Kauli ya RC Chalamila ''Mtu akifia Polisi wanasema polisi kaua, lakini ikiwa ni hospitali ni mipango ya Mungu'' siyo ya kiungwana

Huyu jamaa chalamila alishawahi kuua Kwa hiyo Ana laana ya Yule kibaka aliyemuua akiwa anakimbia Kwa kuruka ukuta kwenye nyumba yake
 
Lilikuwa kosa kubwa mno kumrudisha mamlakani huyu mtu.
Huyu jamaa ni mwehu ...

MTU anakwenda polisi mzima kabisa.. Anatembea ..kesho yake mnaambiwa yupo ahera ...kwanini tusishuku polisi wamefanya kitu ?

Hospitalini anapelekwa MTU yupo hoi ..na pale chochote kinaweza kutokea..
 
Akiongea wakati wa kukabidhi magari manne ya wagonjwa kwenye hafla iliyofanyika Hospitali ya Rufaa ya Amana wakati wa hafla ya kukabidhi Chalamila amesema "Hii sekata ina Umungu ndani yake, leo nikifa mikononi mwa Polisi watu watasema Polisi wameuwa, lakini Hospitali wanasema ni mipango ya Mungu"

Chalamila amesema kutokana na umuhimu wa sekta ya afya kuwa ya kipekee mtu hata akifa Hospitalini ndugu sio rahisi kwenda mahakamani kulalamika tofauti na mtu anaefia mikononi mwa Jeshi la Polisi watu uenda Mahakamani.

huyu hajawahi kuwa na reasoning ya mtu ambaye akili zake zipo sawa. hajawahi.
 
Akiongea wakati wa kukabidhi magari manne ya wagonjwa kwenye hafla iliyofanyika Hospitali ya Rufaa ya Amana wakati wa hafla ya kukabidhi Chalamila amesema "Hii sekata ina Umungu ndani yake, leo nikifa mikononi mwa Polisi watu watasema Polisi wameuwa, lakini Hospitali wanasema ni mipango ya Mungu"

Chalamila amesema kutokana na umuhimu wa sekta ya afya kuwa ya kipekee mtu hata akifa Hospitalini ndugu sio rahisi kwenda mahakamani kulalamika tofauti na mtu anaefia mikononi mwa Jeshi la Polisi watu uenda Mahakamani.

Sasa ukitaka kujua watz n wehu angalia comment zao!
Hiyo kauli ni kweli kabisa haina shida itakua na shida kama itatumika kujustify
 
Akiongea wakati wa kukabidhi magari manne ya wagonjwa kwenye hafla iliyofanyika Hospitali ya Rufaa ya Amana wakati wa hafla ya kukabidhi Chalamila amesema "Hii sekata ina Umungu ndani yake, leo nikifa mikononi mwa Polisi watu watasema Polisi wameuwa, lakini Hospitali wanasema ni mipango ya Mungu"

Chalamila amesema kutokana na umuhimu wa sekta ya afya kuwa ya kipekee mtu hata akifa Hospitalini ndugu sio rahisi kwenda mahakamani kulalamika tofauti na mtu anaefia mikononi mwa Jeshi la Polisi watu uenda Mahakamani.

Huyu Chalamila isingekuwa connection ya CCM kumpa uenyekiti Iringa;alipaswa awe na akina Mpoki kwenye comedy!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Ndio maafisa vipenyo wetu hao! Mibichwa mikubwa lkn ndani wamejaza matope tu!

Huyu Marekani hata ubalozi wa nyumba kumi hapati bahati mbaya kwetu ndio washauri wa ....
Yule comedian ni member wa Eagle house![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Washauri wanamuyumbisha Rais kwenye maamuzi. Alikuwa amechukuwa uamuzi sahihi wa kumpumzisha huyu mropokaji, sijuhi ni nini kilimshawawishi kumrudisha huyu mtu aliyeweza kuongea na jpm akiwa marehemu!!!
Kipindi cha JPM akiwa RC Mbeya,jamaa alimwambia Rais JPM kuwa anashukuru amempatia Katibu tawala mzuri mweupe,imagine Katibu tawala ni mke wa mtu![emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Mh rais anapaswa kutambua kabisa kuwa huyu bwana ni mtu aliyechanganyikiwa,hafai kabisa kuwa RC
Very naive observation

U think kweli Samia Suluhu hamjui Chalamila ni mtu wa aina gani na siasa zake na hulka yake na ukichaa wake ?

WEWE NA MIMI hutujawahi kukutana na Chalamila, kukaa nae mezani kula chakula, kumhoji, ku deal nae at a personal level. Samia kawahi. Samia anamjua Chalamila kuliko wewe na mimi tunavyowajua. Na wote kina Makonda na Mwigulu mawaziri watukana raia. Anawajua kinyume nyume.

Amewaweka walipo KWA MAKUSUDI MAALUM WAWANYOOSHE RAIA, WAPIGE PROPAGANDA, WADANGANYE, WAWAZIBE MIDOMO WATU, HATA IKIBIDI WAUE WANAOHOJI TAWALA DHALIMU NA DHAIFU NA DHULUMATI ZA SERIKALI ZETU HIZI ZA THIRD WORLD!
 
Akiongea wakati wa kukabidhi magari manne ya wagonjwa kwenye hafla iliyofanyika Hospitali ya Rufaa ya Amana wakati wa hafla ya kukabidhi Chalamila amesema "Hii sekata ina Umungu ndani yake, leo nikifa mikononi mwa Polisi watu watasema Polisi wameuwa, lakini Hospitali wanasema ni mipango ya Mungu"

Chalamila amesema kutokana na umuhimu wa sekta ya afya kuwa ya kipekee mtu hata akifa Hospitalini ndugu sio rahisi kwenda mahakamani kulalamika tofauti na mtu anaefia mikononi mwa Jeshi la Polisi watu uenda Mahakamani.

Huyu rc mpumbavu sana, huko polisi wanaenda wagonjwa mpaka wafe wenyewe tuu?
Mtu kufa hospital wakati kaumwa na ikashindikana kupona ni kawaida. Huko polisi kunapelekwa wagonjwa?
 
Ila Elimu ya Tanzania kituko sana,eti Chalamila naye ana Masters![emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Bado hujamaliza kusema! Kabla ya kuteuliwa na Jiwe kuwa RC, eti alikuwa Assistant Lecturer kwenye chuo kimoja kikuu pale Iringa mjini! 😁

Enzi hizo alikuwa ni mrugaruga tu anayeimba nyimbo za kabila lake la Kihehe na kupigwa kwenye redio yao maarufu hapo Iringa ya Ebony Fm!! Halafu leo hii eti anapewa mamlaka ya kuwa RC wa Jiji la wajanja kama Dar!! 😁
 
Hapa ndio viongozi wasio na fikra mnawajaza na kuwapa kazi, kwa hakika mtakuwa wajinga maisha na masikini maisha

Hapo angesema maiti zote zifanyiwe post-mortem kujua amekufa kwanini hapo ningemuelewa
Mtu kakamatwa na kafia polisi na ndugu wanakuta majeraha kibao waseme nini
Hata hospital na majumbani pia hakuna mwenye uhakika kifo kimetokeaje ila uchunguzi tu ndio utabaini amekufa vipi
Watu wanauwawa mnajifanya wema sana na kuhudhuria misiba
Watu wanauwa haswa asijitoe ufahamu huyo
 
Back
Top Bottom