Majaliwa Kassim Majaliwa kubwa la maadui....bandika bandua, mboga ya moto Ugali wa moto, anatoka Jiwe aningia chuma cha reli, wapenzi wa kuishi kwa mazoea wakahamie Mogadishu. Kosa la Kikwete haliwezi kutokea tena kwa Magu!Exactly! Kama ambavyo Kikwete alijua wazi Mwandosya akimrithi uraisi hatakaa amsikilize kamwe, ndivyo Magufuli anajua kamba Kabudi au Lukuvi wakimrithi uraisi hawatakaa wamsikilize kamwe! Kwa hiyo kama vile Kikwete alijua Member ndie atamwezesha ku-prolong enzi yake, ndivyo ambavyo Magufuli anatafuta kijana wa ku-prolong enzi zake, ila jina bado kaliweka mfukoni.
Haijaandikwa popote ila si busara mtu mwenye miaka 80 kupewa nafasi za kugombea Urais kwa nchi haza za afrika wengi wanakua wameshaanza kushambuliwa na Magonjwa na Urais ni kazi kubwa sanaaa inahitaji mtu ambaye anajiweza kiafyaVery sad. Wamekosa sifa gani? Kwani katiba inasema anayezidi umri gani ndio asigombee urais?
Inasikitisha sana rais wa nchi badala ya kuchaguliwa na wananchi, tunachaguliwa na Mwenyekiti wa CCM
Cellina combani na 6 walikuwa na afya mbovu?Haijaandikwa popote ila si busara mtu mwenye miaka 80 kupewa nafasi za kugombea Urais kwa nchi haza za afrika wengi wanakua wameshaanza kushambuliwa na Magonjwa na Urais ni kazi kubwa sanaaa inahitaji mtu ambaye anajiweza kiafya
Wewe bwana acha ushamba wako hapa. Suala la kufanya analysis ya mambo yanayotokea ni la kawaida sana. Kama huna exposure hiyo kaa kimya. Hata unapoangalia news kama CNN, BBC, nk, watu kuhojiwa na kufanya analysis ni kitu cha kawaida, na hilo ndilo ninalofanya hapa.Mkuu,
Kwa hiyo ndio wamekutuma kuwasemea Kabudi na Lukuvi?
Tangu lini wewe mwenye itikadi kinzani na haumo kwenye mfumo wao hao CCM tamko la Mh Dkt Magufuli likakuumiza sana?
Acha kututukana Waafrika. Kwanza Kabudi na Lukuvi watakuwa na umri gani baada ya miaka minne? Mandela je, alikuwa na umri gani alipoacha? Na Nyerere?Haijaandikwa popote ila si busara mtu mwenye miaka 80 kupewa nafasi za kugombea Urais kwa nchi haza za afrika wengi wanakua wameshaanza kushambuliwa na Magonjwa na Urais ni kazi kubwa sanaaa inahitaji mtu ambaye anajiweza kiafya
Ummy?!? Afadhali hata ungesema Tulia, kama unataka Rais mwanamke.Rais ajaye ni UMMY MWALIMU..
Lakini hii ni kama ,Rais Magufuli ataachia ngazi muda wake ukiisha..
Kabudi ni Prof. wa Sheria, alipata first class ya LLB pale UDSM, kaenda hadi PhD sheria za kimataifa. Lukuvi "anasema" ana MBA - labda MBA za mtandaoni kama sikosei maana nilisikia sio MBA halisi. Magufuli ana PhD ya chemistry (mambo ya kubangua korosho au kutumia mafuta ya mabangulio ya korosho)Lukuvi hana alikotoka maana hana taaluma yoyote, hakuna taaluma ya ukuu wa mkoa, kwa hiyo hana pa kurudi. Hawa wawili inabidi wawe watiifu tu, hakuna namna.
Labda ndio maana Magufuli alisema tutabangua korosho za Mtwara hata kwa meno, naona ana utalaamu sana wa hii shughuli, PhD! Na hata wananchi anatubangua kama korosho!😀Kabudi ni Prof. wa Sheria, alipata first class ya LLB pale UDSM, kaenda hadi PhD sheria za kimataifa. Lukuvi "anasema" ana MBA - labda MBA za mtandaoni kama sikosei maana nilisikia sio MBA halisi. Magufuli ana PhD ya chemistry (mambo ya kubangua korosho au kutumia mafuta ya mabangulio ya korosho)
Sasa niambie, yupi kati ya hawa ngalau taaluma yake ingempa sifa za kuwa raisi?
Hakuna intelligent yoyote pale kwa Kabudi. Ni mjinga wa kawaida sana mwenye utitiri wa vyeti vya darasani. Kwenye siasa na maisha, IQ ya Kabudi huenda hata iko below the average.Kabudi is very very intelligent. Anajua kujishusha ili akwezwe. Hivyo hiyo yote ni strategy. Nimewahi kuwa na Kabudi. He is very calculating. Hivi unaona mtu kama Kabudi kusema yeye ni mtu wa jalalani inaendana na profiling yake ya kuwa cocky na pompous? Anasema hivyo ili kujijenga. Ni strategy ili kumpa confidence Magufuli kuwa ni kitwana wake na pia kuwafanya watu waone ni mneyeyekevu sana. Ndio maana nikasema Kabudi anaweza kujitoa akili na maarifa (wisdom and intelligence) kwa muda mfupi ili kutimiza lengo la muda mrefu.
Mmmh, Mkuu, una sifa kweli za kum-judge Kabudi kuwa mjinga ikiwa unasema hakuna intelligent yoyote pale kwa Kabudi?Hakuna intelligent yoyote pale kwa Kabudi. Ni mjinga wa kawaida sana mwenye utitiri wa vyeti vya darasani. Kwenye siasa na maisha, IQ ya Kabudi huenda hata iko below the average.
Acha kufananisha Ujinga na Unyenyekevu. Kumnyenyekea mtu asiyeweza kujali utu na uhalisia ni ujinga mkubwa.
Kabudi amekubali kutumika na mwisho wa siku atatupwa jalalani.
Kabudi ni mjinga hasa, labda kama na wewe ni mjinga pia huwezi kujuwa wajinga wanafananaje.Mmmh, Mkuu, una sifa kweli za kum-judge Kabudi kuwa mjinga ikiwa unasema hakuna intelligent yoyote pale kwa Kabudi?
Mkuu Bujibuji, sio kwamba wamekosa sifa. Kama ni umri angalia Ali Hassan Mwinyi alikuwa na umri gani alipokuwa Raisi wa Tanzania. Kina Joe Bidden wana umri gani?
Haki ya umri aliyo nayo Magufuli ni katika kuunda baraza lake la mawaziri. Ana uhuru wote hapo, hata kuchagua mawaziri wanaovalia suruali matakoni. Lakini suala la raisi ajae atakuwa na umri gani sio lake kabisa, ni la CCM na wananchi kwa ujumla.
Suala la umri Magufuli anatumia kama kisingizio tu cha kutaka kuwaondoa Kabudi na Lukuvi mapema kwenye kinyang'aniro cha raisi ajae ili amtengenezee njia mtu wake. Sasa utaona reaction ya chini chini ndani ya CCM, na pia reaction ya Kabudi na Lukuvi. Ni vita!
Hahaha kwanini asiwe Angela Kairuki?!Rais ajaye ni UMMY MWALIMU..
Lakini hii ni kama ,Rais Magufuli ataachia ngazi muda wake ukiisha..
Very sad. Wamekosa sifa gani? Kwani katiba inasema anayezidi umri gani ndio asigombee urais?
Inasikitisha sana rais wa nchi badala ya kuchaguliwa na wananchi, tunachaguliwa na Mwenyekiti wa CCM
Mkuu usisahau Magufuli alikuja kuwa Rais kutokana na mgogoro ndani ya CCM katika kumtafuta mrithi wa Kikwete!Kwa huyu Sidhani kama kuna fisi itakurupuka.
Kwanza wanaochagua rais ni wasiojulikana,huu mgogoro CCM unatoka wapi?
Mkuu, sasa wewe hata kiswahili kinakushinda bado unawasifia wenzako ujinga. Mtu anawezaje kuwa professor na mjinga?Kabudi ni mjinga hasa, labda kama na wewe ni mjinga pia huwezi kujuwa wajinga wanafananaje.
Hata Lipumba ni profesa na mchumi.
Watu walimpigia kura Magufuli kwa push up to, mie jamani aje kwenye kampeni atikise tu ule mzigo kidogo akiuliza wapinzani taarabu imo, sio kura yangu tu, hata za kukopa kwa wengine nitampa!!!!!Hahaha kwanini asiwe Angela Kairuki?! Ni mweupe na mzigo wa haja pia!
Exactly! Kama ambavyo Kikwete alijua wazi Mwandosya akimrithi uraisi hatakaa amsikilize kamwe, ndivyo Magufuli anajua kamba Kabudi au Lukuvi wakimrithi uraisi hawatakaa wamsikilize kamwe! Kwa hiyo kama vile Kikwete alijua Membe ndie atamwezesha ku-prolong enzi yake, ndivyo ambavyo Magufuli anatafuta kijana wa ku-prolong enzi zake, ila jina bado kaliweka mfukoni.
Yeah ndio siasa ilivyo maisha ya siasa ni kizungumkuti sana 😂Hahahah! I say siasa bwana, acha tu. Unanikumbusha enzi za zamani wafalme kulazimisha binti zao kuolewa na mtoto wa ufalme fulani ili kutafuta kuungwa mkono! Yaani, kama Alfu Lela Ulela vile!
Yeah ndio siasa ilivyo maisha ya siasa ni kizungumkuti sana 😂Hahahah! I say siasa bwana, acha tu. Unanikumbusha enzi za zamani wafalme kulazimisha binti zao kuolewa na mtoto wa ufalme fulani ili kutafuta kuungwa mkono! Yaani, kama Alfu Lela Ulela vile!