Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Bila shaka utamkuta hivi sasa kwenye mapango aliyokuwa akiyasema yule aliyejitangaza kuwa ni mwalimu wao wa sayansi ya siiihasaaa.Msajili yupo Kwa ajili ya CHADEMA tu ??.
Kwamba Msajili hata Kuionya CCM kupitia viongozi wake kuacha kutoa matamko ya Taharuki , haonekani!!.
Ama KWELI, No Reforms, No Election
Hapo haja sikiaMsajili yupo Kwa ajili ya CHADEMA tu ??.
Kwamba Msajili hata Kuionya CCM kupitia viongozi wake kuacha kutoa matamko ya Taharuki , haonekani!!.
Ama KWELI, No Reforms, No Election
Pale nyumba 300 - Kisasa - Dodoma, miaka ile ya mwisho ya 90 na ya mwanzo 2000,tulikuwa tunachukua naye vibinti vya DomSec, Jamhuri,Kigong'ota.Huyo mzee Msajili ni mvuta bangi mzuri sana