Kauli ya Samia 'Who are You' ilikuwa siyo ya kiungwana wala kidiplomasia, tunatengwa na dunia

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Kauli yako inali-cost taifa, kila nchi inafanyia review uhusiano wetu, walianza USA, EU, Sweden leo Canada hatujui nani watafuata, soon athari zake tutaziona kwenye uchumi.

Maadui tulionao, ujinga, maradhi, umasikini, siasa safi na CCM, wanatutosha, kauli zako zisituongezee maadui wengine.

Ulitukuta na marafiki zetu wadau wa maendeleo tangu tupate uhuru, wanatusaidia kwenye bajeti, miradi, diplomasia, tafadhali tuache nao salama siku utakaporudi Kizimkazi, sisi Watanganyika hatuna wajomba wa Oman kwamba watatusaidia.
 
Hakuna kipindi misaada ilifutwa kama kipindi cha JPM na haikua kuangalia upya mahusiano bali walijiondoa kabisaaa.

Kuangalia maana yake wataangalia wanatoa nini na wananufaika na nini je marekani anatoa zaidi ya anachonufaika jibu na HAPANA..... So atakuwepo tu
 
Maneno ya ubabe kama yale hata Putin mwenyewe au Xi Jinping hawezi kuyasema hadharani! Sasa yeye sijui alipata wapi ujasiri. Nadhani lack of exposure imechangia.

Dunia ya leo inahitaji matumizi makubwa ya akili, maarifa na ujuzi! Na siyo vichambo na majigambo yasiyo na kichwa wala miguu. I think you will understand me Madam Who are you?
 
Katika dunia ya sasa yenye msukosuko wa mawazo na taarifa zinazokuja kwa kasi, tunahitaji kukumbuka mambo ya msingi. Watu wanahitaji amani kuliko fujo, kwa sababu amani inatupa nafasi ya kuishi vizuri, kufanya kazi, kutafuta riziki, na kufurahia maisha bila hofu. Vijana tunahitaji mwelekeo na akili ya kutafakari kuliko kauli za uchochezi, kwa sababu bila mwongozo sahihi tunaweza kupotezwa na hasira za muda mfupi na kuharibu mustakabali wetu wenyewe. Nchi yetu inahitaji umoja kuliko mgawanyiko, kwa sababu tukigawanyika tunapoteza nguvu yetu kama taifa, lakini tukikaa pamoja tunakuwa na uwezo wa kushinda changamoto nyingi kuliko tunavyodhani. Hii ndiyo nguvu ya utashi wa kibinadamu, kuchagua kilicho bora, kutanguliza utu, na kulinda amani inayotuwezesha kuendelea kusonga mbele.
 
Hakuna kipindi misaada ilifutwa kama kipindi cha JPM na haikua kuangalia upya mahusiano bali walijiondoa kabisaaa.

Kuangalia maana yake wataangalia wanatoa nini na wananufaika na nini je marekani anatoa zaidi ya anachonufaika jibu na HAPANA..... So atakuwepo tu
Tusijifariji eti na kipindi cha Magufuli walitoa this time is different hadi UN wameingilia kati.
 
Kauli yako inali-cost taifa, kila nchi inafanyia review uhusiano wetu, walianza USA, EU, Sweden leo Canada hatujui nani watafuata, soon athari zake tutaziona kwenye uchumi.

Maadui tulionao, ujinga, maradhi, umasikini, siasa safi na CCM, wanatutosha, kauli zako zisituongezee maadui wengine.

Ulitukuta na marafiki zetu wadau wa maendeleo tangu tupate uhuru, wanatusaidia kwenye bajeti, miradi, diplomasia, tafadhali tuache nao salama siku utakaporudi Kizimkazi, sisi Watanganyika hatuna wajomba wa Oman kwamba watatusaidia.
Hao wamefanya tiyari assessment khasa ile twaita PESTLE Analysis wamefunga kazi.

Hapo wahitaji waziri wa mambo ya nje mahiri kwenye diplomasia na raisi pia washauri mahiri khasa wale wa masuala ya diplomasia.

Sasa hivi wahitaji kufahamu geopolitical implications ya maamuzi na matendo yako Kama nchi.

Wenyewe wahisani wakianza kusema We are watching the government behaviour ya nchi lengwa, kila kitu hugeuka kuwa kwenye Red Alert
 
Maneno ya ubabe kama yale hata Putin mwenyewe au Xi Jinping hawezi kuyasema hadharani! Sasa yeye sijui alipata wapi ujasiri. Nadhani lack of exposure imechangia.

Dunia ya leo inahitaji matumizi makubwa ya akili, maarifa na ujuzi! Na siyo vichambo na majigambo yasiyo na kichwa wala miguu. I think you will understand me Madam Who are you?
Ni bahati ya kuangukiwa na embe chini ya mwarobaini hakutegemea.
 
Hakuna kipindi misaada ilifutwa kama kipindi cha JPM na haikua kuangalia upya mahusiano bali walijiondoa kabisaaa.

Kuangalia maana yake wataangalia wanatoa nini na wananufaika na nini je marekani anatoa zaidi ya anachonufaika jibu na HAPANA..... So atakuwepo tu
So Walichoongea Canada ni upupu au ni nini? Endeleeni kujidanganya. Hawa mnawaita mabeberu sauti zao si kupuuza.

Tujifunze ya Zimbabwe
Hardship inakuja kwa speed ya ndege
 
Sihitaji kumkosoa Raisi wangu ILA
Nafikiri kwenye diplomasia, sio kila kitu kinasemwa; Vingine vinajisema tu vyenyewe kutokana na matendo.
 
Hakuna kipindi misaada ilifutwa kama kipindi cha JPM na haikua kuangalia upya mahusiano bali walijiondoa kabisaaa.

Kuangalia maana yake wataangalia wanatoa nini na wananufaika na nini je marekani anatoa zaidi ya anachonufaika jibu na HAPANA..... So atakuwepo tu
Mkuu wakati wa Jpm ni nchi gani ziliondoa mahusiano na Tanzania? Naomba kujua

Pia mkuu Ni misaada ipi ilifutwa,naomba kujua na hili.
 
Back
Top Bottom