Uchaguzi 2020 Kauli ya Membe leo imedhihirisha kuwa Tundu Lissu hatunaye tena kwenye uchaguzi ujao

Habari wadau,

Kwanza niwapongeze viongozi wote wa vyama vya kisiasa walio Tia Nia ya Kugombea Urais bila kuonyesha dalili zozote za kuchafua nchi

Nanukuu
Rais Magufuli alipoenda kuchukua form Alisema nimekuja peke yangu kwa sababu sitaki kuvunja sheria kwani hairuusiw Mgombea kuongozana na umati wa watu kwenye ofisi za kuchukulia form

Membe Leo kasema kua wametafuta wadhamin Ndani ya mikoa 10 kimia kimia ili kukwepa Mtego. Je, huo Mtego ni upi?

Juzi Tundu Lissu ameanza kutoa vitisho kuwa anasikia wanataka kumkata japo wahusika hawaja taja Jina mtu yeyote wala hawaja ongea habar za kumkata mtu ila wao wamejikita katika misingi ya kuendelea kuwakumbusha wagombea kufata sheria na kusema Atae junja sheria ya uchaguzi Basi wata mshuhulikia

Nacho jiuliza mimi ni haya maneno ya Membe na kwanini Tundu Lissu na chadema wajihisi ni Wao ndio walio Anza kampen kabla ya muda kwanin wajihisi ni wao ndio walio tukana kwann wajihisi ni wao ndio Wata katwa!?

Au wanajua walilo yatenda?
Tamasha la wiki iliyopita la CCM na Wasanii walevi lilikuwa Kampeni ama si kampeni?
Magufuli alipokuwa Akiongea kwa miaka mi5 kuwa Wapinzani wasichaguliwe alikuwa akifanya Kampeni ama si Kampeni?
 
Lissu hawezi kukatwa hata kama amevunja sheria izo mnazosema

Na ikitokea ikawa ivyo,basi amini kwamba Tanzania itaenda kuweka rekodi mpya ya umwagaji damu kipindi chote cha kampeni.
Ha ha ha! Hamna lolote, katika watu waoga ni Chadema, Lisu anakatwa na hakuna chochote kitakachotokea.
Mark my words
 
Ndiyo tatizo la kuwa much know, watu walionya mapema, lakini hawakuwasikia

Mlionya nini? Nyie ndio mliokuwa mnasema siku ya nane nane ofisi haiko wazi? Mlikuwa mnasema hawezi kugombea maana ana kesi hivyo atanyimwa fomu. Sasa hivi mikutano ya hadhara ya siasa aliyeikataza kinyume na sheria kairuhusu, ulitaka apite aombe watu wakafanye mikutano? Au kwako kila mkutano wa siasa ni kampeni? Mmetiwa woga mpaka haki zenu mnaogopa kuzitumia na kudhani ni hisani.
 
Ni kweli Lisu anaweza kukatwa, na sababu zitakazotumika ni hizo ulizotaja, lakini sababu haswa ya yeye kukatwa ni kwakuwa Magufuli hawezi kushindana na Lisu kisiasa, hivyo atatumia madaraka yake kushurutisha Lisu aenguliwe. Na NEC wanajua idadi yao ya kubumba ya wapiga kura 29m+, haiwezi kufanya kazi vizuri iwapo Lisu atakuwa mgombea wa urais, kwani hatakubali matokeo ya kihuni.
Taratibu na kanuni Ziko Waz I na huyo Lisu wenu mnasema anapendwa kulikuwa na sababu gani atumie gharama kubwa Sana za kutafuta wadhamini?

Kama anapendwa wangeweza toka mikoa yote Tanzania nzima wakaja kujazia nyumbani kwake wazungu huangalia end result tu

Ona Sasa akina Membe wametumia gharama Ndogo time kukamilisha zoezi lile like ambalo Lisu katumia gharama kubwa mno ku achieve end result ile ile ya kujaza wadhamini ya Membe!!!

End result cost ya Lisu ni kubwa kuliko ya Membe

Membe Yuko cost concious akijua pesa zinahitajika mbeleni zaidi kwenye kampeni Sio kutafuta wadhamini!!! Lisu anaamnin nyingi zinahitajika kuuza sura kutafuta wadhamini !!! Chadema akili zenu Ziko chini

Lisu Kama kweli anapendwa kwa Nini fomu abebe mwenyewe kutafuta wadhamini kwa Nini hakuwapa wampendao wazungushe??

Alichofanya Ni kutafuta kupendwa !!! Sababu anajua love level iko chini kea hiyo ili upendeke jitokeze hadharani paka poda vizuri Halafu SEMA Mimi ndio Lisu
 
Ha ha ha! Hamna lolote, katika watu waoga ni Chadema, Lisu anakatwa na hakuna chochote kitakachotokea.
Mark my words

Hoja yako ni nini hapa dogo? Kwa hiyo atakatwa ili kupima uoga wa Cdm ama?
 
Habari wadau,

Kwanza niwapongeze viongozi wote wa vyama vya kisiasa walio Tia Nia ya Kugombea Urais bila kuonyesha dalili zozote za kuchafua nchi

Nanukuu
Rais Magufuli alipoenda kuchukua form Alisema nimekuja peke yangu kwa sababu sitaki kuvunja sheria kwani hairuusiw Mgombea kuongozana na umati wa watu kwenye ofisi za kuchukulia form

Membe Leo kasema kua wametafuta wadhamin Ndani ya mikoa 10 kimia kimia ili kukwepa Mtego. Je, huo Mtego ni upi?

Juzi Tundu Lissu ameanza kutoa vitisho kuwa anasikia wanataka kumkata japo wahusika hawaja taja Jina mtu yeyote wala hawaja ongea habar za kumkata mtu ila wao wamejikita katika misingi ya kuendelea kuwakumbusha wagombea kufata sheria na kusema Atae junja sheria ya uchaguzi Basi wata mshuhulikia

Nacho jiuliza mimi ni haya maneno ya Membe na kwanini Tundu Lissu na chadema wajihisi ni Wao ndio walio Anza kampen kabla ya muda kwanin wajihisi ni wao ndio walio tukana kwann wajihisi ni wao ndio Wata katwa!?

Au wanajua walilo yatenda?
Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako...

nirudie tena??
 
Taratibu na kanuni Ziko Waz I na huyo Lisu wenu mnasema anapendwa kulikuwa na sababu gani atumie gharama kubwa Sana za kutafuta wadhamini?

Kama anapendwa wangeweza toka mikoa yote Tanzania nzima wakaja kujazia nyumbani kwake wazungu huangalia end result tu

Ona Sasa akina Membe wametumia gharama Ndogo time kukamilisha zoezi lile like ambalo Lisu katumia gharama kubwa mno ku achieve end result ile ile ya kujaza wadhamini ya Membe!!!

End result cost ya Lisu ni kubwa kuliko ya Membe

Membe Yuko cost concious akijua pesa zinahitajika mbeleni zaidi kwenye kampeni Sio kutafuta wadhamini!!! Lisu anaamnin nyingi zinahitajika kuuza sura kutafuta wadhamini !!! Chadema akili zenu Ziko chini

Lisu Kama kweli anapendwa kwa Nini fomu abebe mwenyewe kutafuta wadhamini kwa Nini hakuwapa wampendao wazungushe??

Alichofanya Ni kutafuta kupendwa !!! Sababu anajua love level iko chini kea hiyo ili upendeke jitokeze hadharani paka poda vizuri Halafu SEMA Mimi ndio Lisu

Kama ukizunguka ndio utapendwa, zunguka ww ili upendwe. Kwanza sasa hivi mikutano ya kisiasa imeruhusiwa na aliyeikataza kinyume na sheria. Alichofanya Lisu ni kuua ndege wawili kwa jiwe moja, kusaka wadhamini, na wakati huo kuamsha hamasa ya wananchi na kuwaweka kwenye election mode. Hata gari kama limepaki kwa muda mrefu na unataka kwenda nalo safari lazima uliwashe kwa muda ili kupandisha oil.

Hata ukitaka mapenzi kwa mkeo unamuandaa kwa kumtomasa kwanza, ili kumuweka tayari kwa tendo takatifu, sio kumvua tu na kumparamia. Magufuli kageuza watu mazuzu, hata haki zao ambazo hazimfurahishi zikitekelezwa, watu wanaona kama wanavunja sheria.
 
Taratibu na kanuni Ziko Waz I na huyo Lisu wenu mnasema anapendwa kulikuwa na sababu gani atumie gharama kubwa Sana za kutafuta wadhamini?

Kama anapendwa wangeweza toka mikoa yote Tanzania nzima wakaja kujazia nyumbani kwake wazungu huangalia end result tu

Ona Sasa akina Membe wametumia gharama Ndogo time kukamilisha zoezi lile like ambalo Lisu katumia gharama kubwa mno ku achieve end result ile ile ya kujaza wadhamini ya Membe!!!

End result cost ya Lisu ni kubwa kuliko ya Membe

Membe Yuko cost concious akijua pesa zinahitajika mbeleni zaidi kwenye kampeni Sio kutafuta wadhamini!!! Lisu anaamnin nyingi zinahitajika kuuza sura kutafuta wadhamini !!! Chadema akili zenu Ziko chini

Lisu Kama kweli anapendwa kwa Nini fomu abebe mwenyewe kutafuta wadhamini kwa Nini hakuwapa wampendao wazungushe??

Alichofanya Ni kutafuta kupendwa !!! Sababu anajua love level iko chini kea hiyo ili upendeke jitokeze hadharani paka poda vizuri Halafu SEMA Mimi ndio Lisu
End result pia ni kukatwa hopeless candidate lissu alisomea wapi??? Chadema mnamzigo hangaikeni nao,
 
Mikutano ya kisiasa iliyopo kisheria, na aliyeikataza kinyume na sheria, kashasema huu ni muda wa kufanya siasa.
Lisu ni mbunge wa chama gani, na je aliomba kibali cha mkutano au alikuwa anafanya kwa jeuri yake?
 
Sheria ya Uchaguzi wametunga wao!
Tume ya Uchaguzi ni yao!
Polisi wanafuata maagizo yao!
Bado hawatosheki!
 
Kwani wewe huna uelewa mpaka usubiri Membe asema, ndiyo awe reference yako.

Kuna shida mahali kwenye elimu yetu. Unamkuta mtu na Masters yake lakini haamini kama anaweza kusoma kitu akakielewa. Mbaya zaidi atamfanya mtu wa diploma kuwa reference yake kwenye fani ambayo huyo wa diploma hakuwahi kuisomea au kuifanyia kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lissu hawezi kukatwa hata kama amevunja sheria izo mnazosema

Na ikitokea ikawa ivyo,basi amini kwamba Tanzania itaenda kuweka rekodi mpya ya umwagaji damu kipindi chote cha kampeni.
Nyie hamna huo uwezo, hamna namba, ni nataka itokee ivyo, tuwaone, na ndio mjijue, you do not have neither the number nor power.
 
Lisu ni mbunge wa chama gani, na je aliomba kibali cha mkutano au alikuwa anafanya kwa jeuri yake?

Bunge limevunjwa mzee naona bado uko kwenye hangover ya siasa za uonevu. Hiyo mikutano anayofanya Magufuli huko barabarani akipita, huwa anaomba kibali, au yeye huwa juu ya hizi sheria kandamizi?
 
Kampen wanafanya wagombea sio Wana chama pia pale ulikua mkutano wa ndani kama chadema mnaweza basi na nyie fanyen

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Hujawahi kusoma sheria ya uchaguzi hata kidogo?

Makosa wakati wa uchaguzi ambayo NEC huweza kutoa adhabu ni yale yaliyofanywa na mgombea na mawakala wake. Mawakala wa mgombea ni chama kilichomdhamini, viongozi wa chama au hata wapiga kampeni wake, katika mambo yote yanayohusiana na uchaguzi.

Mambo yote atakayoyafanya Polepole, Bashiru, Mangula au makada wa CCM walioruhusiwa kushiriki kwenye matukio maalum ya uchaguzi yaliyoandaliwa na CCM au Magufuli, kama ni kinyume cha sheria ya uchaguzi, Magufuli na CCM wanastahili kuadhibiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani wewe huna uelewa mpaka usubiri Membe asema, ndiyo awe reference yako.

Kuna shida mahali kwenye elimu yetu. Unamkuta mtu na Masters yake lakini haamini kama anaweza kusoma kitu akakielewa. Mbaya zaidi atamfanya mtu wa diploma kuwa reference yake kwenye fani ambayo huyo wa diploma hakuwahi kuisomea au kuifanyia kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wewe unatumia akiri ya Lisu kufikili hata kama akiongopa unapiga makofi pamoja na mbowe ila akiribyako umetunza kwenye box?
 
Habari wadau,

Kwanza niwapongeze viongozi wote wa vyama vya kisiasa walio Tia Nia ya Kugombea Urais bila kuonyesha dalili zozote za kuchafua nchi

Nanukuu
Rais Magufuli alipoenda kuchukua form Alisema nimekuja peke yangu kwa sababu sitaki kuvunja sheria kwani hairuusiw Mgombea kuongozana na umati wa watu kwenye ofisi za kuchukulia form

Membe Leo kasema kua wametafuta wadhamin Ndani ya mikoa 10 kimia kimia ili kukwepa Mtego. Je, huo Mtego ni upi?

Juzi Tundu Lissu ameanza kutoa vitisho kuwa anasikia wanataka kumkata japo wahusika hawaja taja Jina mtu yeyote wala hawaja ongea habar za kumkata mtu ila wao wamejikita katika misingi ya kuendelea kuwakumbusha wagombea kufata sheria na kusema Atae junja sheria ya uchaguzi Basi wata mshuhulikia

Nacho jiuliza mimi ni haya maneno ya Membe na kwanini Tundu Lissu na chadema wajihisi ni Wao ndio walio Anza kampen kabla ya muda kwanin wajihisi ni wao ndio walio tukana kwann wajihisi ni wao ndio Wata katwa!?

Au wanajua walilo yatenda?
Obama alipokuja hapa baada ya kustaafu Watanzania wengi walijua ingawa wahusika walitaka iwe siri vivyo hivyo mtu mashughuri huwezi kumficha utafichika wewe ukijaribu. Mtu au watu wakitafuta makosa yoyote ya mtu yeyote kwa nia yoyote watayapata kwa njia mbalimbali. Mh. Lissu alikuwa mashughuri akiwa Mbunge kama Wabunge wenzake akionekana ni tishio, kilichompata kilimwongezea umashughuri, kukaa nje ya nchi miaka 3 kuliongeza umaarufu, kufukuzwa Ubunge na kumnyima haki zake kumeongeza mvuto, ujasiri wa kuamua kurudi kwenye pango la Simba na kutaka mnofu toka mdomo wa simba kumemfanya awe kipenzi cha wengi na muda mfupi wa kukamilisha matakwa ya Sheria asingepata wadhamini angekaa tu Singida. Utakuwa mjinga sana ukianza kucheza mchezo wowote kabla ya kipenga na kudai pointi vivyo hivyo kampeini inaanza baada ya kipenga na mgombea ananadi Sera na Ilani ya Chama chake na siyo kutafuta wadhamini.
 
Back
Top Bottom