Kauli ya papa na upotoshaji wa BBC makusudi

We utatafsiri na kuchambua vitu kuliko hao native English speaker.
Yani sawa na mzungu aseme anaelewa kiswahiki kuliko native speakers...
Achana na wakatoliki fuata mafundisho ya dini yako tu, ya wakatoliki hayakusaidia kitu
 
Hata mimi nimeishia kucheka tu, maana kauli yake haisemi RC wafungishe ndoa za jinsia moja wala kuspoti ndoa za aina hiyo, bali wanaojihusisha na tabia hiyo.., wanaweza kubarikiwa wao kama binadamu..,Ila sio kubariki wanayoyafanya.
Nadhani wengi wa wanaotoa komenti zao hawakuusoma Waraka ule kwa kina na kuuelewa bali walichukua ufafanuzi uliopotoshwa kwa makusudi na vyombo vya Habari ambavyo pengine ni Wapinzani wa Ukatoliki kuwa ndivyo Waraka original unasema na wanajitahidi kweli-kweli kusambaza uongo huo ili ionekane ni kashfa (scandle) ndani ya Kanisa hilo.
 
Achana na wakatoliki fuata mafundisho ya dini yako tu, ya wakatoliki hayakusaidia kitu
Sisi tunasema kauli aliyosema papa nayo ni habari kama habari nyingine tu. Usiwe na hasira na wapokea habari we mkasirikie mtoa tamko
 
Sisi tunasema kauli aliyosema papa nayo ni habari kama habari nyingine tu. Usiwe na hasira na wapokea habari we mkasirikie mtoa tamko
Mnapotosha ili mjifurahishe tu lakini ukweli utabaki palepale, kanisa katoliki ni mbuyu usiotikisika kwa zaidi ya miaka 2000
 
Mnapotosha ili mjifurahishe tu lakini ukweli utabaki palepale, kanisa katoliki ni mbuyu usiotikisika kwa zaidi ya miaka 2000
Waache wajifurahishe uzuri kanisa katoliki linaandaa watu toka utotoni kujua misingi yake siyo akina mwamposa wanawachukulia ukubwani kwa sababu ya frustration zao. Ndo mana huwezi kumuona mseminari akisema eti naye ameokaka sijui kwa nani. Wanaoenda huko mara nyingi ni mbumbumbi wasiojua chochote
 
Nakazia na kuongezea: Kanisa Katoliki lina UTARATIBU wake katika suala zima la Mawasiliano. Kama Vatican(Pope) akitoa TAMKO basi Wafuasi wa Kanisa hilo Duniani kote watalipokea Tamko hilo pamoja na Tafsiri yake kutoka au kupitia kwa Maaskofu wao, Mapadre wenye dhamana ya Kanisa mahalia na sio vinginevyo e.g. eti BBC,CNN, Youtube, n.k. n.k.
 
Wanasahau kwamba wateja wakubwa wa mashoga ni kutoka mikoa ya mwambao wa bahari hasahasa wa dini ileeeeee, ambayo kila mmmoja anaijua!
Ni kweli mkuu hata huyu papa wanatafiti wa mambo wanasema anatokea mikoa hiyo kumlaum ni kumuonea tu, kwani mkuu we mwanao akiwa shoga utamuua? Naiman utamuombea tu au ikiwezekana utamfungisha ndoa na bwana ampendae we ni nani hata kuhukumu haya mambo ya mwambao wanapotoka watu wa dini ileeeeee ambayo kila mmoja anaijua
 
Ewaaaaaaaa! 🤣
 
mie ni muislamu lakini huu uongo anaosingiziwa papa nitamtetea kwa nguvu zote
 
mie ni muislamu lakini huu uongo anaosingiziwa papa nitamtetea kwa nguvu zote
Hii Haina Udini Uislamu Wala Ukristo Sio Muislamu Tu Anatakiwa Kupinga Hata Mkristo,acha Kutetea Upuuzi Unashindwa Tetea Dini Yako Hata Kwa Sadaka Ya Mia Tano, Leo Unasema Unamtetea Papa Tena Kwa Nguvu Zako Zote
 
Papa, wachungaji, manabii, mapadre watapita ila neno la Mungu litasimama.

Tujifunze na tuamini neno la Mungu kuwa ni kweli na amina.

Imani iliyojengwa kwa msingi wa neno la Mungu hautatikisika, ila kama umejengwa kwa maoni na mawazo ya watu lazima ibomoke.
 
kusema ukweli, sihitaji hata kuwasikia. hata kujadili tu inatia kichefuchefu.
Hapa Tanzania mashoga walio wengi ni Waislam na mnaishi nao, kwanini hamjawaua?. Binadamu sijuhi ni kwann tuna tabia za kinafiki, mnaishi na tatizo lakini mbele za watu mnajifanya hamlijuhi. Zanzibar na Mombasa kwa Africa Mashariki wanaongoza kwa mashoga, na walio wengi ni jamii ya Kiislam, Papa ndiye anaewatuma?

Ukatoriki unaamini Yesu alikuja kuwaokoa wenye dhambi, siyo kuuwa wenye dhambi, "mgojwa uitaji tabibu zaii kuliko mwenye siha". Papa kosa lake nini kuimiza watenda dhambi waokolewe na kurudishwa kwenye mstari unaompendexa Mungu?
 
mimi sio muislam, na sijasema tuwauwe, ila nimesema sitaki hata kusikia icho kitu. mbona unapenda sana kutaja kuua ua?
 
Umeliweka sawia!
 

Attachments

  • Screenshot_2023-12-20-06-08-33-27.jpg
    40.5 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…