mchezo huu hapa ndio sisi tunasubiri kwa hamu sababu ya kumuengua hatukatai kuenguliwa ila sababu basiiKama unafuatilia vizuri, Magufuli, Membe, Lissu... wote wamekusanya watu kwa degree tofauti kipindi hiki. Labda sasa uniambie tu kwamba sheria inasema ukiwakusanya mara moja ama mbili siyo kosa.
amezingua nini ambacho wengine hawajafanya?Nimsifie kwa lipi jipya?nimeshamsifia sana pale ninapoona anafanya vyema ninamshushia sifa zake, akikosea pia ninasema amekosea, nimeshamsifia sana kwenye barabara, umeme, maji, ukusanyaji wa kodi n.k unataka niwe ninasifia kila siku?mada iliyopo ni ya lissu, kwa upande wangu ninaona amezingua, sheria zinatafsiriwa, aepuke migongano isiyo ya lazima
Upande wa ulinzi ndio NEC walisema ni ya polisi; na polisi nao ungewauliza mbona Lissu kaanza campaign wangekwambia hayo ni ya tume ya uchaguzi...kaka unalazimisha.
..Nimemsikiliza Katibu wa Tume anasema yanayofanyika sasa hivi yanatakiwa kushughulikiwa na vyombo vingine, siyo tume.
Ukiona Simba na swala wanagombana halafu mtu akasema sitaki kuingilia ugomvi usionihusu jua yuko upande wa SIMBAKwani matendo ya chadema kwa ccm ni yakiungwana?????
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Acheni MATENDO ya KISHETANI nyinyi CCMNyie upinzani mnajiona nyingi tuuu...ndio mpo..kwann ni nyinyi tuu mnalalama mbona vyama vingine havilalamiki..mna matatizo gani..it means mna matatizo Sana subirini matokeo
Kwani shughuli za kisiasa na mikutano zinazuiliwa? Ni kutojua sharia zinataka nini.... Magufuli amefanya kampeni miaka 5, ngoja tuoneHabari wadau,
Kwanza niwapongeze viongozi wote wa vyama vya kisiasa walio Tia Nia ya Kugombea Urais bila kuonyesha dalili zozote za kuchafua nchi
Nanukuu
Rais Magufuli alipoenda kuchukua form Alisema nimekuja peke yangu kwa sababu sitaki kuvunja sheria kwani hairuusiw Mgombea kuongozana na umati wa watu kwenye ofisi za kuchukulia form
Membe Leo kasema kua wametafuta wadhamin Ndani ya mikoa 10 kimia kimia ili kukwepa Mtego. Je, huo Mtego ni upi?
Juzi Tundu Lissu ameanza kutoa vitisho kuwa anasikia wanataka kumkata japo wahusika hawaja taja Jina mtu yeyote wala hawaja ongea habar za kumkata mtu ila wao wamejikita katika misingi ya kuendelea kuwakumbusha wagombea kufata sheria na kusema Atae junja sheria ya uchaguzi Basi wata mshuhulikia
Nacho jiuliza mimi ni haya maneno ya Membe na kwanini Tundu Lissu na chadema wajihisi ni Wao ndio walio Anza kampen kabla ya muda kwanin wajihisi ni wao ndio walio tukana kwann wajihisi ni wao ndio Wata katwa!?
Au wanajua walilo yatenda?
Wanajua sana wanachofanya na haya ni kwa maelekezo ya akina Amsterdam wakidhani Serikali ya Tanzania inawaogopa na eti itawaacha wavunje sheria kwa vitisho vya mabeberu. Haita wezekana kwetu hapa Tanzania, atakaye vunja sheria atakiona tu. Baada ya hapo aende popote.Habari wadau,
Kwanza niwapongeze viongozi wote wa vyama vya kisiasa walio Tia Nia ya Kugombea Urais bila kuonyesha dalili zozote za kuchafua nchi
Nanukuu
Rais Magufuli alipoenda kuchukua form Alisema nimekuja peke yangu kwa sababu sitaki kuvunja sheria kwani hairuusiw Mgombea kuongozana na umati wa watu kwenye ofisi za kuchukulia form
Membe Leo kasema kua wametafuta wadhamin Ndani ya mikoa 10 kimia kimia ili kukwepa Mtego. Je, huo Mtego ni upi?
Juzi Tundu Lissu ameanza kutoa vitisho kuwa anasikia wanataka kumkata japo wahusika hawaja taja Jina mtu yeyote wala hawaja ongea habar za kumkata mtu ila wao wamejikita katika misingi ya kuendelea kuwakumbusha wagombea kufata sheria na kusema Atae junja sheria ya uchaguzi Basi wata mshuhulikia
Nacho jiuliza mimi ni haya maneno ya Membe na kwanini Tundu Lissu na chadema wajihisi ni Wao ndio walio Anza kampen kabla ya muda kwanin wajihisi ni wao ndio walio tukana kwann wajihisi ni wao ndio Wata katwa!?
Au wanajua walilo yatenda?
akija kututembelea analeta hela kwa kila mwananchi? Zaidi ya kusababisha foleni tu zisizo na mpango mkitoka hapo kila mtu kuhangaika na familia yakeChadema ni watu wa ovyo sana wamekuwa wakifanya matukio ambayo wanaona kabisa yanavunja sheria ili kutafuta tu attention ya authorities na baadae kuja kulalama hawa watu kwa kweli hawana Nia njema na Taifa letu tulivu kabisa nitashangaa sana kama Jaji Kaijage ata mpa Tundu lissu go ahead ya kuvie for presidency, Lissu hafai sio tu kuwa Rais hata Kwenye ubunge hatoshi kabisa ni mtu mwenye mrengo wa kutataka tutumbukie kwenye machafuko just for his own interests, familia yake iko Brussels, Belgium huyo sio mwenzetu wala asituhadae watanzania
Tunahitaji mzalendo Wa kweli kama JPM ambae within 5 years during his tenure amekuwa mtu wa kutembelea maeneo mbalimbali ya Nchi yetu.
Ni kweli na tulikula zile hela balaahivi ni mimi ambae sielewi au? mbona 2015 lowasa akiwa CCM kabla hajakatwa alikua aita safari ya matumaini alikua na mabasi yanapita kila mkoa wanachi ni kupanda na ilikua ni harakat kweli...iweje lissu ndio aonekane kwa Nec? lissu akikubali atakua fala japo najua hawezi kamwe
Sasa utasemaje ni kufanya kampeni kama hujateuliwa na tume kuwa mgombea?Deep down unajua that is not the case.
Unapoenda kuomba kazi kigezo cha mwajiri kikisema applicant asiwe na criminal record ndani ya miaka 3 it means that.
Kanuni zipo wazi ukishachukua form za kugombea uraisi uruhusiwi kufanya campaign mpaka tarehe 26.
Kilichobaki ni kuombea busara itumike NEC lakini kwenye kuvunja kanuni lipo wazi.
Mchana mwema mkuu.
Uoga wa ccm utaingiza nchi kwenye machafuko, lissu alikuwa anawasalimia wadhamini waliomuuliza habari ya afya yake, baada ya Kurudi akiwa mzima,Habari wadau,
Kwanza niwapongeze viongozi wote wa vyama vya kisiasa walio Tia Nia ya Kugombea Urais bila kuonyesha dalili zozote za kuchafua nchi
Nanukuu
Rais Magufuli alipoenda kuchukua form Alisema nimekuja peke yangu kwa sababu sitaki kuvunja sheria kwani hairuusiw Mgombea kuongozana na umati wa watu kwenye ofisi za kuchukulia form
Membe Leo kasema kua wametafuta wadhamin Ndani ya mikoa 10 kimia kimia ili kukwepa Mtego. Je, huo Mtego ni upi?
Juzi Tundu Lissu ameanza kutoa vitisho kuwa anasikia wanataka kumkata japo wahusika hawaja taja Jina mtu yeyote wala hawaja ongea habar za kumkata mtu ila wao wamejikita katika misingi ya kuendelea kuwakumbusha wagombea kufata sheria na kusema Atae junja sheria ya uchaguzi Basi wata mshuhulikia
Nacho jiuliza mimi ni haya maneno ya Membe na kwanini Tundu Lissu na chadema wajihisi ni Wao ndio walio Anza kampen kabla ya muda kwanin wajihisi ni wao ndio walio tukana kwann wajihisi ni wao ndio Wata katwa!?
Au wanajua walilo yatenda?
πππππACT ni CCM iliyopakwa rangi ya zambarau