Maana sasa nguvu ni Lissu kwenda CCM.
 
Kauli ya Tundu Lissu kwamba "CHADEMA sio baba yake wala mama yake, hivyo ikitokea kuhama anaweza kuhama tu," inatoa ishara ya kuwa uhusiano wake na chama sio wa kihisia, bali ni wa kimaslahi na maamuzi yake yanaweza kubadilika kwa urahisi.

Hii inaweza kuwaudhi wanachama wa CHADEMA ambao wanaona chama hicho kama sehemu muhimu ya maisha yao ya kisiasa na wanatilia mkazo uaminifu na kujitolea kwa chama.

Pia soma: Lissu: CHADEMA ikiondoka kwenye misingi iliyonifanya nijiunge nacho, nitaondoka. CHADEMA siyo mama yangu wala dini yangu

Kauli hiyo pia inaweza kuchukuliwa kama ishara ya kutokuwa na imani thabiti na chama au kukosa uthabiti katika dhamira yake ya kisiasa.

Mbona alieleza vizuri tu na akaeleweka na alidondoa (quote) maneno ya Mwalimu Nyerere, ambaye naye alisema vivyo hivyo, na hakuwahi kukihama chama chake licha ya kwamba alikuwa akikikosoa? Labda ujenge hoja yako kivingine.
 
Back
Top Bottom