Kauli ya mbunge Sugu kwamba CCM inachukua watu "Wajinga wajinga" kutoka CHADEMA siyo ya kiungwana

Kwani ujinga ni tusi? Mjinga nimtu asiyeelewa Jambo Ila akieleweshwa anaelewa,kuwa shabiki wasimba hakukufanyi usitambue uwezo bora wayanga lakini kuhama Simba kwenda yanga ndiohoja kuu ulizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa. Ni kama historia ya Sultani Mangungo! Kama tunavyosoma historia ya vyama kama TANU, ASP nk, hayo pia yatasomwa na vizazi vyetu, hata kama watafanikiwa kuuwa kabisa upinzani. Kilangila.
 
Acha ujinga na dharau, Haji Manara hazungumzi ujinga. Mama yako ndio anazungumza ujinga.
 
Sugu bangi hazijamuisha kichwani, mjinga utampa ukatibu mkuu wa Chama? Utampa kugombea Urais wa nchi? Utampa kugombea Ubunge?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio wajinga tu ni malofa wakubwa.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni zaidi ya wajinga wajinga, yani kiongozi wa upinzani kashinda kwa shida kasababisha mpaka kuna watu wamekua vilema kwa kulinda kura ila mwisho wa siku anakubali kuachia jimbo au kata kwa kuunga mkono juhudi tena kipindi hichi tunachokaribia uchaguzi mkuu. Sasa huyu aitweje zaidi ya mjinga mjinga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ukiitwa mjinga na lofa lipi kwako utalifurahia ?
 
Lini sugu alikuwa na uungwana
 
Kumbe Hajji Manara ni MHUNI???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani bora angesema ccm inanunua wapumbavu maana hakuna maneno mazuri ya kusifia huu uchafu
 
Neno “kujitambua”, umelitumia sehemu isiyostahili kwa maoni. Labda kutoka ccm ndo kujitambuwa.

Kwani walipoingia chadema walikuwa “hawajitambui”?

Pia sidhani kama ni sahihi kuwajumuisha Dr Slaa na Masha kwenye umalaya malaya huu unaondelea mkuu.
 
Sugu bangi hazijamuisha kichwani, mjinga utampa ukatibu mkuu wa Chama? Utampa kugombea Urais wa nchi? Utampa kugombea Ubunge?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mjinga huwezi kumwelewa mpaka pale anapofanya mambobya kijinga. Unaweza kumpa mtu uongozi ukiamini ana uelewa lakini atakavyotenda, ndiyo utajua kama ana uelewa au ni mjinga.

Kuchaguliwa kuwa mbunge, Rais, diwani, Mwenyekiti, Katibu, n.k. haimaanishi kuwa ni mtu mwenye weledi. Bali atakavyotenda ndipo utajua kama mliyemchagua ni mwerevu au ni mjinga, mnafiki, fisadi au mwongo.
 
Huyu mbunge si ndio yule aliyefanya vurugu bungeni akatolewa nje na askari wa Bunge??

Kauli yake ni mbovu mno.

Mbeya wanahasara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…