Kauli ya Mbowe huenda tukaona mengi zaidi ya Viti Maalum

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
7,134
Reaction score
4,556
Katika pita pita zangu nikakutana na hii kauli ya Mbowe ambayo inachukuliwa kawaida sana ila ina kufikirisha ndani yake, huenda ikatoa majibu mengi kuhusu swala la Viti Maalum.


 
Acha siasa za vijiwe kijana! mimi nimehesabu kura Arumeru, kura alizopata Lissu ilikua ni aibu ni basi tu ile kubalance. Kwa sasa hata CCM ikisema inaconduct free and fair election i am 100% confident to tell you hata mkiungana vyama vyote vya upinzani bado kuitoa CCM haiwezekani, inshort hakuna chama kinaweza kuitoa CCM! ukiachana na figisu zilizofanyika baadhi ya sehemu lakini hata nnaowafaham waliohesabu sehemu nyingi zingine mfano Hai hakukuwa hata na sababu ya kubisha maaana mlishindwa vibaya!

- ndo maaana lissu saaahv amebaki anagombania haki za binadam badala ya kura zake
 
Maandishi kutoka kwa mtu anayejiita si mwanaccm!!
 
Wewe ni muabudu Magufuli tu wewe
 

Elimu za kata bana
 
Naona mwana CCM upo sana concerned na what CHADEMA does.

Its really funny

Chama mmeshakiua,hii concern inatoka wapi wazee wa "kishindo"?
Kwani kuna marufuku ya kuizungumzia CHADEMA! Nyie si chama cha demokrasia. Sasa mbona mnakosa vifua vya kupokea maoni tofauti na mnavyofikiri. Kuigiza demokrasia siyo mchezo. Hata Marekani wamejaribu miaka nenda rudi ila mwaka huu wamedondokea pua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…