Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah na move itakua nzur pale Tundulisu atakapo wekewa pingamiz na vyama vyote vya upinzani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ataita maji mmaAct ni tawi la ccm lililo changamka.
Membe analipwa kwa kukubali kuwa upinzani.
Zitto na mbatia wote ni vijana wa ccm kama alivyo kua Katambi.
nafuatilia post zako sana,Hahahah na move itakua nzur pale Tundulisu atakapo wekewa pingamiz na vyama vyote vya upinzani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ataita maji mma
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Wacha uongo, kuna kipindi cha kampeni kinajulikana, kila nchi ina utaratibu wake ndio sababu JPM alipiga marufuku kampeni ambazo hazina mwisho. Unakumbuka kisa cha kwa nini marehemu Akwilina aliuawa? Ni ukaidi wa Chadema kujifanya wao wanafahamu zaidi sheria kuliko waliotunga sheria na wanaosimamia sheria.hakuna sheria , kanuniyuchaguzi inayosema kitu kinaitwa kuanza kampeini mapema!
Mbona serikali ya jiwe imekiuka Katiba Mara kibao sembuse vijikanuni vya necChadema ni watu wa ovyo sana wamekuwa wakifanya matukio ambayo wanaona kabisa yanavunja sheria ili kutafuta tu attention ya authorities na baadae kuja kulalama hawa watu kwa kweli hawana Nia njema na Taifa letu tulivu kabisa nitashangaa sana kama Jaji Kaijage ata mpa Tundu lissu go ahead ya kuvie for presidency, Lissu hafai sio tu kuwa Rais hata Kwenye ubunge hatoshi kabisa ni mtu mwenye mrengo wa kutataka tutumbukie kwenye machafuko just for his own interests, familia yake iko Brussels, Belgium huyo sio mwenzetu wala asituhadae watanzania
Tunahitaji mzalendo Wa kweli kama JPM ambae within 5 years during his tenure amekuwa mtu wa kutembelea maeneo mbalimbali ya Nchi yetu.
Nenda kawashitaki.Mbona serikali ya jiwe imekiuka Katiba Mara kibao sembuse vijikanuni vya nec
Siwezi kubishana na wewe! Ukishasema JPM alipiga marufuku, basi wewe ni mbumbumbu! wa sheria zetu,, hata ambazo hazihitaji kwenda shule!Wacha uongo, kuna kipindi cha kampeni kinajulikana, kila nchi ina utaratibu wake ndio sababu JPM alipiga marufuku kampeni ambazo hazina mwisho. Unakumbuka kisa cha kwa nini marehemu Akwilina aliuawa? Ni ukaidi wa Chadema kujifanya wao wanafahamu zaidi sheria kuliko waliotunga sheria na wanaosimamia sheria.
Siasa za maji taka haziwezi kuondoa umasikini kwenye Jamii ya Watanzania.
Kanuni zinabadilikia kila uchaguzi mpya unapokuja, 2015 ilikuwa na kanuni zake, 2020 pia na Chadema mlisaini. Mbowe alijua ila aliamua kukaa kimya kwani naye hajafurahishwa na sarakasi mbofumbofu za Lissu. Tanzania 🇹🇿 kwanzahivi ni mimi ambae sielewi au? mbona 2015 lowasa akiwa CCM kabla hajakatwa alikua aita safari ya matumaini alikua na mabasi yanapita kila mkoa wanachi ni kupanda na ilikua ni harakat kweli...iweje lissu ndio aonekane kwa Nec? lissu akikubali atakua fala japo najua hawezi kamwe
Hahahah na move itakua nzur pale Tundulisu atakapo wekewa pingamiz na vyama vyote vya upinzani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ataita maji mma
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Ndiomana nikosa kafanya kampen kabla hajateuliwa kuwa Mgombea chadema utasema mnawauzia matako
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app