Kauli ya Mbowe huenda tukaona mengi zaidi ya Viti Maalum

Huo ndio mwisho wa watanzania wajinga yaani CCM CHADEMA CCM CHADEMA full ufala. Low brains
 
Tutajie fact za kituo chako!
 
Huo ndio mwisho wa watanzania wajinga yaani CCM CHADEMA CCM CHADEMA full ufala. Low brains

Hahaha unakwama wap kwan mkuu, mbna ccm mambo yamenyooka tu kila baada ya miaka 10 anakuja mwenyekiti mpya!
 
Ccm hiyo inayojiamini kushinda kwa kishindo. Mbona inatumia hila kupitia vyombo vya dola na vya maamuzi . Haiwezi kushinda bila msaada wa dola.
 
Naona mwana CCM upo sana concerned na what CHADEMA does.

Its really funny

Chama mmeshakiua,hii concern inatoka wapi wazee wa "kishindo"?
Kama ambavyo Chadema wapo concerned na issues za CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…