Kauli ya Mbowe huenda tukaona mengi zaidi ya Viti Maalum

Since when?

Mlishafanya maamuzi ya kiCCM humo kwenye vikao vyenu kuhusu wanachama wenu mwanachadema yeyote akafatilia kwa ushabiki wowote?

Ila CCM sasa,kila saa all over Chadema's business...

Halafu mnajifanya eti mnaishauri Chadema mnaipenda sana,y'all niggas are crazy!

we nawe acha shudu, kwan unadhan before tulikua ccm? si tulianza upinzani kama nyie tu ila tukabadilisha maamuzi! sasa wewe kaama hauna mada pita kule
 
Acha siasa za vijiwe kijana! mimi nimehesabu kura Arumeru, kura alizopata Lissu ilikua ni aibu ni basi tu ile kubalance. Kwa sasa hata CCM ikisema inaconduct free and fair election i am 100% confident to tell you hata mkiungana vyama vyote vya upinzani bado kuitoa CCM haiwezekani, inshort hakuna chama kinaweza kuitoa CCM! ukiachana na figisu zilizofanyika baadhi ya sehemu lakini hata nnaowafaham waliohesabu sehemu nyingi zingine mfano Hai hakukuwa hata na sababu ya kubisha maaana mlishindwa vibaya!

- ndo maaana lissu saaahv amebaki anagombania haki za binadam badala ya kura zake
Sema ukweli ulihesabu kura Arumeru ipi mbinu zote za Arumeru tunazijua Nini kilifanyika
 
Katika pita pita zangu nikakutana na hii kauli ya Mbowe ambayo inachukuliwa kawaida sana ila ina kufikirisha ndani yake, huenda ikatoa majibu mengi kuhusu swala la viti maalum.

si mmeshinda asilimia 100 mnacho angaika kuwa weka kina mzee mdee ni nn hasa si mlitaka muwe watupu bungeni ni nini kinawaangaisha saizi??
naona hamlali saizi et?? Ndio mmeshtuka mlicho kifanya ni upumbavu et?
 
Sema ukweli ulihesabu kura Arumeru ipi mbinu zote za Arumeru tunazijua Nini kilifanyika

in simple tone, there was no way huu uchaguzi mngeshinda, hata mngeungana vyama vyote vya upinzani for what i saw bado hakuna hata % yoyote mlikua mshinde
 
si mmeshinda asilimia 100 mnacho angaika kuwa weka kina mzee mdee ni nn hasa si mlitaka muwe watupu bungeni ni nini kinawaangaisha saizi??
naona hamlali saizi et?? Ndio mmeshtuka mlicho kifanya ni upumbavu et?

chadema bana! huu utopolo wako unahusiana vp na thread hii? hujui kusoma ama
 
Mtu akikupinga ni shudu?

Kwahiyo mtu akikubaliana na wewe kila kitu ndio sio shudu?

What a convenience aisee!

Wewe kua upinzania zamani has got nothing to do with today mzee

Ulikua upinzani zamani kama Dr Mkumbo au Mashinji and other stupid motherfvckers,they were but not now!

Nasemea leo,wewe leo ni mwana Magufuli,you have no or zero interest in making Chadema any good!

Kujifaragua hapa eti unaipenda Chadema the same time wewe ni bwana Magufuli ni kutukana our inteligence na uongo wa mchana peupe!

Kua mkweli na uache unafiki wewe...

Sina mada wewe ndio una mada?What do you have?Mada za kinafiki kujifanya kuishauri Chadema nonsenses?Ndio mada mufilisi hizo?
msaidieni maji kijana huyu
 
Acha siasa za vijiwe kijana! mimi nimehesabu kura Arumeru, kura alizopata Lissu ilikua ni aibu ni basi tu ile kubalance. Kwa sasa hata CCM ikisema inaconduct free and fair election i am 100% confident to tell you hata mkiungana vyama vyote vya upinzani bado kuitoa CCM haiwezekani, inshort hakuna chama kinaweza kuitoa CCM! ukiachana na figisu zilizofanyika baadhi ya sehemu lakini hata nnaowafaham waliohesabu sehemu nyingi zingine mfano Hai hakukuwa hata na sababu ya kubisha maaana mlishindwa vibaya!

- ndo maaana lissu saaahv amebaki anagombania haki za binadam badala ya kura zake
Kama umesoma utakuwa hujafanya research kwa kiwango chochote ulichosoma.
 
Acha siasa za vijiwe kijana! mimi nimehesabu kura Arumeru, kura alizopata Lissu ilikua ni aibu ni basi tu ile kubalance. Kwa sasa hata CCM ikisema inaconduct free and fair election i am 100% confident to tell you hata mkiungana vyama vyote vya upinzani bado kuitoa CCM haiwezekani, inshort hakuna chama kinaweza kuitoa CCM! ukiachana na figisu zilizofanyika baadhi ya sehemu lakini hata nnaowafaham waliohesabu sehemu nyingi zingine mfano Hai hakukuwa hata na sababu ya kubisha maaana mlishindwa vibaya!

- ndo maaana lissu saaahv amebaki anagombania haki za binadam badala ya kura zake
Mlianza kuharibu yangu serikali za mitaa.kwenye mizizi
 
Umenikumbusha bwashee. Si nyie mliopewa order na wakurugenzi watendaji wa halmashauri muwaongezee ma "0" wagombea wa ccm kwa malipo ya Tsh. 70,000/=
 
Back
Top Bottom