Kauli ya Samia 'Who are You' ilikuwa siyo ya kiungwana wala kidiplomasia, tunatengwa na dunia

Sisi wengine ndio furaha yetu kumuona akiyaboronga kama hivi kiasi cha kunyimwa misaada na wahisani.

Na furaha yetu itakamilika zaidi siku tukipigwa international sanctions hili taifa liingine shimoni kabisa kiuchumi, akose mpaka hela za kuwalipa machawa na hatimae wote tuongee lugha moja.

Hatuwezi kuongozwa na mtu mjinga hivi asiyejali kabisa uhai wa wanainchi wake, huyu atapewa misuko suko mpaka basi.
 
Unajua matokeo yake yalikuwa ni nini?? TRA ilianza kufanya Tax audit and investigation, walirudi miaka mitano nyuma na kufanya estimation mpya za kodi, kesi za uhujumu uchumi zilimiminika kama njugu na barging ilianzishwa, pesa za wananchi waliooitwa mafisadi zilitolewa bank bila approval ya mhusika. Haya yotee yalikuwa ni matokeo ya kukosa fedha za wadau kuwezesha utekelezaji wa bajeti ya nchi.
Huyu Samia ataweza kuilekeza TRA kufanya hiyo Tax Audit and Investigation kama hao wafanya biashara ndiyo walikichangia chama chake zaidi ya Billion 100??

Kwa kifupi, tuendako ni pabaya zaidi, na dawa pekee ni kumtoa Samia na ccm yake madarakani.
 
Mama mfungua nchi,bingwa wa diplomasia zaidi ya Mzilankende Magufuli,sasa hivi chawa wake hilo swala la kufungua nchi hawalisemi tena
 
Uchumi ukibanwa utasaidia kuleta katiba.mpya sababu kubwa ni.kupunguza vyeo na mishahara mingi kwa wafanyakazi wengi wa kuteuliwa.

Bajeti pia ya wale wenye vitambulisho.vyenye bibi na bwana almaarufu wasiojulkana watakosa posho. Waswahili husema kufa kufaana
 
Ninachofurahi ni kwamba hali itakapokua mbaya maCCM ndio yataumia zaidi maana ndio yamezoea kudeka na kubebwa bebwa tutakapofika sehemu hata mishahara ya watumishi kukosekana masisiemu yatalia mara mbili
 
Kikwete kamtia kiburi.
Anadhani jumuiya ya kimataifa ni kama sisi watanzania wanyonge, ambao anatuua na kisha kusema mlitaka nifanyaje. Wenzie wanajibu mapigo…
Kaingia kwenye mfumo.
 
Kwa hali ninayoiona vikwazo viko njiani
 
Hakika wao wana ndugu oman wa kuwaletea tende na vitu used wakiwa huko Paje ,jambian ,wete ,bwejuu ,fumba ,kizimkazi wakiwa wametulia kwenye busati wakila urojo.
 
Siyo kweli Magufuli alikua na Mambo yake ambayo hayakufanya tujadiliwe Mahusiano yetu, Magufuli alikua anasema Kama kweli wanatupenda wasitukopeshe madeni ila watufutie madeni, Magufuli alikua ana gombana na Mabeberu kwenye Uchumi na Siasa, Magufuli alikua anahamini Wazungu wanatuibia ndiyo maana alishtakiwa kwa kuvunja Mikataba na ndege zetu zikakamatwa nje. Huyu Samuya kwanza haijui Tanganyika na hajui Historia ya Tanganyika na Wazungu. Kwasababu kule Zanzibar wazungu hawana Mashirika ya kimaendeleo wao kule ni Waarabu tu kazi yao kutoa misaa ya Tende, nyama ya Mbuzi, na visima vya maji tu ndiyo misaada anayotoa Mwarabu, kule Zanzibar hakuna hospital wala Shule iliyojengwa na Waarabu.
 
Hakika wao wana ndugu oman wa kuwaletea tende na vitu used wakiwa huko Paje ,jambian ,wete ,bwejuu ,fumba ,kizimkazi wakiwa wametulia kwenye busati wakila urojo.
Kweli huyu Samuya anatuaribia nchi yetu kwasababu kwao kule Elimu na Afya siyo kipaumbele chao, kule hakuna Elimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…