Kasema mbwa!Sasa hapa kasema lissu au kasema mchaga
Wewe manka tangu lini ukawa na uhusiano wa kihisia na CCM kama siyo maslahi yako binafsi?Kauli ya Tundu Lissu kwamba "Chadema sio baba yake wala mama yake, hivyo ikitokea kuhama anaweza kuhama tu," inatoa ishara ya kuwa uhusiano wake na chama sio wa kihisia, bali ni wa kimaslahi na maamuzi yake yanaweza kubadilika kwa urahisi. Hii inaweza kuwaudhi wanachama wa Chadema ambao wanaona chama hicho kama sehemu muhimu ya maisha yao ya kisiasa na wanatilia mkazo uaminifu na kujitolea kwa chama. Kauli hiyo pia inaweza kuchukuliwa kama ishara ya kutokuwa na imani thabiti na chama au kukosa uthabiti katika dhamira yake ya kisiasa.
View attachment 3081917
LISSU ana Akili TIMAMU.Aende ccm
Aende CcmLISSU ana Akili TIMAMU.
Kwahiyo Nyerere aliposema hivyo alihama? Tumia muda wako vizuri hata kwa kuuza mchunga.Kauli ya Tundu Lissu kwamba "Chadema sio baba yake wala mama yake, hivyo ikitokea kuhama anaweza kuhama tu," inatoa ishara ya kuwa uhusiano wake na chama sio wa kihisia, bali ni wa kimaslahi na maamuzi yake yanaweza kubadilika kwa urahisi. Hii inaweza kuwaudhi wanachama wa Chadema ambao wanaona chama hicho kama sehemu muhimu ya maisha yao ya kisiasa na wanatilia mkazo uaminifu na kujitolea kwa chama. Kauli hiyo pia inaweza kuchukuliwa kama ishara ya kutokuwa na imani thabiti na chama au kukosa uthabiti katika dhamira yake ya kisiasa.
View attachment 3081917
Usijitoe akili, alisema mtu mwenye akili timamu hawezi kung'ang'ania CCM.Aende Ccm
Alishasema yeye "ana akili TIMAMU" au hamsikilizi mahojiano kwenye Runinga?!Aende Ccm
Zaidi ya kilaza anamnukuu mtu ambaye naye katumia nukuu kwa mwingine…Mchagga kilazza wewe🤣🤣
Kung'ang'ania au kwenda?Usijitoe akili, alisema mtu mwenye akili timamu hawezi kung'ania CCM.
Mwanasiasa yule. Umesahau ya Lowasa?Alishasema yeye "ana akili TIMAMU" au hamsikilizi mahojiano kwenye Runinga?!
Lowassa mlimpiga Risasi?!Mwanasiasa yule. Umesahau ya Lowasa?
Yule wa Huwezi mpuuza tembo katikati ya uwanja.Lowassa mlimpiga Risasi?!
Mbona alieleza vizuri tu na akaeleweka na alidondoa (quote) maneno ya Mwalimu Nyerere, ambaye naye alisema vivyo hivyo, na hakuwahi kukihama chama chake licha ya kwamba alikuwa akikikosoa? Labda ujenge hoja yako kivingine.Kauli ya Tundu Lissu kwamba "CHADEMA sio baba yake wala mama yake, hivyo ikitokea kuhama anaweza kuhama tu," inatoa ishara ya kuwa uhusiano wake na chama sio wa kihisia, bali ni wa kimaslahi na maamuzi yake yanaweza kubadilika kwa urahisi.
Hii inaweza kuwaudhi wanachama wa CHADEMA ambao wanaona chama hicho kama sehemu muhimu ya maisha yao ya kisiasa na wanatilia mkazo uaminifu na kujitolea kwa chama.
Pia soma: Lissu: CHADEMA ikiondoka kwenye misingi iliyonifanya nijiunge nacho, nitaondoka. CHADEMA siyo mama yangu wala dini yangu
Kauli hiyo pia inaweza kuchukuliwa kama ishara ya kutokuwa na imani thabiti na chama au kukosa uthabiti katika dhamira yake ya kisiasa.
Sasa ndio naamini kama chadema ni chama chetu WachagaWewe manka tangu lini ukawa na uhusiano wa kihisia na CCM kama siyo maslahi yako binafsi?
kichwa maji kabisaKasema mbwa!
ahaha, kweli kabisaAje huku ajenge nchi...