Uchaguzi 2020 Kauli ya Membe leo imedhihirisha kuwa Tundu Lissu hatunaye tena kwenye uchaguzi ujao

Uchaguzi 2020 Kauli ya Membe leo imedhihirisha kuwa Tundu Lissu hatunaye tena kwenye uchaguzi ujao

Act ni tawi la ccm lililo changamka.

Membe analipwa kwa kukubali kuwa upinzani.

Zitto na mbatia wote ni vijana wa ccm kama alivyo kua Katambi.
 
Upinzani mwaka huu wamejipange vizuri sana...
Yeyote atakayekatwa jina aungane na mwenzake kuongeza nguvu!!
Alafu wale walochukua fomu za Ubunge na udiwani wazirudishe mapema kuepuka mitego...
ccm wakitangulia kurudisha wajue ndo imeisha hiyo...
 
Act ni tawi la ccm lililo changamka.

Membe analipwa kwa kukubali kuwa upinzani.

Zitto na mbatia wote ni vijana wa ccm kama alivyo kua Katambi.
Hahahah na move itakua nzur pale Tundulisu atakapo wekewa pingamiz na vyama vyote vya upinzani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ataita maji mma

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
hakuna sheria , kanuniyuchaguzi inayosema kitu kinaitwa kuanza kampeini mapema!
 
nafuatilia post zako sana,
soma hii
................the law is clear under section 143 of the Evidence Act, Cap. 6 of the Revised Edition, 2002 that no number of witnesses is required to prove a case. What is relevant is the credibility of the witness.
Court of appeal Tanzania

Hivyo hata CCM na Jiwe wote akaenda kusimama mahakamani kutoa ushahidi kuwa alianza kampeni mapema, credibility yao na ushahidi wao ndiyo inayobeba uzito na si cheo, wingi ...
 
Wameanza kulialia kama vitoto vilivyokosa lawa lawa. Sheria ni msumeno unakata kote kote.
 
hakuna sheria , kanuniyuchaguzi inayosema kitu kinaitwa kuanza kampeini mapema!
Wacha uongo, kuna kipindi cha kampeni kinajulikana, kila nchi ina utaratibu wake ndio sababu JPM alipiga marufuku kampeni ambazo hazina mwisho. Unakumbuka kisa cha kwa nini marehemu Akwilina aliuawa? Ni ukaidi wa Chadema kujifanya wao wanafahamu zaidi sheria kuliko waliotunga sheria na wanaosimamia sheria.

Siasa za maji taka haziwezi kuondoa umasikini kwenye Jamii ya Watanzania.
 
Chadema ni watu wa ovyo sana wamekuwa wakifanya matukio ambayo wanaona kabisa yanavunja sheria ili kutafuta tu attention ya authorities na baadae kuja kulalama hawa watu kwa kweli hawana Nia njema na Taifa letu tulivu kabisa nitashangaa sana kama Jaji Kaijage ata mpa Tundu lissu go ahead ya kuvie for presidency, Lissu hafai sio tu kuwa Rais hata Kwenye ubunge hatoshi kabisa ni mtu mwenye mrengo wa kutataka tutumbukie kwenye machafuko just for his own interests, familia yake iko Brussels, Belgium huyo sio mwenzetu wala asituhadae watanzania
Tunahitaji mzalendo Wa kweli kama JPM ambae within 5 years during his tenure amekuwa mtu wa kutembelea maeneo mbalimbali ya Nchi yetu.
Mbona serikali ya jiwe imekiuka Katiba Mara kibao sembuse vijikanuni vya nec
 
Wacha uongo, kuna kipindi cha kampeni kinajulikana, kila nchi ina utaratibu wake ndio sababu JPM alipiga marufuku kampeni ambazo hazina mwisho. Unakumbuka kisa cha kwa nini marehemu Akwilina aliuawa? Ni ukaidi wa Chadema kujifanya wao wanafahamu zaidi sheria kuliko waliotunga sheria na wanaosimamia sheria.

Siasa za maji taka haziwezi kuondoa umasikini kwenye Jamii ya Watanzania.
Siwezi kubishana na wewe! Ukishasema JPM alipiga marufuku, basi wewe ni mbumbumbu! wa sheria zetu,, hata ambazo hazihitaji kwenda shule!
 
hivi ni mimi ambae sielewi au? mbona 2015 lowasa akiwa CCM kabla hajakatwa alikua aita safari ya matumaini alikua na mabasi yanapita kila mkoa wanachi ni kupanda na ilikua ni harakat kweli...iweje lissu ndio aonekane kwa Nec? lissu akikubali atakua fala japo najua hawezi kamwe
Kanuni zinabadilikia kila uchaguzi mpya unapokuja, 2015 ilikuwa na kanuni zake, 2020 pia na Chadema mlisaini. Mbowe alijua ila aliamua kukaa kimya kwani naye hajafurahishwa na sarakasi mbofumbofu za Lissu. Tanzania 🇹🇿 kwanza
 
Hawa wana CCM hawaelewi, ndiyo maana kampeni zikianza rasmi tunategemea media zote zitaacha visingizio muda bado hivyo hawaonyeshi shughuli za CHADEMA kumtambulisha Tundu Lissu ili wananchi wajue amerudi nchini maana siku zote mlidai hamjui Tundu Lissu ni mtoro, hamjui yupo nchi gani.

Sasa amerudi ameteuliwa kuwa Makamu wa Mwenyekiti CHADEMA , pia atabeba bendera ya chama kugombea urais hivyo yule ambaye alikuwa 'hajulikani alipo, mtoro n.k' lazima apitishwe kwa wananchi wamuone kweli karudi na kutambukishwa ili wamdhamini.

Pia mikutano ya kisiasa 'imeruhusiwa' na JPM sasa kelele za nini mtu mtoro kujipitisha watu wamuone.
 
Yaani nec wajaribu waone, hii nchi itatawaliwa na jeshi sio magufuli tena.
 
Kitu ambacho wengi hawakifahamu ni kwamba kete ya upinzani ni kusimamisha mgombea mmoja, ambae ni Benard Membe. Anachofanya Lissu ni kuiprovoke serikali na kuitaftia sababu ya kumkata ili aungane na Membe, na endapo watamuacha bado atakuwa na added advantage ya kuanza kampeni kabla ya wakati..hii kwake ni credit tayari

Kwa maana hiyo, serikali iko njia panda, wamkate ili akaongeze nguvu upande wapili au wamuache japo wanajua fika kwamba anakiuka baadhi ya vifungu....

Uwamuzi wowote ule wa tume utaharibu zaidi...ni bora wamuache tu.
 
Back
Top Bottom