Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Na asipokuwa makini na VIKAULI vyake mama atamchomoa. Anakuwa kama hajitambui hivi, yaani anashindwa kujifunza Kupitia makosa yake.
Kwa sisi tunaomfahamu huyu kiumbe, tunafahamu fika alibahatika tu kumiliki akili ya kukariri madesa. Ila ukija kwenye uhalisia, hakuna mtu hapo.
Huyu Mh. Rais sinui kuna saa ana poteza records..
Huyo hawezi kubadilika,Na asipokuwa makini na VIKAULI vyake mama atamchomoa. Anakuwa kama hajitambui hivi, yaani anashindwa kujifunza Kupitia makosa yake.
Kawashitaki ,acha umakondaphobia,tangu makonda aingie chamani hakukaliki huko kwenuMakonda na Chalamila wamerudishwa Mauaji yatakua makubwa sana siku zijazo.
Washauri wanamuyumbisha Rais kwenye maamuzi. Alikuwa amechukuwa uamuzi sahihi wa kumpumzisha huyu mropokaji, sijuhi ni nini kilimshawawishi kumrudisha huyu mtu aliyeweza kuongea na jpm akiwa marehemu!!!Mh rais anapaswa kutambua kabisa kuwa huyu bwana ni mtu aliyechanganyikiwa,hafai kabisa kuwa RC,mbona nchi hii ina watu wengi tu wenye sifa za uongozi,hafai huyu mtu,sasa na sisi walimu tuanze kuuwa wanafunzi wetu maana hospital pia wanakufa, mtu hajui tofauti kati ya kituo cha polisi na hospital,huyu hafai kuwa kiongozi