Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
- Thread starter
-
- #21
AlitumbuliwaSi ndio huyu alipokuwa mwanza alisema, wakati wa mapokezi ya Rais watu waje tu na mabango, yenye ujumbe wowote hata kama ni matusi?
Ni ruksa kuja kumpokea Rais kwa style hiyo!
Nyau wewe.kwanini hampendi ukweli
Huyu jamaa ni mwehu ...Lilikuwa kosa kubwa mno kumrudisha mamlakani huyu mtu.
huyu hajawahi kuwa na reasoning ya mtu ambaye akili zake zipo sawa. hajawahi.Akiongea wakati wa kukabidhi magari manne ya wagonjwa kwenye hafla iliyofanyika Hospitali ya Rufaa ya Amana wakati wa hafla ya kukabidhi Chalamila amesema "Hii sekata ina Umungu ndani yake, leo nikifa mikononi mwa Polisi watu watasema Polisi wameuwa, lakini Hospitali wanasema ni mipango ya Mungu"
Chalamila amesema kutokana na umuhimu wa sekta ya afya kuwa ya kipekee mtu hata akifa Hospitalini ndugu sio rahisi kwenda mahakamani kulalamika tofauti na mtu anaefia mikononi mwa Jeshi la Polisi watu uenda Mahakamani.
Akiongea wakati wa kukabidhi magari manne ya wagonjwa kwenye hafla iliyofanyika Hospitali ya Rufaa ya Amana wakati wa hafla ya kukabidhi Chalamila amesema "Hii sekata ina Umungu ndani yake, leo nikifa mikononi mwa Polisi watu watasema Polisi wameuwa, lakini Hospitali wanasema ni mipango ya Mungu"
Chalamila amesema kutokana na umuhimu wa sekta ya afya kuwa ya kipekee mtu hata akifa Hospitalini ndugu sio rahisi kwenda mahakamani kulalamika tofauti na mtu anaefia mikononi mwa Jeshi la Polisi watu uenda Mahakamani.
Huyu Chalamila isingekuwa connection ya CCM kumpa uenyekiti Iringa;alipaswa awe na akina Mpoki kwenye comedy!Akiongea wakati wa kukabidhi magari manne ya wagonjwa kwenye hafla iliyofanyika Hospitali ya Rufaa ya Amana wakati wa hafla ya kukabidhi Chalamila amesema "Hii sekata ina Umungu ndani yake, leo nikifa mikononi mwa Polisi watu watasema Polisi wameuwa, lakini Hospitali wanasema ni mipango ya Mungu"
Chalamila amesema kutokana na umuhimu wa sekta ya afya kuwa ya kipekee mtu hata akifa Hospitalini ndugu sio rahisi kwenda mahakamani kulalamika tofauti na mtu anaefia mikononi mwa Jeshi la Polisi watu uenda Mahakamani.
Yaani Mkoa wa kimkakati kiuchumi anapewa comedian,watu smart kama Mtaka wanapelekwa Njombe!Bogaz RC
Ila Elimu ya Tanzania kituko sana,eti Chalamila naye ana Masters![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa sisi tunaomfahamu huyu kiumbe, tunafahamu fika alibahatika tu kumiliki akili ya kukariri madesa. Ila ukija kwenye uhalisia, hakuna mtu hapo.
Yule comedian ni member wa Eagle house![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndio maafisa vipenyo wetu hao! Mibichwa mikubwa lkn ndani wamejaza matope tu!
Huyu Marekani hata ubalozi wa nyumba kumi hapati bahati mbaya kwetu ndio washauri wa ....
Kipindi cha JPM akiwa RC Mbeya,jamaa alimwambia Rais JPM kuwa anashukuru amempatia Katibu tawala mzuri mweupe,imagine Katibu tawala ni mke wa mtu![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Washauri wanamuyumbisha Rais kwenye maamuzi. Alikuwa amechukuwa uamuzi sahihi wa kumpumzisha huyu mropokaji, sijuhi ni nini kilimshawawishi kumrudisha huyu mtu aliyeweza kuongea na jpm akiwa marehemu!!!
Mimi sio ndugu yakokulikua na haja gani kuniita nyau ndugu
Very naive observationMh rais anapaswa kutambua kabisa kuwa huyu bwana ni mtu aliyechanganyikiwa,hafai kabisa kuwa RC
Huyu rc mpumbavu sana, huko polisi wanaenda wagonjwa mpaka wafe wenyewe tuu?Akiongea wakati wa kukabidhi magari manne ya wagonjwa kwenye hafla iliyofanyika Hospitali ya Rufaa ya Amana wakati wa hafla ya kukabidhi Chalamila amesema "Hii sekata ina Umungu ndani yake, leo nikifa mikononi mwa Polisi watu watasema Polisi wameuwa, lakini Hospitali wanasema ni mipango ya Mungu"
Chalamila amesema kutokana na umuhimu wa sekta ya afya kuwa ya kipekee mtu hata akifa Hospitalini ndugu sio rahisi kwenda mahakamani kulalamika tofauti na mtu anaefia mikononi mwa Jeshi la Polisi watu uenda Mahakamani.
Bado hujamaliza kusema! Kabla ya kuteuliwa na Jiwe kuwa RC, eti alikuwa Assistant Lecturer kwenye chuo kimoja kikuu pale Iringa mjini! 😁Ila Elimu ya Tanzania kituko sana,eti Chalamila naye ana Masters![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Nchi imeishiwa hadi viongozi wa maana.Lilikuwa kosa kubwa mno kumrudisha mamlakani huyu mtu.