mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Tupo wengiAiseee mimi ni mwanachi wa kawaida, ni fun wa Magufuli zaidi ya chama sasa tukiwapa ushauri unaanza tena siasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo wengiAiseee mimi ni mwanachi wa kawaida, ni fun wa Magufuli zaidi ya chama sasa tukiwapa ushauri unaanza tena siasa
Katika pita pita zangu nikakutana na hii kauli ya Mbowe ambayo inachukuliwa kawaida sana ila ina kufikirisha ndani yake, huenda ikatoa majibu mengi kuhusu swala la viti maalum.
Tutajie fact za kituo chako!Acha siasa za vijiwe kijana! mimi nimehesabu kura Arumeru, kura alizopata Lissu ilikua ni aibu ni basi tu ile kubalance. Kwa sasa hata CCM ikisema inaconduct free and fair election i am 100% confident to tell you hata mkiungana vyama vyote vya upinzani bado kuitoa CCM haiwezekani, inshort hakuna chama kinaweza kuitoa CCM! ukiachana na figisu zilizofanyika baadhi ya sehemu lakini hata nnaowafaham waliohesabu sehemu nyingi zingine mfano Hai hakukuwa hata na sababu ya kubisha maaana mlishindwa vibaya!
- ndo maaana lissu saaahv amebaki anagombania haki za binadam badala ya kura zake
Haina ubishi hii stakehighmama D katika ubora wake
Ccm hiyo inayojiamini kushinda kwa kishindo. Mbona inatumia hila kupitia vyombo vya dola na vya maamuzi . Haiwezi kushinda bila msaada wa dola.Acha siasa za vijiwe kijana! mimi nimehesabu kura Arumeru, kura alizopata Lissu ilikua ni aibu ni basi tu ile kubalance. Kwa sasa hata CCM ikisema inaconduct free and fair election i am 100% confident to tell you hata mkiungana vyama vyote vya upinzani bado kuitoa CCM haiwezekani, inshort hakuna chama kinaweza kuitoa CCM! ukiachana na figisu zilizofanyika baadhi ya sehemu lakini hata nnaowafaham waliohesabu sehemu nyingi zingine mfano Hai hakukuwa hata na sababu ya kubisha maaana mlishindwa vibaya!
- ndo maaana lissu saaahv amebaki anagombania haki za binadam badala ya kura zake
Aiseee mimi ni mwanachi wa kawaida, ni fun wa Magufuli zaidi ya chama sasa tukiwapa ushauri unaanza tena siasa
Kama ambavyo Chadema wapo concerned na issues za CCM.Naona mwana CCM upo sana concerned na what CHADEMA does.
Its really funny
Chama mmeshakiua,hii concern inatoka wapi wazee wa "kishindo"?
Habari ya jioni Fundi MchundoFun wa Magufuli mko wengi?
Amandla...
Habari ya jioni Fundi Mchundo
Salama kabisaSafi Mama D, fun wa Magufuli.
Za kwako je?
Amandla...