Pre GE2025 Kauli ya Lissu kuwa CHADEMA siyo mama yake anaweza kuhama ni kiashiria cha uwezekano wa kuhama CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
maneno haya wambie wenye chama chao nadhani watakuelewa sana
 
Duh! Aisei Lissu kiboko! ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Unadhihirisha ulivyo mbwa kwa maana zote mbili: yaani mbwa mnyama anayegawa uroda kwa kila anayempanda na mbwa mtu usiye na maadili!
kichwa chako kimejaa maji kama jina lako.
 
Una uelewa mdogo sana. Lisu alishafafanua hilo. Hizi shule za kata hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ