Pre GE2025 Kauli ya Nape na Mkuu wa Wilaya ya Longido kuwa serikali ya CCM inalazimisha ushindi katika uchaguzi zinahalalisha kuindoa CCM madarakani kwa nguvu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
wale walitakiwa kufutwa uanachama .kuwatumbua tu haitoshi.unaposema sisiem inaiba kuara unataka kusema hata bosi wako aliyeko madarakani yuko kimchongo.unataka ajiuzulu.
 
wale walitakiwa kufutwa uanachama .kuwatumbua tu haitoshi.unaposema sisiem inaiba kuara unataka kusema hata bosi wako aliyeko madarakani yuko kimchongo.unataka ajiuzulu.
Mkuu, sio walitaka kusema, walisema! Sasa ninaamini kwamba ni kweli Lowasa alishinda. Yale mafuriko ya watu kwa Lowasa hayakuwa ya kawaida! Alichosema Tibaijuka ni kweli kabisa, kwamba "nilimwambia Lowasa, unaenda Chadema, je, unajua kuwa hata kama ukishinda uchaguzi hautatangazwa kuwa umeshinda?" Tibaijuka anasema Lowasa alimjibu kuwa ndio najua!
 
Ni kweli kabisa uchaguzi wa 2015, Lowasa alishinda kwenye nafasi ya Urais wa JMT, na maalim Seif alishinda kwenye nafasi ya Urais wa Zanzibar. CCM ilipoteza kote, kwenye Urais wa JMT na kwenye Urais wa Zanzibar.

Mashetani ya CCM, chini ya uongozi wa Jakaya Kikwete, yalipora maamuzi ya wananchi. Ndiyo maana ni sahihi kusema kuwa CCM kumejaa mashetani watupu! Ukimwona Kikwete anaongea unaweza kudanganyika kuwa ni mwanademokrasia, lakini ukweli ni kuwa naye ni shetani kama mashetani wengine ya CCM, ambayo kwao haki ni adui wao wa kudumu.

Siku ambapo Watanzanua wataamua kuipambania haki yao, shetani CCM atapotea moja kwa moja, kwa sababu CCM haiwezi kuishi mahali ambapo kuna mifumo ya haki.
 
Nimeongeza video hii ambayo inazidi kuthibitisha kwamba CCM wanapaswa kuondolewa madarakani kwa nguvu. NI wajibu wa kila mtu na taaisi husika nchini kuhakikisha hili linatokea. CCM wanavunja katiba kwa makusudi wakiwa na kiburi kwamba hakuna atakaewachukulia hatua


Your browser is not able to display this video.
 


Picha kama hizi ni ushuhuda mwingine wa wazi kwamba CCM wameamua kwa makusudi na kiburi kuvunja katiba ya Tanzania, hasa pale ambapo hatuoni Raisi akikemea na kukataza matendo kama haya
 
Hv katiba ya sasa ni nan alikuwa Rais vle????
 
Katiba ya sasa ilitengenezwa Nyerere akiwa Raisi. Kwa nini unauliza?
 
Kila siku nasema hapa, machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio yatarejesha heshima ya box la kura. Kuendelea kushiriki hizi chaguzi za kishenzi ni matumizi mabaya ya raslimali muda.
 
Msimamo wangu umeendelea kuwa bayana, Magufuli ndio aliyekuja kuweka ukomo wa kuendelea kushiriki hizi chaguzi za kihuni. Haiwezekani zaidi ya miaka 30 tunadai chaguzi za haki huku makada wa ccm wakitudhihaki, na sisi tuendelee kushiriki kwa kutegemea matokeo tofauti.

Machafuko pekee ama mapinduzi ya kijeshi ndio yataleta mabadiliko, iwapo yatakuwa ni mabadiliko sahihi ama la, hilo ni jambo jingine.
 
Kila siku nasema hapa, machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio yatarejesha heshima ya box la kura. Kuendelea kushiriki hizi chaguzi za kishenzi ni matumizi mabaya ya raslimali muda.
Inafikia mahali, japo mapinduzi ya kijeshi si jambo la kushabikia, yanakuwa ni muhimu na ya lazima kutokana na mazingira yaliyopo. Tukumbuke kwamba kule Zanzibar kilichofanyika na hadi leo tunakisherehekea yalikuwa ni mapinduzi ya kijeshi. Uganda tuliwasaidia kufanya mapinduzi ya kijeshi. Kabila wa DRC tulimuunga mkono kufanya mapinduzi ya kijeshi. Hivyo Tanzania tuna historia ya kutambua umuhimu na wakati muafaka wa mapinduzi ya kijeshi kuwa halali na lazima.
 
Namna ya kuiondoa hiyo ccm ndiyo changamoto.

Kilicho rahisi na kitakachowezekana 2025 ni kumuondoa Samia
 
Sahihi kabisa, na kadiri kizazi kinavyobadilika na wao wanazidi kitumia njia za shuruti kubaki madarakani. Bila ya machafuko ama mapinduzi ya kijeshi, sioni mabadiliko yoyote ya kweli.
Watatoka tu
 
Namna ya kuiondoa hiyo ccm ndiyo changamoto.

Kilicho rahisi na kitakachowezekana 2025 ni kumuondoa Samia
Kuna taasisi nchini zikiamua tu watu wanaingia mitaani kusherehekea! Sababu za kufanya hivyo zipo.
 
Ni kweli, lakini kwa njia ya kura ni kujidanganya.
Kura,ambayo ndio halali, wanauhujumu mfumo wake. Ukienda mahakamani kulalamika umehujumiwa wanaingilia maamuzi ya mahakama. Ukisema hadharani wanakuteka na kukupotezea. Sasa tufanyeje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…