Kauli yako inali-cost taifa, kila nchi inafanyia review uhusiano wetu, walianza USA, EU, Sweden leo Canada hatujui nani watafuata, soon athari zake tutaziona kwenye uchumi.
Maadui tulionao, ujinga, maradhi, umasikini, siasa safi na CCM, wanatutosha, kauli zako zisituongezee maadui wengine.
Ulitukuta na marafiki zetu wadau wa maendeleo tangu tupate uhuru, wanatusaidia kwenye bajeti, miradi, diplomasia, tafadhali tuache nao salama siku utakaporudi Kizimkazi, sisi Watanganyika hatuna wajomba wa Oman kwamba watatusaidia.
Tusijifariji eti na kipindi cha Magufuli walitoa this time is different hadi UN wameingilia kati.Hakuna kipindi misaada ilifutwa kama kipindi cha JPM na haikua kuangalia upya mahusiano bali walijiondoa kabisaaa.
Kuangalia maana yake wataangalia wanatoa nini na wananufaika na nini je marekani anatoa zaidi ya anachonufaika jibu na HAPANA..... So atakuwepo tu
Tusijifariji eti na kipindi cha Magufuli walitoa this time is different hadi UN wameingilia kati.
Watu wanakukatia misaada unasema wanajuana.Tulieni hakuna mjinga anaeweza kuchafua anapokula wanajuana hao
Hao wamefanya tiyari assessment khasa ile twaita PESTLE Analysis wamefunga kazi.Kauli yako inali-cost taifa, kila nchi inafanyia review uhusiano wetu, walianza USA, EU, Sweden leo Canada hatujui nani watafuata, soon athari zake tutaziona kwenye uchumi.
Maadui tulionao, ujinga, maradhi, umasikini, siasa safi na CCM, wanatutosha, kauli zako zisituongezee maadui wengine.
Ulitukuta na marafiki zetu wadau wa maendeleo tangu tupate uhuru, wanatusaidia kwenye bajeti, miradi, diplomasia, tafadhali tuache nao salama siku utakaporudi Kizimkazi, sisi Watanganyika hatuna wajomba wa Oman kwamba watatusaidia.
Ni bahati ya kuangukiwa na embe chini ya mwarobaini hakutegemea.Maneno ya ubabe kama yale hata Putin mwenyewe au Xi Jinping hawezi kuyasema hadharani! Sasa yeye sijui alipata wapi ujasiri. Nadhani lack of exposure imechangia.
Dunia ya leo inahitaji matumizi makubwa ya akili, maarifa na ujuzi! Na siyo vichambo na majigambo yasiyo na kichwa wala miguu. I think you will understand me Madam Who are you?
So Walichoongea Canada ni upupu au ni nini? Endeleeni kujidanganya. Hawa mnawaita mabeberu sauti zao si kupuuza.Hakuna kipindi misaada ilifutwa kama kipindi cha JPM na haikua kuangalia upya mahusiano bali walijiondoa kabisaaa.
Kuangalia maana yake wataangalia wanatoa nini na wananufaika na nini je marekani anatoa zaidi ya anachonufaika jibu na HAPANA..... So atakuwepo tu
Ni upupu kwa vipi?Walichoongea Canada ni upupu
Tujifunze ya Zimbabwe
Hardship inakuja kwa speed ya ndege
Hotuba yote ilikuwa ya kiswahili ila alipofika kwa who are you akatamka kingereza ili wasikie zaidi.Halafu bora angesema kwa Kiswahili aisee wasingezingatia sanaa
Ila kwa Kinge duhh tutakoma
Na hapa ndipo penye tatizo kubwa. Hata wana ccm wenyewe walio wengi wanafahamu fika hawakutarajia kama mtangulizi wake angeondoka kabla ya kumaliza muda wake.Ni bahati ya kuangukiwa na embe chini ya mwarobaini hakutegemea.
Mkuu wakati wa Jpm ni nchi gani ziliondoa mahusiano na Tanzania? Naomba kujuaHakuna kipindi misaada ilifutwa kama kipindi cha JPM na haikua kuangalia upya mahusiano bali walijiondoa kabisaaa.
Kuangalia maana yake wataangalia wanatoa nini na wananufaika na nini je marekani anatoa zaidi ya anachonufaika jibu na HAPANA..... So atakuwepo tu
KabisaKatiba yetu ni takataka, yaani mtu mmoja kwa ujinga wake tu anatukost watu ml 62+...hiii ni maajabu!!.
Achilia mbali maisha ya watu kupotea oct 29!.